Niulize chochote kuhusu samaki wa urembo nikujibu (angalia picha)

Wanaliwa?
Hapana hawaliw kwa maana hamna aliejaribu kula sababu wanauzwa bei mbaya sanaa lengo kuu ni urembo ila ukiamua kula unakula kuna siki nilikia ziwa Tanganyika na mzungu mmoja katika pita pita tukamkuta jamaa anakula ugali na samaki wa urembo aina ya frontosa ni deal sanaa ulaya samaki kumi milion moja mzungu lianza kulia kwanini jamaa anakula hela nying hivyoo
 
Aisee
 
Mimi nafuga Sato ila nataka pia nipate wa mapambo maana nimejikuta nawapenda je chakula chao wanaweza ku share kile kile? na nisaidie bei ya Aquarium Standard size 30 liters
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…