Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

kelphin

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
9,872
Reaction score
16,319
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.

Karibu

Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.

Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model.

Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu.

Ila kinafanya multipurpose, ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid.
kifupi mambo yote ni in one button.

Faida yake ni kuwa, aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater(Ila haijawahi[emoji2][emoji2inakua na umeme mnyoofu kidogo.

Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi ni digital,yaani yakisasa,
lakini pia display yake ni LCD haitumii umeme mwingi.

Je utaijuaje?
Nob ya kuongezea sauti ni moja tu na zaidi utakuta button za menu na input inategemeana). Ukiigeuza nyuma ina kiplastic kidogo kilichozungushwa nati, yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko wote wa nyuma, hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer.

Hasara zake
  1. Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000.
  2. Ila ukifika unaipachika tu huangaiki.
  3. Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob.
  4. Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde sana kwahiyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu.

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo ni nzuri kwenye uzuri wake. Yenyewe ukiingalia utakuta Ina nob yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja. Yaani cha master volume, bass, tweeter na mic, na ukivizungusha vinafika mwisho.

Yenyewe ndani power supply yake ni ya kawaida, inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida. kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kusambazwa ndani. Yaweza kuwa Seapiano, Codjec Aborder au vyovyote. Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma.

Faida yake
  1. ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
  2. Zinavumilia sana
  3. Hata muziki upo pia
  4. Rahisi kuitumia
Hasara zake
  1. Display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoimba Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo(hii ni kwa baadhi ya subwoofer)
  2. Muonekano wake ni wakizamani ikilinganishwa na hizi mpya

Soma hi pia [emoji1427]
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo, huzaliana na kuleta hitilafu kwa kukata nyaya na kula speaker.
Waya wa speaker una chumvi chumvi hivyo akiingia hauachi.

Simple way jinsi ya kudhibiti
Pale kwenye tobo kuna ki corn cha duara huwa wanakipachika unaweza kukitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao:

  1. Chukua maji ya moto kidogo na kitambaa, kichovye kitambaa kwenye maji kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano.
  2. Kisha chukua kisu, tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua. Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani(sio Huku uliko Kanda kwa maji).
  3. Ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa, kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu.
  4. Paka gundi upande wa ndani, huku ulikokua unakanda na maji kisha kibandike tena kama kilivyokuwa.

NB: Hii ni kwazile subwoofer kama pichani hapo juu, ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara. Wale zinazotolea mbele chini ni habari nyingine.

***
Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195

Some updates,
Je, music system yako haina bluetooth na unataka kuongezea? Easy sana na inawezekana pia, kwa mafundi ninaweza kuwaelekeza.

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5, yaani picture, video inawezekana pia[emoji3][emoji3].
Hususani wale wenye TV za kizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer, unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer hadi kwenye TV yako.

Stay here.
More good things are here.
Welcome.

View attachment 1921368
View attachment 1921369
 
Either cables
I mea wire system haiko sawa kuna mahara panaachia na kushika
Au ni soldering kuna mahara inashika na kuachia

Fanya hivi...ikiwa inaimba bila bass fany km unasukuma bass kuingia ndani hiv uone km itaendelea

Mkuu nmejaribu kufanya hivyo hamna chochote isipokuwa yenyewe tu wakati inapga unaweza ukashangaa imerudisha bass au ghafla imepoteza na kunakuwa na vi noise flan hv
 
4000watts??? output za AVR nazofahamu maximum ni 200watts. Ukianza kuongelea thousands watts labda kama ni outputs kutoka kwenye speakers na sio source Amplifier / AvR. Na hiyo naona ina channel 5 tano tu.

5 channel hiyo? Naona km 2.1
 
Naomba shule

Kwenye remote kuna circuit na mbelee kuna LED
Circuit ya remote inakua na ic pamoja na hiyo LED
IC ina process taarifa kadri ya unavyobonyeza
Ndio maan ukiongeza sauti basi sauti itaongezeka
Hivyo hiyo ic inapeleka signal kwenye hiyo LED
kisha LED itatupa signal kwenye Ird ya kwenye subwoofer au dek au chochote kinachotumia remote
Ird itapokea taarifa na kuiingiza kwenye processor yake
Hivyo processor ya subwoofer (mfano) itapokea hiyo taarifa na kuichakata kwenda kwenye action
Ndio utaona respond inatokea
Ila hiv vitu vyote vifanyika kwa sekunde

Kimoja kati ya hiv vikileta shida bas hakuna kitakachofanyika
 
Mkuu nmejaribu kufanya hivyo hamna chochote isipokuwa yenyewe tu wakati inapga unaweza ukashangaa imerudisha bass au ghafla imepoteza na kunakuwa na vi noise flan hv

Inamaana bass ikipotea kunakua na kelele kwenye hiyohiyo bass speaker?
 
Naomba kujua Uwezo wa Speaker hizi Mkuu.
Model: Sony Super Woofer SS-LB 455
Ninazo Mbili View attachment 2172073
View attachment 2172074
View attachment 2172075
View attachment 2172076
View attachment 2172077

Naomba kujua Uwezo wa Speaker hizi Mkuu.
Model: Sony Super Woofer SS-LB 455
Ninazo Mbili View attachment 2172073
View attachment 2172074
View attachment 2172075
View attachment 2172076
View attachment 2172077

Mambo ya [mention]Baba Nla [/mention] haya
By the way hiyo ni 2way speaer inamaana inapiga low na mid na tweeter pia
Kifupi ni full package
 
Mkuu kuna kiplastik chenye nut ndio kinafunguka

Mkuu hi inatumia ac za chawa!
Ni za kubandika...
Mpatie fundi aiangalie labda pia signal haziingii kwenye amp
Ila kama shida itakua hiyo ac mkuu hakuna ujanja zaid gakuweka kad mpya sababu kama sivyo bas utaliwa sana pesa zako kwa mafundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…