Mimi siyo tajiri lakni ni ndoto zakuwa tajiri[/
Ndoto yako ikikumbwa na changamoto kwa muda wa miaka kumi,utafanya nini?
Swali nzuri?
1, mimi nina ng'ombe 16 pamoja na mbuzi 20
pia ninafunga kuku wakienyeji na nimeweka mkatamba na mfanya biashara mmoja kila baada ya miezi miwili anakuja kununua kuku na mbuzi
2, nina mashamba ya kilimo pamoja na bunga heka 90.
kijijini
3, nina duka la ushonaji nguo za kina baba na kina mama pia nimeajili watu.
4,nina piki piki mbili ambazo pia nimeajiri vijana.
5, nafanya biashara ya kuwanunulia wakulima wezangu mpunga pamoja na mazao mengine.
6, nina majembe matatu ya kukotwa na ng'ombe, ambayo ikifika wakati wa masika nafanya biashara ya kuwalimia amba hawana ng'ombe
kutokana na mikakati ambayo ninayo!! Ndiyo itanifanya kuwa tajiri.
Pole sana kwa kuwa na akili kama ya kuku, jibu lako utalipata hapa
Hiini post ya 30+... Sijaona strong content kutoka kwa mleta mada..
Kaulizwa maswali mboga kabisa ya kuvutia marks lakini kajibu garbage tu!
He is not serious!
Hivi mtu akikuuliza tajiri ni nani utajibuje?
Hilo swali siyo rahisi kujibika japo ni rahisi kusomeka!
Mimi siyo tajiri ila nina malengo yakuwa tajiri namuomba mungu anijalie uzima.
Nina mipango ya kuyakamilisha hayo yote nikifikisha miaka 50,
asante kwa swali lako.
Mtoa mada kajifunze kiswahili kwanza ndio urudi.. Humu JF hakuna watoto wenzako. Unaulizwa maswali unaleta kejeli, alafu mtu upo ndotoni unataka utufundishe nini??
Kuna vitabu vinaandikwa na watu matajiri kama kina Donald Trump na Kayosaki hivyo ndivyo vinafundisha jinsi ya kufikia malengo yako..
Kuhusu kuishi miaka mingapi hilo ni swala na mwenyenzi mungu
sidhani kama kuna mtu anayependa kufa.