Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

kelphin

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
9,872
Reaction score
16,319
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.

Karibu
images.jpg


Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.

Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model.

Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu.

Ila kinafanya multipurpose, ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid.
kifupi mambo yote ni in one button.

Faida yake ni kuwa, aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater(Ila haijawahi[emoji2][emoji2inakua na umeme mnyoofu kidogo.

Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi ni digital,yaani yakisasa,
lakini pia display yake ni LCD haitumii umeme mwingi.

Je utaijuaje?
Nob ya kuongezea sauti ni moja tu na zaidi utakuta button za menu na input inategemeana). Ukiigeuza nyuma ina kiplastic kidogo kilichozungushwa nati, yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko wote wa nyuma, hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer.

Hasara zake
  1. Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000.
  2. Ila ukifika unaipachika tu huangaiki.
  3. Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob.
  4. Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde sana kwahiyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu.

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo ni nzuri kwenye uzuri wake. Yenyewe ukiingalia utakuta Ina nob yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja. Yaani cha master volume, bass, tweeter na mic, na ukivizungusha vinafika mwisho.

Yenyewe ndani power supply yake ni ya kawaida, inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida. kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kusambazwa ndani. Yaweza kuwa Seapiano, Codjec Aborder au vyovyote. Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma.

Faida yake
  1. ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
  2. Zinavumilia sana
  3. Hata muziki upo pia
  4. Rahisi kuitumia
Hasara zake
  1. Display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoimba Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo(hii ni kwa baadhi ya subwoofer)
  2. Muonekano wake ni wakizamani ikilinganishwa na hizi mpya

Soma hi pia [emoji1427]
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo, huzaliana na kuleta hitilafu kwa kukata nyaya na kula speaker.
Waya wa speaker una chumvi chumvi hivyo akiingia hauachi.

Simple way jinsi ya kudhibiti
Pale kwenye tobo kuna ki corn cha duara huwa wanakipachika unaweza kukitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao:

  1. Chukua maji ya moto kidogo na kitambaa, kichovye kitambaa kwenye maji kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano.
  2. Kisha chukua kisu, tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua. Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani(sio Huku uliko Kanda kwa maji).
  3. Ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa, kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu.
  4. Paka gundi upande wa ndani, huku ulikokua unakanda na maji kisha kibandike tena kama kilivyokuwa.

NB: Hii ni kwazile subwoofer kama pichani hapo juu, ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara. Wale zinazotolea mbele chini ni habari nyingine.

***
Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195

Some updates,
Je, music system yako haina bluetooth na unataka kuongezea? Easy sana na inawezekana pia, kwa mafundi ninaweza kuwaelekeza.

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5, yaani picture, video inawezekana pia[emoji3][emoji3].
Hususani wale wenye TV za kizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer, unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer hadi kwenye TV yako.

Stay here.
More good things are here.
Welcome.

View attachment 1921368
View attachment 1921369
 
Mkuu ninasubwoofer hapa tangu ninunue ina week moja sasa, shida yake hasa ni upande wa FM radio sipati channel hata moja hata kama nikichomeka wire wa antenna
Aina ya subwoofer ni Sea piano 8800 2.1
NB vitu vingine vyote viko good
 
Mkuu ninasubwoofer hapa tangu ninunue ina week moja sasa, shida yake hasa ni upande wa FM radio sipati channel hata moja hata kama nikichomeka wire wa antenna
Aina ya subwoofer ni Sea piano 8800 2.1
NB vitu vingine vyote viko good

Pole mkuu
Upo wap?
Yawezekana eneo uliopo halina power freq
Lakini pia zile transmitter za subwoofer hazina power kama za hizi redio zakawaida
Yawezekana kwasababu hiyo
Au yawezekana pia transmitter yake haijakaa vizuri pia
 
Sony walau upate zile GTR series ambazo cone yake ni nyeupe, ndo makin ila hya mekundu yaliyojazana mjin ni hovyo sana

Kuna miziki ya gari bhana acha

Rockford fossgate upate kinu kinatema hadi watts 2500rms


Piooner premier kinatema watss 1000rms.

Sundown watss 1500

Ground zero.

Jl audio

American bass

Mtx terminator

Targa

N.k
Sasa mkuu mimi nataka home theater nishauri nichuke model ganii na hayo ma home theater mekundu ubaya wake nn mkuu
 
Pole mkuu
Upo wap?
Yawezekana eneo uliopo halina power freq
Lakini pia zile transmitter za subwoofer hazina power kama za hizi redio zakawaida
Yawezekana kwasababu hiyo
Au yawezekana pia transmitter yake haijakaa vizuri pia
Ok nashukuru sana bro, nafikiri tatizo linaweza kuwa labda huo upande wa transmitter, eneo sina wasiwasi kabisa coz kuna subwoofer moja iikuwa inakaa kwenye hii hii meza na radio ilikuwa inapiga fresh tu. Vipi hiyo transmitter kuna uwezekano wa kuibadilisha?
 
Ok nashukuru sana bro, nafikiri tatizo linaweza kuwa labda huo upande wa transmitter, eneo sina wasiwasi kabisa coz kuna subwoofer moja iikuwa inakaa kwenye hii hii meza na radio ilikuwa inapiga fresh tu. Vipi hiyo transmitter kuna uwezekano wa kuibadilisha?

Ndio mkuu utabadilishiwa transmitter nzima
Lakini model hiyo si haina Bluetooth?
 
Unaweza kufunga kifaa gan ili mziki upige vizuri namaanisha base isikike kivyake na twitter kivyake, kma mziki wa gari, naongelea equilizer, booster sijui ni kipi hapo cha kufunga sina utaalamu kivile pia na gharama zake

Waweza kuchagua mwenyewe kulingana na mahitaji yako
Ili mziki utoke mzuri inahitaji
Music combination
Yaan kuanzia umeme- mashine-box nzuri ya speaer na -speaker zenyewe
Mkuu mziki wa gari una power sana kwasababu zile battery za gari zina currents nyingi sana hivyo zinaingia kwenye mashine yaan amplify zikiwa zimeshiba
Ikikutana na bass speaker nzuri ujue hapo unapata dundo
Ukikutana na speaker nzuri za pioneer zinaenda hadi 300000 hiyo ni speaker tu bado box
Hijarud kwenye mashine
Ukija kuunganisha na crossover mzee baba unadhan hapo kitu kinatokaje
 
Mkuu habari, sabufa langu linakamata station moja tu ya FM. Nimejaribu kusearch zinapatikana lakini hazisisikiki kabisa. Tatizo linaweza kuwa nini kwa sababu nilipo kuna stations nyingi za FM. Msaada wako tafadhali.[emoji120]

Mkuu pole sana
Umeanza hivi karibu au tangu ikiwa mpya?
 
Back
Top Bottom