Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
style ya kuchezesha shingo si ya wasomali pekee yake, beja pia wasudani wana mchezo huo, wakurya pia watanzania wanachezesha inategemea tu wanachezeshaje.kuna ile style mnacheza kwa kuchezesha shingo tuh ni somali nafikiri
je unaifahamu
Uko mji gani Mkuu...?Leo nitakua najibu maswali yote yanayohusu somalia na wasomali!!
Uliza chochote…
Mr chromium
mogadishuUko mji gani Mkuu...?
Mitaa ipi hiyo...? Aden Abdulle au KM4 au KM0? Au Ex-Afgoye?mogadishu
Vipi maisha hapo Mogadishu kwa maana gharama ya nyumba kupanga au chumba, chakula kipi kinapendwa sana je mademu Wana tabia ganimogadishu
Kiswahili fasaha nikueleweRais wa Uto ni msomali wa wapi
Ukiachana na kuteka meli ni shughuli yaUkiachana na kuteka meli ni shughuli gani nyingine vijana huwa wanafanya kujiingizia kipato.
wasomali wanamatatizo mengi kama utapiamlo,njaa,magonjwa pia1-Hivi,mbona wengi nikikutana nao njiani kule Kismayu huwa wamevimba shavu mojamoja?Huwa wanapigana migumi ya mashavuni?
2-Sababu kuu ya mapigano nchini mwao na kuwa na waasi/militia wengi wanajilipua kwa vilipuzi ni nini?
Maisha yapo kawaida sana! na vitu si ghali sana kama nairobi.Vipi maisha hapo Mogadishu kwa maana gharama ya nyumba kupanga au chumba, chakula kipi kinapendwa sana je mademu Wana tabia gani
KaribuNaweka kambi hapa.
Naona kama swali la pili umeliacha.wasomali wanamatatizo mengi kama utapiamlo,njaa,magonjwa pia
Ni tofauti na wasomali matajiri ambao wamehamia nchi kama tz uganda na zinginezo kufanya biashara.
Lakini pia kwa wasomali wengi hasa wana wake wana asili ya mashavu