Niulize chochote kuhusu siri ya kuwa tajiri

Niulize chochote kuhusu siri ya kuwa tajiri

Je nikiwa na laki moja nifanye biashara gani ili niwe tajiri?

Mkuu kuwekeza laki moja inatengemea na wewe uko maeneo gan? je uko kijijini au mjini.

naomba jibu, ili nipate pakuazia
 
Nimeshagaa sana kukutana na swali kama hili kwa mtu anayejiita great thinker

swali ambalo unaweza hata jibu lake kulipata hata kwenye kamusi.

Tajiri ni mtu anayemiliki vitu vya thamani, pesa, majumba biashara mbalimbali. pamoja na kuwa ni vyazo vingi vya mapato,.

Emu tueleze shughuli/biashara zako unazofanya ambazo umeona znakupa indicator ya kuelekea utajiri. Nb elezea miradi yako yote jinsi unavoiendesha na changamoto zake na inakuleteaje tija?
 
Kuna ukweli wowote iwapo Majuto ana mali nyingi kuliko Mawazo lakini iwapo wote watasimama kazi Majuto akaweza kujiendesha maisha kupitia mali zake kwa miezi 6 wakati mawazo akafika 9, basi wa mwisho ni tajiri kuliko wa kwanza?
 
kutokana na shule nyingi hapa tanzania kushidwa kuwafundisha vijana kuhusu somo muhimu la kuhusu siri ya utajiri.

Naomba kama una malengo ya kuwa tajiri, na unataka kujua siri ya utajiri niulize hapa hapa.

NB:kwa faida ya wengi usitumie lugha ya kingereza maana sitakujibu swali lako.

kama hujalizika na jibu la swali lako usikejeli, kwa kuwa jf wengi ni great thinker najua watakuja wengine kukusaidia kujibu swali lako.

wewe ni tajiri? kwa kiwango kipi?
 
Nna uhakika mleta mada hajui hata maana halisi ya neno utajiri.
 
Emu tueleze shughuli/biashara zako unazofanya ambazo umeona znakupa indicator ya kuelekea utajiri. Nb elezea miradi yako yote jinsi unavoiendesha na changamoto zake na inakuleteaje tija?

Swali nzuri?

1, mimi nina ng'ombe 16 pamoja na mbuzi 20
pia ninafunga kuku wakienyeji na nimeweka mkatamba na mfanya biashara mmoja kila baada ya miezi miwili anakuja kununua kuku na mbuzi

2, nina mashamba ya kilimo pamoja na bunga heka 90.
kijijini

3, nina duka la ushonaji nguo za kina baba na kina mama pia nimeajili watu.

4,nina piki piki mbili ambazo pia nimeajiri vijana.

5, nafanya biashara ya kuwanunulia wakulima wezangu mpunga pamoja na mazao mengine.

6, nina majembe matatu ya kukotwa na ng'ombe, ambayo ikifika wakati wa masika nafanya biashara ya kuwalimia amba hawana ng'ombe
 
Sasa kama wewe sio tajiri, unajueje siri ya kuwa tajiri?

Utajueje kuwa siri yako ni ya ukweli wakati hujaithibitisha?

Kutokana na mikakati ambayo ninayo!! ndiyo itanifanya kuwa tajiri.
 
Nasubiria hapa hadi nione coment ya mpululu ndiyo nitaondoka hapa
 
Last edited by a moderator:
kutokana na shule nyingi hapa tanzania kushidwa kuwafundisha vijana kuhusu somo muhimu la kuhusu siri ya utajiri.

Naomba kama una malengo ya kuwa tajiri, na unataka kujua siri ya utajiri niulize hapa hapa.

NB:kwa faida ya wengi usitumie lugha ya kingereza maana sitakujibu swali lako.

kama hujalizika na jibu la swali lako usikejeli, kwa kuwa jf wengi ni great thinker najua watakuja wengine kukusaidia kujibu swali lako.

Hapo kwenye red, hutaki tutumie kiingereza wakati kiswahili chenyewe hukiwezi.. Hahaha dogo vip!!!!!!
 
Jamani mbona mnamkatisha tamaa mwenzenu mwacheni awasaidie wengine kama nyie mwafahamu
bestito hata wewe?

Hiini post ya 30+... Sijaona strong content kutoka kwa mleta mada..

Kaulizwa maswali mboga kabisa ya kuvutia marks lakini kajibu garbage tu!

He is not serious!

Hivi mtu akikuuliza tajiri ni nani utajibuje?

Hilo swali siyo rahisi kujibika japo ni rahisi kusomeka!
 
Nimeshagaa sana kukutana na swali kama hili kwa mtu anayejiita great thinker

swali ambalo unaweza hata jibu lake kulipata hata kwenye kamusi.

Tajiri ni mtu anayemiliki vitu vya thamani, pesa, majumba biashara mbalimbali. pamoja na kuwa ni vyazo vingi vya mapato,.

huyo ni mtu mwenye uwezo ni si tajiri
 
Back
Top Bottom