Nimeshagaa sana kukutana na swali kama hili kwa mtu anayejiita great thinker
swali ambalo unaweza hata jibu lake kulipata hata kwenye kamusi.
Tajiri ni mtu anayemiliki vitu vya thamani, pesa, majumba biashara mbalimbali. pamoja na kuwa ni vyazo vingi vya mapato,.
kutokana na shule nyingi hapa tanzania kushidwa kuwafundisha vijana kuhusu somo muhimu la kuhusu siri ya utajiri.
Naomba kama una malengo ya kuwa tajiri, na unataka kujua siri ya utajiri niulize hapa hapa.
NB:kwa faida ya wengi usitumie lugha ya kingereza maana sitakujibu swali lako.
kama hujalizika na jibu la swali lako usikejeli, kwa kuwa jf wengi ni great thinker najua watakuja wengine kukusaidia kujibu swali lako.
Emu tueleze shughuli/biashara zako unazofanya ambazo umeona znakupa indicator ya kuelekea utajiri. Nb elezea miradi yako yote jinsi unavoiendesha na changamoto zake na inakuleteaje tija?
Mimi siyo tajiri lakni ni ndoto zakuwa tajiri
Kwani hujui kiswahili neno ndoto lina maana ngapi?
Nna uhakika mleta mada hajui hata maana halisi ya neno utajiri.
kutokana na shule nyingi hapa tanzania kushidwa kuwafundisha vijana kuhusu somo muhimu la kuhusu siri ya utajiri.
Naomba kama una malengo ya kuwa tajiri, na unataka kujua siri ya utajiri niulize hapa hapa.
NB:kwa faida ya wengi usitumie lugha ya kingereza maana sitakujibu swali lako.
kama hujalizika na jibu la swali lako usikejeli, kwa kuwa jf wengi ni great thinker najua watakuja wengine kukusaidia kujibu swali lako.
kwenye hizo 'ndoto' za utajiri watu washaamka.....
nikajua ni booonge moja la thread..
Dah!
Jamani mbona mnamkatisha tamaa mwenzenu mwacheni awasaidie wengine kama nyie mwafahamu
bestito hata wewe?