Niulize chochote kuhusu Somalia na wasomali

Je Kuna Kanisa (Wakristo) Somalia (Mogadishu) ?
Wanaruhueiwa kuabudu ?
Kuna kanisa kubwa sana Mogadishu ingawa waumini ndio wachache .
Wengi wa wakristu hawasali katika kanisa hilo bali kwene vijikanisa mafichoni kwa kuogopa kushambuliwa na kundi la Al shababna waislam wenye misimamo mikali
 
Attachments

  • 34F2C549-8F74-43F1-BE77-5E6F01742A68.jpeg
    34F2C549-8F74-43F1-BE77-5E6F01742A68.jpeg
    35.9 KB · Views: 4
  • 7E1B70EE-FF32-4E29-AEB1-E1F5ED005AA0.jpeg
    7E1B70EE-FF32-4E29-AEB1-E1F5ED005AA0.jpeg
    41.8 KB · Views: 4
Kuna fursa gani huko ambapo Mtanganyika anaweza kuja kufanya ama bidhaa gani anaweza leta huko na ikamlipa vizuri, pia ni bidhaa gani ambazo Mtanganyika anaweza chukua huko Somalia akaleta Tanganyika ikamlipa vizuri?
Leo nitakua najibu maswali yote yanayohusu somalia na wasomali!!
Uliza chochote…

Mr chromium
 
Kwanini wasomali wanawachukia wasomali wabantu ambao walikuwa wanawaua wakakimbilia Tanga.
Wasomali hawawachukii wabantu tu bali wanawachukia makabila mengine pia,,,,
Kwakua uislam ulisambaa kwao mapema basi waarabu walikua wakiingia sehemu nyingine za Africa Kuchukua watu wa kuuza.
Hivo wasomali huona kama wabantu ni watumwa.

Ingawa wanajua ukweli hamna watu wametumikishwa na waitali au na waarabu kama wasomali.

Wasomali wana superiority complex.
Lakini wivu pia unawasumbua hasa ukizingatia nchi zote ambazo wamekaa wabantu zinastawi na kushamili lakin wao wameshindwana hata wao kwa kwao.
Hivo chuki ya wasomali imeanza na kujichukia wao kwa wao.
Kupotea kiasili kushindwa kujijua kama ni waarabu au waafrica (identity crisis).

Hii ndio ilipelekea wafanye Genocide ya wasomali wabantu.
 
Kuna fursa gani huko ambapo Mtanganyika anaweza kuja kufanya ama bidhaa gani anaweza leta huko na ikamlipa vizuri, pia ni bidhaa gani ambazo Mtanganyika anaweza chukua huko Somalia akaleta Tanganyika ikamlipa vizuri?
Tanzania inaweza uza chakula ,mazao ya mifugo kama mbuzi sana sana ndo habari ya mjini.

Kama ni dealer wa silaha huku ndiko mahari pake hawa watu wanapenda silaha sana
 
Wasomali hawawachukii wabantu tu bali wanawachukia makabila mengine pia,,,,
Kwakua uislam ulisambaa kwao mapema basi waarabu walikua wakiingia sehemu nyingine za Africa Kuchukua watu wa kuuza.
Hivo wasomali huona kama wabantu ni watumwa.

Ingawa wanajua ukweli hamna watu wametumikishwa na waitali au na waarabu kama wasomali.

Wasomali wana superiority complex.
Lakini wivu pia unawasumbua hasa ukizingatia nchi zote ambazo wamekaa wabantu zinastawi na kushamili lakin wao wameshindwana hata wao kwa kwao.
Hivo chuki ya wasomali imeanza na kujichukia wao kwa wao.
Kupotea kiasili kushindwa kujijua kama ni waarabu au waafrica (identity crisis).

Hii ndio ilipelekea wafanye Genocide ya wasomali wabantu.
Hivi Uingereza na Italy zilitawala kwa pamoja huko Usomali?
 
Kuna kanisa kubwa sana Mogadishu ingawa waumini ndio wachache .
Wengi wa wakristu hawasali katika kanisa hilo bali kwene vijikanisa mafichoni kwa kuogopa kushambuliwa na kundi la Al shababna waislam wenye misimamo mikali
Asante sana kwa kusema ukweli.
Je umebaini ni kwa nini Ukristo hautakiwi Somalia na Mogadishu wakati Dini nyingine zote zina ruhusiwa kuabudu.
Ni nini shida kwa Wakristo ?
(Nataka kwenda kuanzisha Kanisa Somalia)
Nianzie wapi ?
 
Tanzania inaweza uza chakula ,mazao ya mifugo kama mbuzi sana sana ndo habari ya mjini.

Kama ni dealer wa silaha huku ndiko mahari pake hawa watu wanapenda silaha sana
Silaha mTz utatoa wap mkuu😊.product nyingine ?
 
Wasonjo wa tunakucheki tu unavyowalisha matango pori wamatumbi wenzio huku tunakunywa shaah! 😀
 
Back
Top Bottom