Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

kelphin

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
9,872
Reaction score
16,319
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.

Karibu
images.jpg


Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.

Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model.

Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu.

Ila kinafanya multipurpose, ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid.
kifupi mambo yote ni in one button.

Faida yake ni kuwa, aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater(Ila haijawahi[emoji2][emoji2inakua na umeme mnyoofu kidogo.

Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi ni digital,yaani yakisasa,
lakini pia display yake ni LCD haitumii umeme mwingi.

Je utaijuaje?
Nob ya kuongezea sauti ni moja tu na zaidi utakuta button za menu na input inategemeana). Ukiigeuza nyuma ina kiplastic kidogo kilichozungushwa nati, yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko wote wa nyuma, hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer.

Hasara zake
  1. Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000.
  2. Ila ukifika unaipachika tu huangaiki.
  3. Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob.
  4. Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde sana kwahiyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu.

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo ni nzuri kwenye uzuri wake. Yenyewe ukiingalia utakuta Ina nob yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja. Yaani cha master volume, bass, tweeter na mic, na ukivizungusha vinafika mwisho.

Yenyewe ndani power supply yake ni ya kawaida, inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida. kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kusambazwa ndani. Yaweza kuwa Seapiano, Codjec Aborder au vyovyote. Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma.

Faida yake
  1. ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
  2. Zinavumilia sana
  3. Hata muziki upo pia
  4. Rahisi kuitumia
Hasara zake
  1. Display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoimba Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo(hii ni kwa baadhi ya subwoofer)
  2. Muonekano wake ni wakizamani ikilinganishwa na hizi mpya

Soma hi pia [emoji1427]
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo, huzaliana na kuleta hitilafu kwa kukata nyaya na kula speaker.
Waya wa speaker una chumvi chumvi hivyo akiingia hauachi.

Simple way jinsi ya kudhibiti
Pale kwenye tobo kuna ki corn cha duara huwa wanakipachika unaweza kukitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao:

  1. Chukua maji ya moto kidogo na kitambaa, kichovye kitambaa kwenye maji kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano.
  2. Kisha chukua kisu, tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua. Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani(sio Huku uliko Kanda kwa maji).
  3. Ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa, kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu.
  4. Paka gundi upande wa ndani, huku ulikokua unakanda na maji kisha kibandike tena kama kilivyokuwa.

NB: Hii ni kwazile subwoofer kama pichani hapo juu, ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara. Wale zinazotolea mbele chini ni habari nyingine.

***
Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195

Some updates,
Je, music system yako haina bluetooth na unataka kuongezea? Easy sana na inawezekana pia, kwa mafundi ninaweza kuwaelekeza.

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5, yaani picture, video inawezekana pia[emoji3][emoji3].
Hususani wale wenye TV za kizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer, unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer hadi kwenye TV yako.

Stay here.
More good things are here.
Welcome.

View attachment 1921368
View attachment 1921369
 
[emoji23][emoji23] ah mkuu nkajua tulielewana
Iko hivii
Umeme wa gari ni 12volts ila current ziko nyingi sana
Ila umeme wa nyumbn hu wa tanesco ni volts 220v ila low current
Sasa kwakua unataka kutumia nyumbn
Lazima u badili hizo 220v kuja 9v
Hiz volts 9 ukizifanyia rectification zitaenda 12v
Hizo ndio utaingiza kwenye boater yako!

Kwann nakuambia high current?
Nakuambia hivyo ili itoke current nyingi ikafanyike oscillator ndan
9v transformer zipo hata zile redio za mkulima zina hizo transformer ila shida ni kua zile n low current
Ukitumia hizo hautapata bass hata asilimia1[emoji28][emoji28]
hzo transformer za kubadili zinauzwa?
 
Mkuu kusema ukweri sina experience na hyo kitu
Optical cable zinatumika kuunga TV na music system kama TV haina HDMI port inayo support ARC (Audio Return channel).

Kama tv haina hiyo port unatumia Optical cable.Ila wanasema ukitumia HDMI port yenye ARC audio inakuwa bora zaidi ya optical cable.Hizi zinapatikana kwa shida ila baadhi ya Sound bar zinaletwa na hizo cable au unaweza kuagiza online.
 
Optical cable zinatumika kuunga TV na music system kama TV haina HDMI port inayo support ARC (Audio Return channel).

Kama tv haina hiyo port unatumia Optical cable.Ila wanasema ukitumia HDMI port yenye ARC audio inakuwa bora zaidi ya optical cable.Hizi zinapatikana kwa shida ila baadhi ya Sound bar zinaletwa na hizo cable au unaweza kuagiza online.

Ahsante mkuu
Ngoja nifuatilie
 
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza

KaribuView attachment 1559794


Niongezee pia kuelezea kuhusu Aina ya subwoofer
Je unataka kununua Basi zingatia haya
Zipo za Aina mbili old model na digital,.
Sio majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model
Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu
Ila kinafanya multipurpose ,ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid
Kifupi Mambo yote Ni in one button

Faida yake Ni kua
Aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater (Ila haijawahi[emoji2][emoji2]) inakua na umeme mnyoofu kidogo
Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi
Ni digital,yaani yakisasa,
Lakini pia display yake Ni LCD haitumii umeme mwingi

Je utaijuaje?
1 nob yakuongezea sauti ni moja tu na Zaid utakuta button za menu na input (inategemeana)
Ukiigeuza nyuma inakiplastic kidogo kilichozungushwa nati,yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko woote wa nyuma hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer

Hasara zake

1 Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000
Ila ukifika unaipachika tu huangaiki

2 Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob
3 Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde Sana
Kwahyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo Ni nzuri kwenye uzuri wake
Yenyewe ukiingalia utakuta Ina )nob( yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja
Yaani Cha master volume ,bass , tweeter na mic
Na ukivizungusha vinafika mwisho
Yenyewe ndani power supply yake Ni yakawaida inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida Kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kudambazwa ndani
Yaweza kua seapiano codjec aborder au vyovyote
Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma

Faida yake Ni....
1 ......ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
2....... zinavumilia Sana
3 ........hata muziki upo pia
4 .........rahisi kuitumia
Hasara zake
1 ......,,.. display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoipa Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo
VFD inakula umeme
***********†***********†**********+*******†
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo,huzaliana na kuleta hitirafu kwa kukata nyaya na kula speaker
Waya wa speaker unachumvi chumvi hivyo akiingia hauachi
Simple way jinsi yakudhibiti
Pale kwenye tobo kunaki corn Cha duara hua wanakipachika unaweza kitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao
1 chukua maji ya moto kidogo na kitambaa
Kichovye kitambaa kwenye maji Kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano
2 Kisha chukua kisu
Tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani (sio Huku uliko Kanda kwa maji)
3 ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa ,kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu
4 paka gundi upande wa ndani Huku ulikokua unakanda na maji Kisha kibandike Tena Kama kilivyokua

NB hi ni kwazile subwoofer Kama pichani hapo juu
Ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara
Wale zinazotolea mbele chini Ni habari nyingine..
******†******†*******†*******†""""†""""""†*

Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195





Some updates..........
Je music system yako haina Bluetooth na unataka kuongezea easy sana na inawezekana pia ,kwa mafundi nnaweza kuwaelekeza,

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5 yaani picture video inawezekana pia[emoji3][emoji3]
Hususani wale wenye tv zakizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer,unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer Hadi kwenye tv yako



Stay here....
More good things are here.....
Welcome......View attachment 1921368
View attachment 1921369
Habari ndugu, nipo na classic sony home theatre. Nzuri sana ina sound amazing nimenunua 2016 mpaka leo haijabadilika wala kuharibika chochote zaidi ya remote tu, na nimeshainunua mpya online maana sjapata kama hiyo popote. Tatizo ni hii home theatre haina bluetooth, ni wired tu. Je kuna namna yeyote naweza ifanya ikawa bluetooth enabled? Nauliza hili sababu nimeona devices zinaitwa bluetooth receiver zinauzwa online wanasema zinabadili bluetoothless devices kuwa bluetooth enabled devices. Please advise on this.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari ndugu, nipo na classic sony home theatre. Nzuri sana ina sound amazing nimenunua 2016 mpaka leo haijabadilika wala kuharibika chochote zaidi ya remote tu, na nimeshainunua mpya online maana sjapata kama hiyo popote. Tatizo ni hii home theatre haina bluetooth, ni wired tu. Je kuna namna yeyote naweza ifanya ikawa bluetooth enabled? Nauliza hili sababu nimeona devices zinaitwa bluetooth receiver zinauzwa online wanasema zinabadili bluetoothless devices kuwa bluetooth enabled devices. Please advise on this.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hivyo mkuu sijawah kununua au kuvitumia
Ila kuna Bluetooth module ndio nazifahamu
Hizo nyingine bila shaka zinafanya kwa wireless ingawa sijawah kutumia
Ila hi module inaingiza umeme kisha utaiweka kama aux au itabid uchane kidogo ht ukipachike
IMG_6355.jpg

Kimuonekano kinafanana na hi
 
Hivyo mkuu sijawah kununua au kuvitumia
Ila kuna Bluetooth module ndio nazifahamu
Hizo nyingine bila shaka zinafanya kwa wireless ingawa sijawah kutumia
Ila hi module inaingiza umeme kisha utaiweka kama aux au itabid uchane kidogo ht ukipachikeView attachment 2101908
Kimuonekano kinafanana na hi
HIi naiunganishaje kwenye subwoofer lilsilo na Bluetooth nachomeka wapi
 
Habari ndugu, nipo na classic sony home theatre. Nzuri sana ina sound amazing nimenunua 2016 mpaka leo haijabadilika wala kuharibika chochote zaidi ya remote tu, na nimeshainunua mpya online maana sjapata kama hiyo popote. Tatizo ni hii home theatre haina bluetooth, ni wired tu. Je kuna namna yeyote naweza ifanya ikawa bluetooth enabled? Nauliza hili sababu nimeona devices zinaitwa bluetooth receiver zinauzwa online wanasema zinabadili bluetoothless devices kuwa bluetooth enabled devices. Please advise on this.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta hii Aliexpress kama home theater yako ina input port ya jack 3.5
Screenshot_2022-01-31-07-50-54-121_com.alibaba.aliexpresshd.jpg
 
Back
Top Bottom