Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

kelphin

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
9,872
Reaction score
16,319
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.

Karibu
images.jpg

Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.

Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model.

Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu.

Ila kinafanya multipurpose, ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid.
kifupi mambo yote ni in one button.

Faida yake ni kuwa, aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater(Ila haijawahi[emoji2][emoji2inakua na umeme mnyoofu kidogo.

Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi ni digital,yaani yakisasa,
lakini pia display yake ni LCD haitumii umeme mwingi.

Je utaijuaje?
Nob ya kuongezea sauti ni moja tu na zaidi utakuta button za menu na input inategemeana). Ukiigeuza nyuma ina kiplastic kidogo kilichozungushwa nati, yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko wote wa nyuma, hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer.

Hasara zake
  1. Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000.
  2. Ila ukifika unaipachika tu huangaiki.
  3. Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob.
  4. Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde sana kwahiyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu.

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo ni nzuri kwenye uzuri wake. Yenyewe ukiingalia utakuta Ina nob yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja. Yaani cha master volume, bass, tweeter na mic, na ukivizungusha vinafika mwisho.

Yenyewe ndani power supply yake ni ya kawaida, inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida. kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kusambazwa ndani. Yaweza kuwa Seapiano, Codjec Aborder au vyovyote. Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma.

Faida yake
  1. ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
  2. Zinavumilia sana
  3. Hata muziki upo pia
  4. Rahisi kuitumia
Hasara zake
  1. Display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoimba Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo(hii ni kwa baadhi ya subwoofer)
  2. Muonekano wake ni wakizamani ikilinganishwa na hizi mpya

Soma hi pia [emoji1427]
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo, huzaliana na kuleta hitilafu kwa kukata nyaya na kula speaker.
Waya wa speaker una chumvi chumvi hivyo akiingia hauachi.

Simple way jinsi ya kudhibiti
Pale kwenye tobo kuna ki corn cha duara huwa wanakipachika unaweza kukitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao:

  1. Chukua maji ya moto kidogo na kitambaa, kichovye kitambaa kwenye maji kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano.
  2. Kisha chukua kisu, tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua. Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani(sio Huku uliko Kanda kwa maji).
  3. Ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa, kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu.
  4. Paka gundi upande wa ndani, huku ulikokua unakanda na maji kisha kibandike tena kama kilivyokuwa.

NB: Hii ni kwazile subwoofer kama pichani hapo juu, ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara. Wale zinazotolea mbele chini ni habari nyingine.

***
Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195

Some updates,
Je, music system yako haina bluetooth na unataka kuongezea? Easy sana na inawezekana pia, kwa mafundi ninaweza kuwaelekeza.

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5, yaani picture, video inawezekana pia[emoji3][emoji3].
Hususani wale wenye TV za kizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer, unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer hadi kwenye TV yako.

Stay here.
More good things are here.
Welcome.

View attachment 1921368
View attachment 1921369
 
Kabisa,hii inatokea.

Yess ile ni stereo
Yaan producers wanapotengeneza muziki huamua hiki kikae L AU R na kitasikika hivyo hivyo
wakati mwingine R huingiliana na L ndio maan nkasema uzuri wa hizo speaker unajua ni nin
Ni kua hua hazichanganyi system yaan
Cha r kitafasikika kwenye r pekee na l kwenye l pekee
 
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza

KaribuView attachment 1559794

Niongezee pia kuelezea kuhusu Aina ya subwoofer
Je unataka kununua Basi zingatia haya
Zipo za Aina mbili old model na digital,.
Sio majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model
Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu
Ila kinafanya multipurpose ,ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid
Kifupi Mambo yote Ni in one button

Faida yake Ni kua
Aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater (Ila haijawahi[emoji2][emoji2]) inakua na umeme mnyoofu kidogo
Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi
Ni digital,yaani yakisasa,
Lakini pia display yake Ni LCD haitumii umeme mwingi

Je utaijuaje?
1 nob yakuongezea sauti ni moja tu na Zaid utakuta button za menu na input (inategemeana)
Ukiigeuza nyuma inakiplastic kidogo kilichozungushwa nati,yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko woote wa nyuma hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer

Hasara zake

1 Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000
Ila ukifika unaipachika tu huangaiki

2 Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob
3 Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde Sana
Kwahyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo Ni nzuri kwenye uzuri wake
Yenyewe ukiingalia utakuta Ina )nob( yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja
Yaani Cha master volume ,bass , tweeter na mic
Na ukivizungusha vinafika mwisho
Yenyewe ndani power supply yake Ni yakawaida inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida Kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kudambazwa ndani
Yaweza kua seapiano codjec aborder au vyovyote
Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma

Faida yake Ni....
1 ......ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
2....... zinavumilia Sana
3 ........hata muziki upo pia
4 .........rahisi kuitumia
Hasara zake
1 ......,,.. display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoipa Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo
VFD inakula umeme
***********†***********†**********+*******†
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo,huzaliana na kuleta hitirafu kwa kukata nyaya na kula speaker
Waya wa speaker unachumvi chumvi hivyo akiingia hauachi
Simple way jinsi yakudhibiti
Pale kwenye tobo kunaki corn Cha duara hua wanakipachika unaweza kitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao
1 chukua maji ya moto kidogo na kitambaa
Kichovye kitambaa kwenye maji Kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano
2 Kisha chukua kisu
Tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani (sio Huku uliko Kanda kwa maji)
3 ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa ,kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu
4 paka gundi upande wa ndani Huku ulikokua unakanda na maji Kisha kibandike Tena Kama kilivyokua

NB hi ni kwazile subwoofer Kama pichani hapo juu
Ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara
Wale zinazotolea mbele chini Ni habari nyingine..
******†******†*******†*******†""""†""""""†*

Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195

Some updates..........
Je music system yako haina Bluetooth na unataka kuongezea easy sana na inawezekana pia ,kwa mafundi nnaweza kuwaelekeza,

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5 yaani picture video inawezekana pia[emoji3][emoji3]
Hususani wale wenye tv zakizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer,unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer Hadi kwenye tv yako

Stay here....
More good things are here.....
Welcome......
Soundbar nazo zikoje hasa? Nini tofauti kati ya soundbar na subwoofer? Ipi ni nzuri zaidi kwa matumizi ?
 
Naomba kuongezea kitu,, ukubwa au udogo wa ohms sio kudunda ziko spika za 8ohms znadunda sana pia ziko 4ohms zina perform vizuri na dual 2ohms au dual 4 zina perfom vizuri hapa naongelea zote zikiwa size moja interms of watts

Hizo seapiano kuwekwa ohms ndogo hizo sub ni kwa ajili ya aina ya amplifier iliotumika ...wametumia class D amplifier hizo TPA ambazo zinaweza beba hadi 25v dc where itatoa 50w kwa channel at 4ohms ikiwa bridged itatoa 100w at 2ohms

Kwa hio hapo inabd resistance ya spika ya bass ya sub ziwe tofaut kidogo sababu ukibridge ukatumia spika ya 4ohms output itakuwa below 100w ..ila kugawa resistance inatakiwa upate 50w ila itapanda kidogo yaweza kuwa 60-65w at 4ohms ingekuwa ni zile tda 2030/50 power ya ic zote mbili ingechanganywa but ingekuwa at 8ohms hivo sub za aina hio spika yake ni 8ohms ukiweka 4ohms utachoma ic

Kwa hio hapo seapino wameweka spika kuendana na tabia ya ic husika inatoa nguvu mara mbili but at 2ohms ndo mana kuna spika ya 2ohms ni sahihi kabisa hakuna makosa yoyote pale
 
kwanini haya makitu hayatengenezeki, yaani likipona linapungua ubora, na linarudi kutoka kwa fundi na masharti kibao ya kulitumia.

na ukilitumia baada ya kipindi kifupi tu linazimika jumla.
nilinunua kama matatu hivi mpaka nilipohamia kwenye honetheatre nikasahau majanga mbali mbali.
Mara Nyingi vifaa vinavokufa huekwa fake zake..kama sub yako inatumia 2030ic/50 hizi kupata og ni kipengele ..hivo zilizoko maduka ya electronics ni fake japo zina perform vizuri kiasi ila ndo hivo haziwezi vumilia joto jingi pamoja na protection hazina
 
Kuna sabufa moja ilikuwa inakata sauti yaani inaimba kisha inakata inaimba tena... sasa nikaamua kufanya troubleshooting zangu...Nilipotoa twitter moja tu ikawa inagonga full so swali kwenu watabe, je ni kifaa gani ndani ya hiyo sabufa kimezidiwa nguvu ya kuweza kuoperate twitter zake...?
 
Kuna magonjwa yanahitaji akili sana kuna moja pia ilikuwa ukiongeza sauti bass inakata inarudi ukiweka sauti ndogo
 
Kuna tofauti gani kati ya Sub woofer na home theatre???
2) kwann S/woofer huwezi sogeza wimbo mbele!??? Ukisogeza unaanza mwimbo mwingine???
Hio ni sabufa yako..inatemegea na mp3 features zake mfano hata hivi vi Bluetooth speaker ninavyo viwili kimoja hakisogezi wimbo mbel3 kingne kinasogeza....kingne kina resume nyimbo na sehemu ilipoishia hata ukizima kikakaa siku tatu..yani kama ni mix ya dk 100 na ilifika dk ya 20 basi itaanza mix hio hio dk hio hio ila kengne kataanzia mix hio ila mwanzo kwa hio ni utofaut tu wa mp3 husika
 
Napenda

Napenda jifunza sana...me siwezi tumia kitu bila kujua ut3ndaji wake napenda jua kila kifaa na kazi yake ...me kila kitu huwa nafungua
Mkuu uko vizuri sana, nina tabia hiyo pia. Kwenye pc yangu nimejaza tutorials za kutosha na kwa sasa ninajifunza eletronics ili niweze kurepair vitu vya home tu just for the love...
 
Naomba kuongezea kitu,, ukubwa au udogo wa ohms sio kudunda ziko spika za 8ohms znadunda sana pia ziko 4ohms zina perform vizuri na dual 2ohms au dual 4 zina perfom vizuri hapa naongelea zote zikiwa size moja interms of watts

Hizo seapiano kuwekwa ohms ndogo hizo sub ni kwa ajili ya aina ya amplifier iliotumika ...wametumia class D amplifier hizo TPA ambazo zinaweza beba hadi 25v dc where itatoa 50w kwa channel at 4ohms ikiwa bridged itatoa 100w at 2ohms

Kwa hio hapo inabd resistance ya spika ya bass ya sub ziwe tofaut kidogo sababu ukibridge ukatumia spika ya 4ohms output itakuwa below 100w ..ila kugawa resistance inatakiwa upate 50w ila itapanda kidogo yaweza kuwa 60-65w at 4ohms ingekuwa ni zile tda 2030/50 power ya ic zote mbili ingechanganywa but ingekuwa at 8ohms hivo sub za aina hio spika yake ni 8ohms ukiweka 4ohms utachoma ic

Kwa hio hapo seapino wameweka spika kuendana na tabia ya ic husika inatoa nguvu mara mbili but at 2ohms ndo mana kuna spika ya 2ohms ni sahihi kabisa hakuna makosa yoyote pale

Yess ni ic designers
Lakin why hawajatoa ya T-O
Wametengeneza vya mende hivi vinazingua kinoma
 
Mara Nyingi vifaa vinavokufa huekwa fake zake..kama sub yako inatumia 2030ic/50 hizi kupata og ni kipengele ..hivo zilizoko maduka ya electronics ni fake japo zina perform vizuri kiasi ila ndo hivo haziwezi vumilia joto jingi pamoja na protection hazina

Pia protection zake n za uwongo
 
Kuna sabufa moja ilikuwa inakata sauti yaani inaimba kisha inakata inaimba tena... sasa nikaamua kufanya troubleshooting zangu...Nilipotoa twitter moja tu ikawa inagonga full so swali kwenu watabe, je ni kifaa gani ndani ya hiyo sabufa kimezidiwa nguvu ya kuweza kuoperate twitter zake...?

Mkuu je subwoofer yako inatumia power supply ya switch mode power supply?
Au hi ya kawaida...?
Kama ni smps basi huenda current ina gape sana ndio maan inazima,
Au tweeter imeshusha ohms(inaungua) ndio maan ukiweka ina short circuit
Je ukichomoa hiyo nyingine na uweke hiyo uliyotoa je?
 
Back
Top Bottom