Niulize chochote kuhusu Somalia na wasomali

Niulize chochote kuhusu Somalia na wasomali

Yaani nikuulize swali kuhusu mimi mwenyewe halafu wewe mmatumbi unijibu kuhusu mimi?
Kwan ukiwa ww msomali ndo kujua kuhusu somalia.
Hata uwe msomali labda unajua kuhusu ukoo wako vizuri lakin usijue kuhusu wengine na usijue kuhusu Geopolitics
Ndo maana kuna watafiti wa siasa,mambo ya kijamii,geopolitics. siyo tu kijana umekulia buza kisa tu una asili ya kisomali utajua ishu ya somalia
Acha ujuha mkuu.
 
Back
Top Bottom