we binti si ndo ulikuwa unamvua nguo kaka yako kwenye uzi wako wa juzi!?leo elimu ya utajiri umeitoa wapi?
Ukitaka kuwa tajiri bongo fungua gesti hausi
Ndgu wana jf sijaandika huu uzi kwa kujindai kwamba eti mimi ninajua sana kuhusu siri ya utajiri
lengo langu kuu nikuweza kujadili hili somo ambalo limekuwa adimu sana kulipata darasani.
kwa hiyo tukikusanya mawazo yetu wote tunaweza kupata siri zito kuhusu utajiri.
siyo kwamba ninachokujua mimi unakijua na wewe
na
unachokijua wewe mimi pia sikijui. karibu sana kwa mjadala wakuu.
huu ni kama ule unaoiitwa ujamaa wa njoziWe una utajiri gani, isiwe tunamezeshana theory tu...
Una roadsters ngapi, ile rolls loyce ulinunua pesa ngapi, umeikopesha serikali mara ngapi, umetoa misaada mara ngapi, hata JF umeshindwa kuwa golden member...
Nina mipango ya kuyakamilisha hayo yote nikifikisha miaka 50,
asante kwa swali lako.
mikakati yako imekaa vipi kupamabna na changamoto zilizopo? Itatunza vipi siri yako ya utajiri?
Hongera sana ukitokea ukame kwa miaka saba utafanya nini?
Je nikiwa na laki moja nifanye biashara gani ili niwe tajiri?
Mikakati yangu ni kuborasha zaidi vyazo vya vipato vyangu na kuhakikisha naongeza vyazo vingine vya kimapato.
mimi binafsi napenda kutumia mfano ya mizizi ya mwembe nyisi ilivyomingi na ilivyosambaa,,, ndiyo maana tunapata tunda tumu kutokana na mizizi hiyo kukusanya matirio mbalimbali yanayoweza kutengeneza embe.
tamu kiasi kile.
changamoto
kutokana na mimi kutengemea zaidi asilimia kubwa ya mapato yangu kwenye kilimo, nina mpango wa kufanya drilling water, ili kuweza kupata maji ya uhakika kila wakati.
EEh God help me!,
We jamaa nahisi hujitambui kwa kweli! Alfu siku hizi watu mmeanza kupoteza sifa za JF na kufanya mambo mnayoyajua ninyi wenye fikra ndogo ndogo.......kilichokuponza wewe kijana umekosea kuandika tittle na kwa fikra zako umejiona bonge la tajiri ile mbaya eti kisa una hekta 50 ndio ukaja na ujasiri humu tukuulize jinsi ya kupata utajili lo! Ungewaomba watu msaada wakupe au watupe mbinu za kuwa matajiri na sio wewe kutoa mbinu hizo kwa sababu na wewe ni bado masikini kama mimi tu!
Kwani wewe ni tajiri? Unamiliki nini? Theory za utajiri ziko nyingi lakini kufanya kwa vitendo mpaka uwe tajiri sio mzaha. Sio kila wazo litakupa utajiri. Mengine yatakipa hela ya kawaida tu.
We jamaa nahisi hujitambui kwa kweli! Alfu siku hizi watu mmeanza kupoteza sifa za JF na kufanya mambo mnayoyajua ninyi wenye fikra ndogo ndogo.......kilichokuponza wewe kijana umekosea kuandika tittle na kwa fikra zako umejiona bonge la tajiri ile mbaya eti kisa una hekta 50 ndio ukaja na ujasiri humu tukuulize jinsi ya kupata utajili lo! Ungewaomba watu msaada wakupe au watupe mbinu za kuwa matajiri na sio wewe kutoa mbinu hizo kwa sababu na wewe ni bado masikini kama mimi tu!
Tajiri ni nani/mtu wa aina gani?
Mungu wangu mtiifu lazma atanijalia uzima hadi nifike huko!!
Nimefwatilia uchangiaji wa mada...inaonekana bado tuna mtizamo hasi sana..mtu anaweza kuja na mada nzuri lakini wachangiaji wanaipotosha..hapo ndio uswahili unaingia..wenzetu weupe wana ustaarabu flani wa kuheshimu mawazo ya mtu na kustahimili