Niulize chochote kuhusu programming language

Haya sasa leo tuendele na kipindi guys niko busy baut hvo hvo tutajjtahidi
2.ARRAY
Array ni moja ya nguzo muhimu sana pale unapotaka kujifunza programming hii ni lazima uifahamu kivyo vyote vile kama hutaifahamu hii itakua ngumu sana kwako wewe kuelewa hii languag haya sasa array ndo nini?

Array ni kama box flani ambayo ndani ya hilo box inaweza kuweka na kuchanganganya vitu mbali mabli , yaani array kwa kifupi inapunguza pia mlolongo wa code usiwe mwingi sana.

Na sifa kubwa ya array unaweza ukachanganya namba na string , string ni names au majina tunaona mfanno hapa chini

Je array inaandikwaje?

Mfano nina variable ya username sasa huyu username ana jina, gender, umri, salary

Hebu tuone array inaandikwaje

$username =['claude', 15, 'male', 1000];
Hapa unavyoona username ndani yake kuna name, kuna age, na kuna gender , pamoja na amount sasa
Before hatujaendelea
Integers ni namba kwenye programming
Na interger inandikwa kama ilivo mfano kama no 15; inabaki hvo hvo elewa hii.
String maana yake ni name kwenye programming na string lazima uwe single quote' ', au double " "
Mfani nikiandika claude bila kuwek qoute italeta errors kwa hyo napaswa niandike 'claude' ;

Kwa hyo elewa kwamba integers ni namba na string ni name

Ok kwa hiyo sasa Array huwa inaandikwa [ ]; yaani ukiona kwenye code zimeandikwa hivi ujue hiyo ni array.
 
mkuu pamoja yan nafatilia mwanzo mwisho naimaman tapata kitu hapa
 
Function hebu leo tuongelee kitu ambacho ndo kila kitu kwenye programming
Function ni kitu gani?
Ni group za code ambazo zilizoungana kwa pamoja kwa ajili ya kufanya jambo flani

Usijali nitakuelewsha na utaelewa function vizuri saana
Function imegawanyika sehemu kuu mbili
1.function declarations
1.function expression

Faid ya function ni. Nni kwenye code?
1.kwanza inaturahisisha kupunguza mlolongo wa code kuwa mwingi.
2.unaweza ku iiita mahali popote pale utakapo ukiata kuitumia bila kuandika tena.
3. Ina execute data kwa haraka sana.

Hi mdo sifa kuu za function

Haya tuone function declarations ipoje na inafanyaje kazi hii data hii data haiwi ndani ya variable ndani ya variable na mara nyigi huwa ndo tunatumiaga

1.alert(number())
Fuction number ()= function() { return 5
Yaani hii unai declares function nda i ya function hvo.

2. Function Expression
Hii data inakua ndani ya variable
alert(number())
var number= function() { return 5
Hui ndo mfano function expression var number
Kama nilivotoka hapo kukuambia kuwa function expression data zikua stored kwenye variable

}
Ni ngumu enhee usijali nitakutle
Mfano ukitaka kuiita hiyo 5 unandika number();
Basi.
 
If else statement hii nayo ni moja ya nguzo muhimu saana ndani ya programming yaani hii hauwezi kuacha kuitumia pale unapoandika code zako, kwa lugha rahisi tunaiita kweli au sio kweli
Kama ni kweli basi fanya hivi na kama sio kweli basi fanya hivi.

Kwenye if statement kumegawanyika katika sehemu kuu mbili.

If else statement ndo kila kitu kwenye programming elewa hii ni muhimu sana.

If na else na elseif
Hapa chini tutaangali mfano wa else.

Note: if else ina excute tuu one condition in one variable tuu elewa hii ukiwa na unataka ku excute condition zaidi ya moja ndo unakuja kutumia elseif();
Haya sasa tuone mfano wa elseif

Hebu tuone mfano hapa chini

If($answer =='ok'){
Print "mambo";
}else{
Print " sio kweli ";
}

Haya sasa ni kitu gani kinachotokea hapa?
Hapo nimesema hivi ikiwa jibu ni sawa sawa na ok iseme mambo na kama sio ok iseme sio kweli hapo automatically ita print mambo maana jibu ni mambo kweli.

Ok ni mechanism inayofanyika hapa code zinaenda fetch variable ya answer den ina excute na badae inatoa output.

Elseif teari tushelezea if else sasa hapa tunaelezea elseif();

Mfano una block yako ya coding una different variable unataka ziwe excuted zaidi ya mara tatu hapa ndo tunatumia elseif tuangalie mfano hapa chini

If($age 10){
Print "ana miaka kumi ";
}else{
Print " ana zaidi miaka 11";
}elseif($age==" "){

Print " age cant be empty ";
}

Kwa lugha rahisi if else statement ni ikiwa kama fanya hivi basi kama sio hivi basi fanya hivi
 
Haya sasa leo tuendelee na comment

Kwenye langauge yeyote ile comment ni kitu muhimu saana kukifahamu

Nini faida ya comme3 kwenye language?

Kwanza inaturahisishia kukumbuka code zetu
Mfano unakuta file lako lina line kama 700 hivi alafu ndani ya hyo line kuna different code sasa hapa ndo umuhimu ya comment unapotokea hii inakufanya uweze kusoma code zako kwa urahisi.

Comment huwe zinaandikwa hivo
//

Ni muhimu kutambua hili.
 
  • Thanks
Reactions: Ok9
Mood naomba mbadilishe kichwa cha habari muandike jifunze programming kwa kiswahili asanteni.
 
  • Thanks
Reactions: Ok9
Loop .
Loop ni nguzo muhimu saana pale unapotaka kujifunza programming languages hii ni moja ya nguzo muhimu saana.

Nini umuhimu na kazi ya loop?
1.loop inatumika kufetch data mfano unataka loop yako ianze kuhesamu 1- 10 kwa kazi ya loop itaanza kuhesabu moja mpka 10 alafu itastop.
2.loop haina mwisho inaweza kuhesabu mpka hata trillion.
3.loop ni kama circle yaa inazunguka tuu mda wote huku ikisoma data.

Kuna aina karibu 4 zz loop ila mimi hapa nitaelezea 2 tuu.
1.while loop
2.for loop

Stay tuned tutaendelea next tiiime
 
U
Habari Mkuu, naomba nisaidie code za C za swali hili:-

1. Write a program to replace each constant in a string with the text one except letter „z‟ „Z‟ and „a‟ „A‟ . Thus the string “Programming in C is fun” should be modified as “Qsphsannjoh jo D jt gvo”.
Unataka kuunda cipher nini, nahisi ni moja ya code rahisi ya kuficha ujumbe hii

Aaah na jina lako encryption! linasadifu
 
Sawa mkuu..
Changamoto yangu kubwa ni hii:

Nimeizoea sana na naipenda saana PROCEDURAL STYLE of progrmming.
Ile ku code from SCRATCH ndivyo wengine wakat tunafanya degree hii ndio ilikua habar yenyewe but now days kuna hiz FRAMEWORKS.

Honestly sizipendi na licha ya kujizoesha kujifunza kuzitumia baado hazikai Moyoni (sio akilini). Yan sizipendi kabisaa..

Kuna robust software nimefanya yenye intergration za kutosha na third-party softwares kibao but nimetumia Procedural programming..

Sijawezaga kukubali kabisaa kuwa hiz Frameworks zina rahisha maisha..Nazionaga kama very complicated to me..

Heb nishaur mkuu nina shida gani mimi??

All in all...I love PHP na JAVA Ile mbaya yani.
 
Naipenda sana concept ya encryption na it is very helpful.

Unajua now days people are so much bombarded with PASSWORDS.
Password mpesa.tigopesa.hatel, crdb,nmb,facebuk,insta etc.

Sasa if you have a web-based software ambapo utataka kuwafanya users to login and be verified bila ulazima wa kuwa na password basi ENCRYPTION &DECRYPTION concept is very useful here.
 
Some people who commented in this thread have already proved to me that this person is not compentent enough to teach anybody programming....He also simply a bigginer on programming.
Twende tuendelee..Kikubwa ni kujifunza.
Na mwerevu hujifunza hata kwa mjinga
 
Mimi nataka kujifunza mambo ya AI, n.k nijifunze language gani?

Swali lingine hivi apa bongo kina chuo chenye evening classes za programming short course?
Zaman kidogo (2013 hukooo) nadhan DIT walikuaga nazo...sina uhakika now days..Jarib kuchek nao.
 
Haya sasa leo tuendele na kipindi guys niko busy baut hvo hvo tutajjtahidi
2.ARRAY
Array ni moja ya nguzo muhimu sana pale unapotaka kujifunza programming hii ni lazima uifahamu kivyo vyote vile kama hutaifahamu hii itakua ngumu sana kwako wewe kuelewa hii languag haya sasa array ndo nini?

Array ni kama box flani ambayo ndani ya hilo box inaweza kuweka na kuchanganganya vitu mbali mabli , yaani array kwa kifupi inapunguza pia mlolongo wa code usiwe mwingi sana.

Na sifa kubwa ya array unaweza ukachanganya namba na string , string ni names au majina tunaona mfanno hapa chini

Je array inaandikwaje?

Mfano nina variable ya username sasa huyu username ana jina, gender, umri, salary

Hebu tuone array inaandikwaje

$username =['claude', 15, 'male', 1000];
Hapa unavyoona username ndani yake kuna name, kuna age, na kuna gender , pamoja na amount sasa
Before hatujaendelea
Integers ni namba kwenye programming
Na interger inandikwa kama ilivo mfano kama no 15; inabaki hvo hvo elewa hii.
String maana yake ni name kwenye programming na string lazima uwe single quote' ', au double " "
Mfani nikiandika claude bila kuwek qoute italeta errors kwa hyo napaswa niandike 'claude' ;

Kwa hyo elewa kwamba integers ni namba na string ni name

Ok kwa hiyo sasa Array huwa inaandikwa [ ]; yaani ukiona kwenye code zimeandikwa hivi ujue hiyo ni array.
Ila mkuu , hem nisaidie kujua ulazima (licha ya kuwa ni muhim) wa arrays kwenye hiz system ambazo zina utilize Databases for Data storage..

Kwenye embeded applications nakubali umuhim na ulazima pia wa arrays kwa ajil ya ku store pieces of data.

Kindly.
 
If else statement hii nayo ni moja ya nguzo muhimu saana ndani ya programming yaani hii hauwezi kuacha kuitumia pale unapoandika code zako, kwa lugha rahisi tunaiita kweli au sio kweli
Kama ni kweli basi fanya hivi na kama sio kweli basi fanya hivi.

Kwenye if statement kumegawanyika katika sehemu kuu mbili.

If else statement ndo kila kitu kwenye programming elewa hii ni muhimu sana.

If na else na elseif
Hapa chini tutaangali mfano wa else.

Note: if else ina excute tuu one condition in one variable tuu elewa hii ukiwa na unataka ku excute condition zaidi ya moja ndo unakuja kutumia elseif();
Haya sasa tuone mfano wa elseif

Hebu tuone mfano hapa chini

If($answer =='ok'){
Print "mambo";
}else{
Print " sio kweli ";
}

Haya sasa ni kitu gani kinachotokea hapa?
Hapo nimesema hivi ikiwa jibu ni sawa sawa na ok iseme mambo na kama sio ok iseme sio kweli hapo automatically ita print mambo maana jibu ni mambo kweli.

Ok ni mechanism inayofanyika hapa code zinaenda fetch variable ya answer den ina excute na badae inatoa output.

Elseif teari tushelezea if else sasa hapa tunaelezea elseif();

Mfano una block yako ya coding una different variable unataka ziwe excuted zaidi ya mara tatu hapa ndo tunatumia elseif tuangalie mfano hapa chini

If($age 10){
Print "ana miaka kumi ";
}else{
Print " ana zaidi miaka 11";
}elseif($age==" "){

Print " age cant be empty ";
}

Kwa lugha rahisi if else statement ni ikiwa kama fanya hivi basi kama sio hivi basi fanya hivi
Sure mkuu..hii kitu ni nguzo moja ya msingi sana sana sana sana....uandike program na usitumie hii kitu aisee ni ngum sana...unaweza uka ignore loops au hizo switch (depending in u what u want to do) ila if...else hii ni kama maji..usipokunywa utaoga au kupikia 😂
 
Haya sasa leo tuendelee na comment

Kwenye langauge yeyote ile comment ni kitu muhimu saana kukifahamu

Nini faida ya comme3 kwenye language?

Kwanza inaturahisishia kukumbuka code zetu
Mfano unakuta file lako lina line kama 700 hivi alafu ndani ya hyo line kuna different code sasa hapa ndo umuhimu ya comment unapotokea hii inakufanya uweze kusoma code zako kwa urahisi.

Comment huwe zinaandikwa hivo
//

Ni muhimu kutambua hili.
Very true brother..very true..ujue programming in inlvolve alot of thinking..Na kuna vitu au idea flan huwa unazifikiria na kuzi implememt while coding na zikafanya kazi but in the mind kuna hisia zinakwambia kabisa "U NEED TO COME BACK AND REVISE THIS BLOCK OF CODE LATER" either kui perfect au kuelewa ulichokifanya licha ya kwamba kwa wakatinhuo kinafanya kazi. basi hapa muhim sana ku COMMENT something ili ujue wap pa kurudi na nini cha kufanya...

Kwa kifupi comments ni kama diary kwenye Code file.

Lakin pia kuweka instructions ili incase ni mtu mwingine na sio wewe atapaswa ku upgrade system basi aelewe maeneo ambayo unafikir yatampa changamoto...

Ni muhim sana hasa kwenye ku update system
 
  • Thanks
Reactions: Ok9
Loop .
Loop ni nguzo muhimu saana pale unapotaka kujifunza programming languages hii ni moja ya nguzo muhimu saana.

Nini umuhimu na kazi ya loop?
1.loop inatumika kufetch data mfano unataka loop yako ianze kuhesamu 1- 10 kwa kazi ya loop itaanza kuhesabu moja mpka 10 alafu itastop.
2.loop haina mwisho inaweza kuhesabu mpka hata trillion.
3.loop ni kama circle yaa inazunguka tuu mda wote huku ikisoma data.

Kuna aina karibu 4 zz loop ila mimi hapa nitaelezea 2 tuu.
1.while loop
2.for loop

Stay tuned tutaendelea next tiiime
While loop is so so much important when dealing with data stored kwenye database.Almost necessary kuijua hii kitu
 
Sawa mkuu..
Changamoto yangu kubwa ni hii:

Nimeizoea sana na naipenda saana PROCEDURAL STYLE of progrmming.
Ile ku code from SCRATCH ndivyo wengine wakat tunafanya degree hii ndio ilikua habar yenyewe but now days kuna hiz FRAMEWORKS.

Honestly sizipendi na licha ya kujizoesha kujifunza kuzitumia baado hazikai Moyoni (sio akilini). Yan sizipendi kabisaa..

Kuna robust software nimefanya yenye intergration za kutosha na third-party softwares kibao but nimetumia Procedural programming..

Sijawezaga kukubali kabisaa kuwa hiz Frameworks zina rahisha maisha..Nazionaga kama very complicated to me..

Heb nishaur mkuu nina shida gani mimi??

All in all...I love PHP na JAVA Ile mbaya yani.
Framework ni nzuri saana maana hii inakurahisishia sana mambo , kujua framework ni nzuri sana maana hata kwenye ajira itaulizwa unafahamu frameworks gani, etc.
Faida za frameworks
1. Inarahisha sana code how? Code nyingi inakuta teari wao wameshaziandika yaani unaandika less code nyingi unakuta wao wameshaziandika.
2.ina security kubwa maana inatumia kitu kinachoitwa MVC model view controller
Framework nyingi zinatumi OOP ambayo ni nzuri sana na currently.

Mkuu achana na procedural kabisa bana hiyo ni ya zamani sana tumia PDO au OOP.
 
Back
Top Bottom