Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

kelphin

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
9,872
Reaction score
16,319
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.

Karibu
images.jpg

Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.

Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model.

Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu.

Ila kinafanya multipurpose, ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid.
kifupi mambo yote ni in one button.

Faida yake ni kuwa, aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater(Ila haijawahi[emoji2][emoji2inakua na umeme mnyoofu kidogo.

Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi ni digital,yaani yakisasa,
lakini pia display yake ni LCD haitumii umeme mwingi.

Je utaijuaje?
Nob ya kuongezea sauti ni moja tu na zaidi utakuta button za menu na input inategemeana). Ukiigeuza nyuma ina kiplastic kidogo kilichozungushwa nati, yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko wote wa nyuma, hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer.

Hasara zake
  1. Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000.
  2. Ila ukifika unaipachika tu huangaiki.
  3. Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob.
  4. Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde sana kwahiyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu.

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo ni nzuri kwenye uzuri wake. Yenyewe ukiingalia utakuta Ina nob yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja. Yaani cha master volume, bass, tweeter na mic, na ukivizungusha vinafika mwisho.

Yenyewe ndani power supply yake ni ya kawaida, inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida. kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kusambazwa ndani. Yaweza kuwa Seapiano, Codjec Aborder au vyovyote. Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma.

Faida yake
  1. ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
  2. Zinavumilia sana
  3. Hata muziki upo pia
  4. Rahisi kuitumia
Hasara zake
  1. Display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoimba Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo(hii ni kwa baadhi ya subwoofer)
  2. Muonekano wake ni wakizamani ikilinganishwa na hizi mpya

Soma hi pia [emoji1427]
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo, huzaliana na kuleta hitilafu kwa kukata nyaya na kula speaker.
Waya wa speaker una chumvi chumvi hivyo akiingia hauachi.

Simple way jinsi ya kudhibiti
Pale kwenye tobo kuna ki corn cha duara huwa wanakipachika unaweza kukitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao:

  1. Chukua maji ya moto kidogo na kitambaa, kichovye kitambaa kwenye maji kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano.
  2. Kisha chukua kisu, tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua. Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani(sio Huku uliko Kanda kwa maji).
  3. Ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa, kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu.
  4. Paka gundi upande wa ndani, huku ulikokua unakanda na maji kisha kibandike tena kama kilivyokuwa.

NB: Hii ni kwazile subwoofer kama pichani hapo juu, ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara. Wale zinazotolea mbele chini ni habari nyingine.

***
Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195

Some updates,
Je, music system yako haina bluetooth na unataka kuongezea? Easy sana na inawezekana pia, kwa mafundi ninaweza kuwaelekeza.

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5, yaani picture, video inawezekana pia[emoji3][emoji3].
Hususani wale wenye TV za kizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer, unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer hadi kwenye TV yako.

Stay here.
More good things are here.
Welcome.

View attachment 1921368
View attachment 1921369
 
Hazikuwahi kupita mikononi kwako? Nilihitaji kujua nini kinahitajika cha kusukuma Sound isikike vizuri

Ukipata amp yenye 2.2 channel itakua pow zaid
Ila ukipata ya 2.1 bado ni pow pia.... ingawa kwa speaker hizo sio lazima iwe powered sana
 
Hii ni bei gani mzee? Na ni kitu gani

IMG_7035.jpg

Hiyo[emoji1369]
Hiyo ndio powerful amplifier driver ya subwoofer yako
Kuna uwezekano mkubwa kua kimeungua
Hua vinakua vi4
Vi2 vya tweeter
Vinabak viwili ambavyo wanavifanyia bridge vinapush speaker moja ya bass!
Bei kwa dar nadhan ni 700-1000 mikoan hadi 2500
Inategemean vimepata shida vingapi

Je inakoroma yote au bass au tweeter pekee!?

Usiendelee kuiwasha zaid na zaid sababu inaweza unguza speaker had transformer pia

Kwa faida tu ni kuambie kua
Mafundi wengi hua naona hawafaham hili jambo
[emoji1427]
Speaker ya bass coil yake ikianza kupukuta insulation yake hua inapelekea kuunguz sana ic
Utaweka mpya itakaa wiki ausiku ngap inaunguza tena
Ukirud kwa fund anaweka ic mpya anaiyest inaimba! Sababu inakua n mda mfupi
Wewe ukifika nyumbani ukipiga 1hr non stop inaungua!!
Hivyo lazima fund wako apime heating ya ic zako pia aone km ni normally au zinazidi
Ni heri ukanunua speaker mpya ukauwa tatizo au ukapunguza gain kidogo( upunguze sauti[emoji1][emoji3][emoji3],kwa wapenda mziki apa hawatakagi) pale kwenye 680 non inverted inputs iwekwe 1k au zaidi!
 
View attachment 2172582

Dah inakoroma yote tu mkuu, vruuuhmmm yani ni endless hio kelele ilikata mziki tu ghafla ikaanza unguruma hivyo ni kwa bass na speaker na ni kwa sauti ya juu wala haipunguziki😅
 
View attachment 2172582
Hiyo[emoji1369]
Hiyo ndio powerful amplifier driver ya subwoofer yako
Kuna uwezekano mkubwa kua kimeungua
Hua vinakua vi4
Vi2 vya tweeter
Vinabak viwili ambavyo wanavifanyia bridge vinapush speaker moja ya bass!
Bei kwa dar nadhan ni 700-1000 mikoan hadi 2500
Inategemean vimepata shida vingapi

Je inakoroma yote au bass au tweeter pekee!?

Usiendelee kuiwasha zaid na zaid sababu inaweza unguza speaker had transformer pia

Kwa faida tu ni kuambie kua
Mafundi wengi hua naona hawafaham hili jambo
[emoji1427]
Speaker ya bass coil yake ikianza kupukuta insulation yake hua inapelekea kuunguz sana ic
Utaweka mpya itakaa wiki ausiku ngap inaunguza tena
Ukirud kwa fund anaweka ic mpya anaiyest inaimba! Sababu inakua n mda mfupi
Wewe ukifika nyumbani ukipiga 1hr non stop inaungua!!
Hivyo lazima fund wako apime heating ya ic zako pia aone km ni normally au zinazidi
Ni heri ukanunua speaker mpya ukauwa tatizo au ukapunguza gain kidogo( upunguze sauti[emoji1][emoji3][emoji3],kwa wapenda mziki apa hawatakagi) pale kwenye 680 non inverted inputs iwekwe 1k au zaidi!
Af sasa mbona charges ziko juu mfano tule tudude twa bass na sauti uliniambiaga huenda ni buku tu ila fundi anadai ni 3500 kila kimoja😅😅😅
Sikubadili na nahisi ndio vimepelekea hili tatizo la sahizi maana ilikuwa inazingua ila ukiipa bass kali kama ya pc inastuka na kuanza kupiga bass vizuri.
 
Dah inakoroma yote tu mkuu, vruuuhmmm yani ni endless hio kelele ilikata mziki tu ghafla ikaanza unguruma hivyo ni kwa bass na speaker na ni kwa sauti ya juu wala haipunguziki[emoji28]

Pata picha watu wa nne wameshikana mikono kutengeneza duara afu wanazunguka.!!
Afu mmja apate aumie mkono...definitely Wote watapata shida
Unajua nin hivyo vi ic vyote vinatumia umeme mmja! Hivyo kimoja kikileta shida kuna uwezekano mkubwa wakuvuluga mfumo mzima sababu TRANSFORMER ni moja!
Hadi utakapokitoa au uki disconnect umeme usiingie
 
Af sasa mbona charges ziko juu mfano tule tudude twa bass na sauti uliniambiaga huenda ni buku tu ila fundi anadai ni 3500 kila kimoja[emoji28][emoji28][emoji28]
Sikubadili na nahisi ndio vimepelekea hili tatizo la sahizi maana ilikuwa inazingua ila ukiipa bass kali kama ya pc inastuka na kuanza kupiga bass vizuri.

Tatizo n kua hatuwez kuwapangia mzee
Na mim niko mbal pia[emoji23][emoji23] huna budi kukinywea[emoji1]
 
Pata picha watu wa nne wameshikana mikono kutengeneza duara afu wanazunguka.!!
Afu mmja apate aumie mkono...definitely Wote watapata shida
Unajua nin hivyo vi ic vyote vinatumia umeme mmja! Hivyo kimoja kikileta shida kuna uwezekano mkubwa wakuvuluga mfumo mzima sababu TRANSFORMER ni moja!
Hadi utakapokitoa au uki disconnect umeme usiingie
Nilizima fasta sana maana ilikuwa usiku ilipozingua nikaja kutest baada ya siku tatu tatizo liko pale pale nikaamua niachane nayo
 
Back
Top Bottom