Niulize chochote kuhusu samaki wa urembo nikujibu (angalia picha)

Niulize chochote kuhusu samaki wa urembo nikujibu (angalia picha)

Hapana hawaliw kwa maana hamna aliejaribu kula sababu wanauzwa bei mbaya sanaa lengo kuu ni urembo ila ukiamua kula unakula kuna siki nilikia ziwa Tanganyika na mzungu mmoja katika pita pita tukamkuta jamaa anakula ugali na samaki wa urembo aina ya frontosa ni deal sanaa ulaya samaki kumi milion moja mzungu lianza kulia kwanini jamaa anakula hela nying hivyoo

Mzungu mr bean
 
Mzungu alianza kulia ? 😀
Hapana hawaliw kwa maana hamna aliejaribu kula sababu wanauzwa bei mbaya sanaa lengo kuu ni urembo ila ukiamua kula unakula kuna siki nilikia ziwa Tanganyika na mzungu mmoja katika pita pita tukamkuta jamaa anakula ugali na samaki wa urembo aina ya frontosa ni deal sanaa ulaya samaki kumi milion moja mzungu lianza kulia kwanini jamaa anakula hela nying hivy
 
Back
Top Bottom