Niulize chochote kuhusu siri ya kuwa tajiri

Niulize chochote kuhusu siri ya kuwa tajiri

we binti si ndo ulikuwa unamvua nguo kaka yako kwenye uzi wako wa juzi!?leo elimu ya utajiri umeitoa wapi?

Acha matusi mkuu nani binti...!

kama unaona uzi haukufai kwa nini upost tusi kama hilo,, au unataka utuonyeshe kwamba na wewe unayaweza matusi,
 
Ndgu wana jf sijaandika huu uzi kwa kujindai kwamba eti mimi ninajua sana kuhusu siri ya utajiri

lengo langu kuu nikuweza kujadili hili somo ambalo limekuwa adimu sana kulipata darasani.
kwa hiyo tukikusanya mawazo yetu wote tunaweza kupata siri zito kuhusu utajiri.

siyo kwamba ninachokujua mimi unakijua na wewe
na
unachokijua wewe mimi pia sikijui. karibu sana kwa mjadala wakuu.

Tittle uliyoitumia kaka ndo inakuponza,umesema tukuulize chochote kuhusu utajiri alafu sasa hivi unatugeuka na kusema vingine uvijui tena!!!
 
ila shy land nimekufuatilia sana posts zako na jinsi unavyojibu maswali ukilinganisha na elimu yako (kuna uzi uliwah kuweka humu kuhusu elimu yako) una AKILI sana. Mimi binafsi nimekukubali cjui wenzangu
 
We una utajiri gani, isiwe tunamezeshana theory tu...
Una roadsters ngapi, ile rolls loyce ulinunua pesa ngapi, umeikopesha serikali mara ngapi, umetoa misaada mara ngapi, hata JF umeshindwa kuwa golden member...
huu ni kama ule unaoiitwa ujamaa wa njozi
 
Mkuuu thread nzuri ila unaendeshwa na emotion ujatulia na ujajiandaa kutoa majibu kwa nini? Hii ni jamii lazima utakutana na maswali ya aina yoyote na usingetakiwa kuchagua maswali ila kujibu maswal yote kwa ufasaha.... huna uelewa wa kutosha kuhusu utajiri.... at least ungedig in ukaja na mifano na reference za watu waliokwisha andika au kuwa matajiri na namna walivyofanya....ila sasa umekurupuka huko alafu unatoa majibu mepesi mepesi wakati mada ni nzito.... go and Google can help you...
 
mikakati yako imekaa vipi kupamabna na changamoto zilizopo? Itatunza vipi siri yako ya utajiri?

Mikakati yangu ni kuborasha zaidi vyazo vya vipato vyangu na kuhakikisha naongeza vyazo vingine vya kimapato.
mimi binafsi napenda kutumia mfano ya mizizi ya mwembe nyisi ilivyomingi na ilivyosambaa,,, ndiyo maana tunapata tunda tumu kutokana na mizizi hiyo kukusanya matirio mbalimbali yanayoweza kutengeneza embe.
tamu kiasi kile.

changamoto
kutokana na mimi kutengemea zaidi asilimia kubwa ya mapato yangu kwenye kilimo, nina mpango wa kufanya drilling water, ili kuweza kupata maji ya uhakika kila wakati.

EEh God help me!,
 
Hongera sana ukitokea ukame kwa miaka saba utafanya nini?

Pamoja na kwamba najikita zaidi kwenye ufangaji na kilimo lakini pia ni mfanyabiashara...!

kwa tanzania hii nimengudua wakulima wengi sana wanatengemea mvua. mkakati wangu mkuu nikufanya hiyi drill ya maji ya chini kabsa na yenye kina kirefu.

maji haya naona yatanisaidia sana katika maswala ya kilimo na ufangaji.
 
Je nikiwa na laki moja nifanye biashara gani ili niwe tajiri?

Kuwekeza laki mmoja ni mtaji mkubwa sana lakin inategemea na wewe uko maeneo gan?

mfano uko kijijini

nunua kuku majike kumi kwa bei ya tsh7000, ambayo inakuja kama tsh70,000. hapo utakuwa umebekiwa na tsh3000, kutokana na uchumi wako na uko kijijini kaazime madume mawili, au kama ikishidikana kuazima kakodi kwa bei ya tsh5000, kwa hiyo utabakiwa na tsh25000 kwa ajili ya kununulia dawa na chakula.
nina uhakika wa kwamba kila siku utakuwa unaokota mayai yasiyopungua matano,..! neenda kafanye mkataba na mtu wa duka au mamantilie, kwa kuwa ni kijijini yei moja utauza kwa bei ya tsh400 mara tano tsh2000, kwa hiyo hicho ndio kipato chako kwa siku. kumbuka kila baada ya siku tatu unaogeza kuku jike tena ili kukuza mtaji wako kwa hiyo utajikuta ndani ya mwenzi mmoja una kuku kama 15, uza watatu na ukanunu madume mawili ya kwako.
 
Mikakati yangu ni kuborasha zaidi vyazo vya vipato vyangu na kuhakikisha naongeza vyazo vingine vya kimapato.
mimi binafsi napenda kutumia mfano ya mizizi ya mwembe nyisi ilivyomingi na ilivyosambaa,,, ndiyo maana tunapata tunda tumu kutokana na mizizi hiyo kukusanya matirio mbalimbali yanayoweza kutengeneza embe.
tamu kiasi kile.

changamoto
kutokana na mimi kutengemea zaidi asilimia kubwa ya mapato yangu kwenye kilimo, nina mpango wa kufanya drilling water, ili kuweza kupata maji ya uhakika kila wakati.

EEh God help me!,

We jamaa nahisi hujitambui kwa kweli! Alfu siku hizi watu mmeanza kupoteza sifa za JF na kufanya mambo mnayoyajua ninyi wenye fikra ndogo ndogo.......kilichokuponza wewe kijana umekosea kuandika tittle na kwa fikra zako umejiona bonge la tajiri ile mbaya eti kisa una hekta 50 ndio ukaja na ujasiri humu tukuulize jinsi ya kupata utajili lo! Ungewaomba watu msaada wakupe au watupe mbinu za kuwa matajiri na sio wewe kutoa mbinu hizo kwa sababu na wewe ni bado masikini kama mimi tu!
 
Nakuomba ufute kauli yako yakuniita masikini,,,! kama wewe ni masiki umasikini wako baki nao wewe!! siyo uniletee na mimi
 
Nimefwatilia uchangiaji wa mada...inaonekana bado tuna mtizamo hasi sana..mtu anaweza kuja na mada nzuri lakini wachangiaji wanaipotosha..hapo ndio uswahili unaingia..wenzetu weupe wana ustaarabu flani wa kuheshimu mawazo ya mtu na kustahimili
 
Kwani wewe ni tajiri? Unamiliki nini? Theory za utajiri ziko nyingi lakini kufanya kwa vitendo mpaka uwe tajiri sio mzaha. Sio kila wazo litakupa utajiri. Mengine yatakipa hela ya kawaida tu.
 
Kwani wewe ni tajiri? Unamiliki nini? Theory za utajiri ziko nyingi lakini kufanya kwa vitendo mpaka uwe tajiri sio mzaha. Sio kila wazo litakupa utajiri. Mengine yatakipa hela ya kawaida tu.

Hili swali nimesha lijibu,,, jaribu kuangalia kwenye comenti zangu zilizopita
 
We jamaa nahisi hujitambui kwa kweli! Alfu siku hizi watu mmeanza kupoteza sifa za JF na kufanya mambo mnayoyajua ninyi wenye fikra ndogo ndogo.......kilichokuponza wewe kijana umekosea kuandika tittle na kwa fikra zako umejiona bonge la tajiri ile mbaya eti kisa una hekta 50 ndio ukaja na ujasiri humu tukuulize jinsi ya kupata utajili lo! Ungewaomba watu msaada wakupe au watupe mbinu za kuwa matajiri na sio wewe kutoa mbinu hizo kwa sababu na wewe ni bado masikini kama mimi tu!

najitabua kwa asilimia mia moja! kama unaswali lingine naomba uniulize!!

naona kinchokusumbua ni wivu.
 
Tajiri ni nani/mtu wa aina gani?

Tajiri ni mtu asiyeridhika na mahitaji muhimu aliyoyapata na daima anaendelea kutafuta ziada

Masikini ni yule aliyeshindwa kupata mahitaji yake muhimu kutokana naudhaifu wa kiungo au viungo ktk mwili wake

Fukara ni yule aliyeshindwa kupata mahitaji yake bila sababu za msingi.
 
Nimefwatilia uchangiaji wa mada...inaonekana bado tuna mtizamo hasi sana..mtu anaweza kuja na mada nzuri lakini wachangiaji wanaipotosha..hapo ndio uswahili unaingia..wenzetu weupe wana ustaarabu flani wa kuheshimu mawazo ya mtu na kustahimili

Nina uhakika elimu yako hujasomea bongo, kama nimekosea elimu yako unaifanyia kazi,
big up bro!!
 
Back
Top Bottom