Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

kelphin

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
9,872
Reaction score
16,319
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.

Karibu
images.jpg


Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.

Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model.

Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu.

Ila kinafanya multipurpose, ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid.
kifupi mambo yote ni in one button.

Faida yake ni kuwa, aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater(Ila haijawahi[emoji2][emoji2inakua na umeme mnyoofu kidogo.

Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi ni digital,yaani yakisasa,
lakini pia display yake ni LCD haitumii umeme mwingi.

Je utaijuaje?
Nob ya kuongezea sauti ni moja tu na zaidi utakuta button za menu na input inategemeana). Ukiigeuza nyuma ina kiplastic kidogo kilichozungushwa nati, yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko wote wa nyuma, hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer.

Hasara zake
  1. Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000.
  2. Ila ukifika unaipachika tu huangaiki.
  3. Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob.
  4. Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde sana kwahiyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu.

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo ni nzuri kwenye uzuri wake. Yenyewe ukiingalia utakuta Ina nob yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja. Yaani cha master volume, bass, tweeter na mic, na ukivizungusha vinafika mwisho.

Yenyewe ndani power supply yake ni ya kawaida, inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida. kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kusambazwa ndani. Yaweza kuwa Seapiano, Codjec Aborder au vyovyote. Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma.

Faida yake
  1. ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
  2. Zinavumilia sana
  3. Hata muziki upo pia
  4. Rahisi kuitumia
Hasara zake
  1. Display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoimba Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo(hii ni kwa baadhi ya subwoofer)
  2. Muonekano wake ni wakizamani ikilinganishwa na hizi mpya

Soma hi pia [emoji1427]
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo, huzaliana na kuleta hitilafu kwa kukata nyaya na kula speaker.
Waya wa speaker una chumvi chumvi hivyo akiingia hauachi.

Simple way jinsi ya kudhibiti
Pale kwenye tobo kuna ki corn cha duara huwa wanakipachika unaweza kukitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao:

  1. Chukua maji ya moto kidogo na kitambaa, kichovye kitambaa kwenye maji kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano.
  2. Kisha chukua kisu, tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua. Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani(sio Huku uliko Kanda kwa maji).
  3. Ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa, kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu.
  4. Paka gundi upande wa ndani, huku ulikokua unakanda na maji kisha kibandike tena kama kilivyokuwa.

NB: Hii ni kwazile subwoofer kama pichani hapo juu, ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara. Wale zinazotolea mbele chini ni habari nyingine.

***
Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195

Some updates,
Je, music system yako haina bluetooth na unataka kuongezea? Easy sana na inawezekana pia, kwa mafundi ninaweza kuwaelekeza.

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5, yaani picture, video inawezekana pia[emoji3][emoji3].
Hususani wale wenye TV za kizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer, unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer hadi kwenye TV yako.

Stay here.
More good things are here.
Welcome.

View attachment 1921368
View attachment 1921369
 
Dah!!Nimetumia kwa miaka zaidi ya kumi!!! Hapa mchina alijitahidi sana!!!Usiishi kwa kukariri!! Teknolojia inakuwa kwa haraka na kila kampuni ina uwezo wa kuipata kwa haraka zaidi!!!Makampuni mengi yanatoa miziki yenye sound bora zenye kukidhi viwango!!! Usihadaike na 'Brand'!!! Utapigwa!!!!
16.png
16.png
 
Dah!!Nimetumia kwa miaka zaidi ya kumi!!! Hapa mchina alijitahidi sana!!!Usiishi kwa kukariri!! Teknolojia inakuwa kwa haraka na kila kampuni ina uwezo wa kuipata kwa haraka zaidi!!!Makampuni mengi yanatoa miziki yenye sound bora zenye kukidhi viwango!!! Usihadaike na 'Brand'!!! Utapigwa!!!!
View attachment 2068482View attachment 2068482

Mzigo una 8ohms bass speaker ina parallel zinakuj 4 aise[emoji1316][emoji1316]
 
Huo umeme wa gari huwa unabadilishwa na kuwa kama wako unaotumia sukia hizo amp unaeza kuta ni 30 0 30 nk kwa hio kitu ni kile kile....afu pioneer ya bei hio sijaona.... labda single coil kwa miaka ilee

[mention]Eminentia [/mention] mkuu volts sio issue
Issue n current
Zile IRFZ zina switch tu kufanya oscillating
Ila still current inayoflow ni ileile!! Unakuta ni 70,40 sasa utalinganisha na 13A?
Au unataka kuniambia battery current haihusiki pale?
 
[mention]Eminentia [/mention] mkuu volts sio issue
Issue n current
Zile IRFZ zina switch tu kufanya oscillating
Ila still current inayoflow ni ileile!! Unakuta ni 70,40 sasa utalinganisha na 13A?
Au unataka kuniambia battery current haihusiki pale?
Hio 13A unazungumzia ya kutoka wapi... Unasemea ya 220v? Haya kama ni hio 220v mara 13 ni watts ngapi...ukishusha volt hizo amp inapanda matts is the same

20v at 5A ni sawa na 5v at 20A

Hesabu ipo pale pale

Hizo irfz44n zikiwa mbili unaeza draw 180w....so from 12v unaeza pata 15A max...no matter umeweka kwenye battery ya 12v 100ah ...huwezi draw umeme mwngi hadi uongeze mosfet hizo
 
Dah!!Nimetumia kwa miaka zaidi ya kumi!!! Hapa mchina alijitahidi sana!!!Usiishi kwa kukariri!! Teknolojia inakuwa kwa haraka na kila kampuni ina uwezo wa kuipata kwa haraka zaidi!!!Makampuni mengi yanatoa miziki yenye sound bora zenye kukidhi viwango!!! Usihadaike na 'Brand'!!! Utapigwa!!!!
View attachment 2068482View attachment 2068482
Hili Aililang nalijua bass yake imeshiba na dynamic
 
Wengi huwa wame crame ila kuna miziki inaeza kuwa bei rahisi ila sauti yake kidogo ni nzuri

Nina mifano hai kwenye hizi sub za kichina nyingi tu

Mfano kuna HT ya lg watts 300 5.1ch

Ma spika marefu ila ni taka taka zidi ya aboda AB3119BH ...zinashea same size ya bass speaker ...5.2inch

Ila aboda ukikaa ukasikiliza mziki kwenye hio 2.1ch ni balaa inaimba vizuri sana hata bass yake box lake lipo tuned vizuri sana freq response yake ni 40hz to 20khz

Haya kuna seapiano sp8800 old haina bT ..hio nayo ipo vizuri sana haswa kwenye bass mfano unasikiliza hizi ma singeli yenyewe lina ignore zile signal za bum bum zinatoka zile midundo heavy
Hio sea piano ndio kama yangu ina bass zuri ila sababu ni la analog nadhani!
 
Back
Top Bottom