Niulize chochote kuhusu samaki wa urembo nikujibu (angalia picha)

Hawa tumevua sana hapo victoria hapo kabla hawajatengeneza izo barabara za sasa
Yaah ni kweli kuna mtu aliwaweka sehem kwa Makusud au alipata mafuriko wakasombwa na maji kisha kuingia kwenye mitaro
 
Mimi mteja niko Dar nipigie uniuzie
Watoto wangu wanapenda sana hayo mambo
Namba nakuwekea PM
 
Chai tamu kweli kweli
 
Kwasababu mleta mada alieleza wazi kwamba ni samaki wa urembo, then jamaa akauliza kama wanakiwa wakati tayari ilisha elezwa kwamba ni waurembo.
Basi nikaona niamue ugomvi tu😂🤣
Ha ha haa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…