Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

kelphin

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
9,872
Reaction score
16,319
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.

Karibu
images.jpg


Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.

Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model.

Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu.

Ila kinafanya multipurpose, ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid.
kifupi mambo yote ni in one button.

Faida yake ni kuwa, aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater(Ila haijawahi[emoji2][emoji2inakua na umeme mnyoofu kidogo.

Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi ni digital,yaani yakisasa,
lakini pia display yake ni LCD haitumii umeme mwingi.

Je utaijuaje?
Nob ya kuongezea sauti ni moja tu na zaidi utakuta button za menu na input inategemeana). Ukiigeuza nyuma ina kiplastic kidogo kilichozungushwa nati, yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko wote wa nyuma, hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer.

Hasara zake
  1. Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000.
  2. Ila ukifika unaipachika tu huangaiki.
  3. Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob.
  4. Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde sana kwahiyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu.

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo ni nzuri kwenye uzuri wake. Yenyewe ukiingalia utakuta Ina nob yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja. Yaani cha master volume, bass, tweeter na mic, na ukivizungusha vinafika mwisho.

Yenyewe ndani power supply yake ni ya kawaida, inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida. kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kusambazwa ndani. Yaweza kuwa Seapiano, Codjec Aborder au vyovyote. Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma.

Faida yake
  1. ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
  2. Zinavumilia sana
  3. Hata muziki upo pia
  4. Rahisi kuitumia
Hasara zake
  1. Display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoimba Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo(hii ni kwa baadhi ya subwoofer)
  2. Muonekano wake ni wakizamani ikilinganishwa na hizi mpya

Soma hi pia [emoji1427]
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo, huzaliana na kuleta hitilafu kwa kukata nyaya na kula speaker.
Waya wa speaker una chumvi chumvi hivyo akiingia hauachi.

Simple way jinsi ya kudhibiti
Pale kwenye tobo kuna ki corn cha duara huwa wanakipachika unaweza kukitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao:

  1. Chukua maji ya moto kidogo na kitambaa, kichovye kitambaa kwenye maji kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano.
  2. Kisha chukua kisu, tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua. Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani(sio Huku uliko Kanda kwa maji).
  3. Ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa, kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu.
  4. Paka gundi upande wa ndani, huku ulikokua unakanda na maji kisha kibandike tena kama kilivyokuwa.

NB: Hii ni kwazile subwoofer kama pichani hapo juu, ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara. Wale zinazotolea mbele chini ni habari nyingine.

***
Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195

Some updates,
Je, music system yako haina bluetooth na unataka kuongezea? Easy sana na inawezekana pia, kwa mafundi ninaweza kuwaelekeza.

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5, yaani picture, video inawezekana pia[emoji3][emoji3].
Hususani wale wenye TV za kizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer, unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer hadi kwenye TV yako.

Stay here.
More good things are here.
Welcome.

View attachment 1921368
View attachment 1921369
 
Mkuu hivi hii midundo ya kusuka unaweza kupata mzuri kwa around 100k-150k? Kama ni ndio inaweza punguza maumivu kwa watu kununua ma home theaters ya bei mbaya ama sub woofers za kidwanzi kwa sababu ya ulimbukeni.

Ungekua upo iringa mjini ningelipa nauli ufike hapa nilipo usikie sound afu uipime mwenyewe
N vile tu watu wamekalili mkuu
 
Sina uelewa sana, either iwe kwa mashine ya subwoofer au kutengeneza upya, yoyote itakayofaa

Nkupe mwanga kidogo
Huwez kuvuta tera ya scania kwa toyota vits kwa kawaida
Either uweke engine ya scania kwenye vits au upate scania yenyewe [emoji28][emoji28]
The same
Hiz speaker kubwa zina coil nene
Hivyo unahitaji current nyingi zisukume hiyo speaker
Unapounda mziki kuna vitu kadhaa unaunganisha
1power supply tuseme ni chanzo cha nguvu ya kutumia
Hizi power supply zinatoa kiwango tofauti cha umeme
Kiwango kikubwa cha umeme kitaingia kwenye card ya subwoofer (amplifiers)
2 amplifier yenyewe! Nazo zinauwezo tofauti ( watts) hivyo kuna uhusiano mkubwa kati ya power supply na amplify
Lazima ziwe matched zifanane na zielewane
3 speaker selection
Kwa amplify hi na power supply hi basi hapa itumike speaker hi
Vyote pamoja vinaunda usikiv mzuri wa mziki
Ikiwa kimoja kitakosewa basi pana shida kidogo
Km sio hitirafu
Kuweka speaker kubwa kwenye amplify ndogo ni upotev wa pesa
Kuweka box kubwa wakati speaker n ndogo n upotev wa pesa kwakua hutapata unachotaka

Ikiwa unataka deep bass
Basi nunua speaker kubwa-isukwe amplify inayoendana na speaker-itengenezwe power supply inayoendana na hivyo vyote
Afu tuviweke kwenye subwoofer yako
Subwoofer itafanya kam subwoofer
Ila circuit yetu itabak kujitegemea
Ila signal zitatok kwenye subwoofer
Cc [mention]That Gentleman [/mention] [mention]Zabron Hamis [/mention]
 
Nkupe mwanga kidogo
Huwez kuvuta tera ya scania kwa toyota vits kwa kawaida
Either uweke engine ya scania kwenye vits au upate scania yenyewe [emoji28][emoji28]
The same
Hiz speaker kubwa zina coil nene
Hivyo unahitaji current nyingi zisukume hiyo speaker
Unapounda mziki kuna vitu kadhaa unaunganisha
1power supply tuseme ni chanzo cha nguvu ya kutumia
Hizi power supply zinatoa kiwango tofauti cha umeme
Kiwango kikubwa cha umeme kitaingia kwenye card ya subwoofer (amplifiers)
2 amplifier yenyewe! Nazo zinauwezo tofauti ( watts) hivyo kuna uhusiano mkubwa kati ya power supply na amplify
Lazima ziwe matched zifanane na zielewane
3 speaker selection
Kwa amplify hi na power supply hi basi hapa itumike speaker hi
Vyote pamoja vinaunda usikiv mzuri wa mziki
Ikiwa kimoja kitakosewa basi pana shida kidogo
Km sio hitirafu
Kuweka speaker kubwa kwenye amplify ndogo ni upotev wa pesa
Kuweka box kubwa wakati speaker n ndogo n upotev wa pesa kwakua hutapata unachotaka

Ikiwa unataka deep bass
Basi nunua speaker kubwa-isukwe amplify inayoendana na speaker-itengenezwe power supply inayoendana na hivyo vyote
Afu tuviweke kwenye subwoofer yako
Subwoofer itafanya kam subwoofer
Ila circuit yetu itabak kujitegemea
Ila signal zitatok kwenye subwoofer
Cc [mention]That Gentleman [/mention] [mention]Zabron Hamis [/mention]
Nimekupata kaka, vipi tukitaka kutengeneza everything from the scratch

Ikatengenezwa radio yenye deep bass, kila kitu kikanunuliwa.
 
Anha...kwa kutumia speaker za nch12”” hizi za kwenye magari basi hapo lazima tuwe na kuanzia laki6
Coz speaker pekeake hapo ni 100000
Hatujaja kwenye mdf za kuchongea box na mazaga mengine
Kwahyo kwa bei hiyo tunaweza fanya kitu pow sana
 
Shortly n kua huo mfumo wa digital ukianza kuzingua basi n shida tu...bora zile zakawaida sometimes
Il hizi digital ni mawenge
Je unajua jinsi ya kuzibadili kutoka digital kwenda analogue?

Nkupe maelekezo kidogo
Kwenye subwoofer nyingi kuna ic inaitwa PT2313 kazi ya hi ni kuselect inpt
I mean input zako zote zitaingia hapo
Za aux
Za mp3
Za fm
Za Bluetooth View attachment 2081091
View attachment 2081092


Afu huku mbele kunakua na button either kwenye nob au pemben
Inaitwa inpt button
Yaan ukibonyeza hiv inaenda Bluetooth ukibonya tena inaenda fm NK
Kwahyo ikiwa unataka kutoa hu mfumo wa digital
Unakata njia za umeme unaoenda kwenye hiyo ic au uitoe kabisa
Ukitoa tu palepale kwenye ic utapata signal 3 i mean
L
R
Na bass
Kwahyo utaweka MP3 player yako yenye Bluetooth
Kama hi pichanView attachment 2081094
Signal zinazotoka hap ndio ziNaenda hapo ulipoitoa hi pt
[mention]That Gentleman [/mention] [mention]Zabron Hamis [/mention] [mention]Extrovert [/mention] [mention]Smart Guy [/mention] [mention]Mapank [/mention]
[mention]mkulungu mkuyengo [/mention]
Samahni..hio ic si inapokea signal nzima L and R kutoka sehemu mbali mbali kisha ndo inatoa kama ilivo afu iende kwa pre amp kwa ajili ya twita na bass ..kwa hio hio if haitoi 2.1ch
 
Nna Sony home theatre wats 1000 nikipiga sauti mpaka 24 tu, ikipiga kama nyimbo 6 hv mfululizo inaanza kujipunguza sauti hadi kuelekea kuzima kabisa, nikiizima nikawasha tena inaenda kama dk 3 hv inaanza tena kujipunguza, tatizo nn?
 
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza

KaribuView attachment 1559794


Niongezee pia kuelezea kuhusu Aina ya subwoofer
Je unataka kununua Basi zingatia haya
Zipo za Aina mbili old model na digital,.
Sio majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model
Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu
Ila kinafanya multipurpose ,ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid
Kifupi Mambo yote Ni in one button

Faida yake Ni kua
Aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater (Ila haijawahi[emoji2][emoji2]) inakua na umeme mnyoofu kidogo
Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi
Ni digital,yaani yakisasa,
Lakini pia display yake Ni LCD haitumii umeme mwingi

Je utaijuaje?
1 nob yakuongezea sauti ni moja tu na Zaid utakuta button za menu na input (inategemeana)
Ukiigeuza nyuma inakiplastic kidogo kilichozungushwa nati,yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko woote wa nyuma hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer

Hasara zake

1 Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000
Ila ukifika unaipachika tu huangaiki

2 Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob
3 Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde Sana
Kwahyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo Ni nzuri kwenye uzuri wake
Yenyewe ukiingalia utakuta Ina )nob( yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja
Yaani Cha master volume ,bass , tweeter na mic
Na ukivizungusha vinafika mwisho
Yenyewe ndani power supply yake Ni yakawaida inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida Kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kudambazwa ndani
Yaweza kua seapiano codjec aborder au vyovyote
Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma

Faida yake Ni....
1 ......ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
2....... zinavumilia Sana
3 ........hata muziki upo pia
4 .........rahisi kuitumia
Hasara zake
1 ......,,.. display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoipa Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo
VFD inakula umeme
***********†***********†**********+*******†
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo,huzaliana na kuleta hitirafu kwa kukata nyaya na kula speaker
Waya wa speaker unachumvi chumvi hivyo akiingia hauachi
Simple way jinsi yakudhibiti
Pale kwenye tobo kunaki corn Cha duara hua wanakipachika unaweza kitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao
1 chukua maji ya moto kidogo na kitambaa
Kichovye kitambaa kwenye maji Kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano
2 Kisha chukua kisu
Tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani (sio Huku uliko Kanda kwa maji)
3 ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa ,kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu
4 paka gundi upande wa ndani Huku ulikokua unakanda na maji Kisha kibandike Tena Kama kilivyokua

NB hi ni kwazile subwoofer Kama pichani hapo juu
Ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara
Wale zinazotolea mbele chini Ni habari nyingine..
******†******†*******†*******†""""†""""""†*

Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195





Some updates..........
Je music system yako haina Bluetooth na unataka kuongezea easy sana na inawezekana pia ,kwa mafundi nnaweza kuwaelekeza,

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5 yaani picture video inawezekana pia[emoji3][emoji3]
Hususani wale wenye tv zakizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer,unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer Hadi kwenye tv yako



Stay here....
More good things are here.....
Welcome......View attachment 1921368
View attachment 1921369
Kati ya base na subwoofer ipi works better Kwa radio ya gari?
 
Nna Sony home theatre wats 1000 nikipiga sauti mpaka 24 tu, ikipiga kama nyimbo 6 hv mfululizo inaanza kujipunguza sauti hadi kuelekea kuzima kabisa, nikiizima nikawasha tena inaenda kama dk 3 hv inaanza tena kujipunguza, tatizo nn?

Mkuu fen yake unafanya kazi?
Je ikiwa utatumia sauti ndogo haileti shida?
 
View attachment 2132706
Haya bass speaker hiyo nmeipokea leo iringa
Jbl bei yake ni 120
Wengine 120 n bei ya subwoofer
Afu unataka sound tufanane?[emoji16][emoji16]
Ukitaka sound nzito basi jua ghalama ipo kubwa sana
Deep bass inataka pesa
Na ina gonga balaaView attachment 2132719
Yess its jbl!
[mention]Extrovert [/mention] [mention]That Gentleman [/mention] [mention]Mapank [/mention] [mention]Zabron Hamis [/mention] [mention]Smart Guy [/mention]
Mkuu hii inakuwa ni active subwoofer kwa maana unatengenezea na amplifier yake kabisa ndani?.

Complete ni bei gani ikiwa imekamilika?
 
Back
Top Bottom