Niulize chochote kuhusu Somalia na wasomali

Niulize chochote kuhusu Somalia na wasomali

mtoto wa baba mkubwa kuoa au kuolewa na wa baba mdogo kawaida kwao.
 
Hivi hapa Tanzania miji gani ina wasomali wengi ukiacha Dar es Salaam?
 
Hivi ni kweli ukibainika umeiba kitu cha mtu mwingine adhabu yake ni kukatwa kidole cha mkono wa kulia?
 
Toka nimezaliwa mpaka leo sijawahi ona Msomali amefumba mdomo... Hii hali husababishwa na nini?
 
Back
Top Bottom