Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

kelphin

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
9,872
Reaction score
16,319
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.

Karibu
images.jpg


Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.

Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model.

Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu.

Ila kinafanya multipurpose, ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid.
kifupi mambo yote ni in one button.

Faida yake ni kuwa, aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater(Ila haijawahi[emoji2][emoji2inakua na umeme mnyoofu kidogo.

Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi ni digital,yaani yakisasa,
lakini pia display yake ni LCD haitumii umeme mwingi.

Je utaijuaje?
Nob ya kuongezea sauti ni moja tu na zaidi utakuta button za menu na input inategemeana). Ukiigeuza nyuma ina kiplastic kidogo kilichozungushwa nati, yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko wote wa nyuma, hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer.

Hasara zake
  1. Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000.
  2. Ila ukifika unaipachika tu huangaiki.
  3. Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob.
  4. Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde sana kwahiyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu.

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo ni nzuri kwenye uzuri wake. Yenyewe ukiingalia utakuta Ina nob yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja. Yaani cha master volume, bass, tweeter na mic, na ukivizungusha vinafika mwisho.

Yenyewe ndani power supply yake ni ya kawaida, inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida. kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kusambazwa ndani. Yaweza kuwa Seapiano, Codjec Aborder au vyovyote. Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma.

Faida yake
  1. ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
  2. Zinavumilia sana
  3. Hata muziki upo pia
  4. Rahisi kuitumia
Hasara zake
  1. Display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoimba Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo(hii ni kwa baadhi ya subwoofer)
  2. Muonekano wake ni wakizamani ikilinganishwa na hizi mpya

Soma hi pia [emoji1427]
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo, huzaliana na kuleta hitilafu kwa kukata nyaya na kula speaker.
Waya wa speaker una chumvi chumvi hivyo akiingia hauachi.

Simple way jinsi ya kudhibiti
Pale kwenye tobo kuna ki corn cha duara huwa wanakipachika unaweza kukitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao:

  1. Chukua maji ya moto kidogo na kitambaa, kichovye kitambaa kwenye maji kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano.
  2. Kisha chukua kisu, tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua. Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani(sio Huku uliko Kanda kwa maji).
  3. Ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa, kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu.
  4. Paka gundi upande wa ndani, huku ulikokua unakanda na maji kisha kibandike tena kama kilivyokuwa.

NB: Hii ni kwazile subwoofer kama pichani hapo juu, ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara. Wale zinazotolea mbele chini ni habari nyingine.

***
Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195

Some updates,
Je, music system yako haina bluetooth na unataka kuongezea? Easy sana na inawezekana pia, kwa mafundi ninaweza kuwaelekeza.

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5, yaani picture, video inawezekana pia[emoji3][emoji3].
Hususani wale wenye TV za kizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer, unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer hadi kwenye TV yako.

Stay here.
More good things are here.
Welcome.

View attachment 1921368
View attachment 1921369
 
Nimependa hii namna.
Muonekano unatakiwa kumatta though

Sample nkupe ya hi mashine yangu
View attachment 2261917
Hi ni mbao mfano wa MDF zile
Na singboard kisha inavishwa carpet ya rangi utakayoitaka



Kama sivyo basi nitafute receiver za redio zile zakupanga nitumie kichwa kusukia mashine[emoji1427]View attachment 2261921
[emoji1369]itafutwe kama hi mbov iliyokufa
Hapo mbele itakaa Bluetooth na sehemu ya flash kama unavyoona iyo yangu
Tutoe vitu vyote nisuke mashine kama hivi[emoji1427]View attachment 2261929
 
Hivi mnaposema deep base mnamaanisha nini wakuu? au utasikia dynamic base.

Ufafanuzi tafadhali

Ni maelezo ya kina kidogo
Ila definitely tu niseme kuna level
Ikiwa level hi ni dynamics
Na deep ni level nyingine ya low frequency
Unazijua zile 2.0 music system
Zile za panasonic na sonny za nyumbn
Zinakua zina speaker2 left na right?
Zile zinapika dynamic sababu mziki wake haupiti kwenye lpf( low pass filter )[emoji16][emoji16]

Ila subwoofer za nyumbani hizi huwez kuita dynamc sababu zina low pass filter
Ninaposema lpf namaanisha kua kuna circuit filter ambayo inazitengeneza hizo frequency ili zisikike low(low maanyake bass)!
Ila dynamic haina lpf sababu speaker hiyo hiyo inatakiwa iimbe na idunde!
Sijui umenipata kidogo?
 
Ni maelezo ya kina kidogo
Ila definitely tu niseme kuna level
Ikiwa level hi ni dynamics
Na deep ni level nyingine ya low frequency
Unazijua zile 2.0 music system
Zile za panasonic na sonny za nyumbn
Zinakua zina speaker2 left na right?
Zile zinapika dynamic sababu mziki wake haupiti kwenye lpf( low pass filter )[emoji16][emoji16]

Ila subwoofer za nyumbani hizi huwez kuita dynamc sababu zina low pass filter
Ninaposema lpf namaanisha kua kuna circuit filter ambayo inazitengeneza hizo frequency ili zisikike low(low maanyake bass)!
Ila dynamic haina lpf sababu speaker hiyo hiyo inatakiwa iimbe na idunde!
Sijui umenipata kidogo?
Yeah! asante sana mkuu nimekupata vyema.
 
Mkuu niko dillema, kuna home theatre ta watt 1000 na sound bar watts 300 kama sio 400

Ila bei zinafanana around 750k

Kwanini sasa huku watts 1000 kule 300 lakini bei sawa? Je nichukue option gani hapo
 
Mkuu niko dillema, kuna home theatre ta watt 1000 na sound bar watts 300 kama sio 400

Ila bei zinafanana around 750k

Kwanini sasa huku watts 1000 kule 300 lakini bei sawa? Je nichukue option gani hapo

Za kampuni gani!!!?
Wazungu wajanja 10000 times
Majina kama LG,sonny nk yanaingiza fedha mkuu
Utasikia kauli kama bland !!!
Hivyo inawezekana kua ndogo (watts)ila bei ikapaa sababu ya bland yao tu
 
Ikiwa umeweka Bluetooth au hata aux

I mean inafanya hivyo ukiwa umeselect Bluetooth au aux au vyote
Yaani haijalishi ikiwa Bluetooth, FM pia hata Aux bado inakoroma kuna wakati inatulia kabisaa..unakuta ni usiku huwa nina tabia ya kuacha FM kwa sauti ndogo ila ghafla inalipuka na kuanza kukoroma utafikiria Zile redio za Zamani za AM au MW hata ukipunguza sauti mpaka mwisho bado sauti ya kukoroma inabaki pale pale mpaka uzime kabisa kwenye switch..

Ikifika hatua hyo haijalishi ni AUX FM au Bluetooth bado itakoroma tuu
 
Yaani haijalishi ikiwa Bluetooth, FM pia hata Aux bado inakoroma kuna wakati inatulia kabisaa..unakuta ni usiku huwa nina tabia ya kuacha FM kwa sauti ndogo ila ghafla inalipuka na kuanza kukoroma utafikiria Zile redio za Zamani za AM au MW hata ukipunguza sauti mpaka mwisho bado sauti ya kukoroma inabaki pale pale mpaka uzime kabisa kwenye switch..

Ikifika hatua hyo haijalishi ni AUX FM au Bluetooth bado itakoroma tuu

Pole sana,
Huenda kuna components hazijaungana sawasawa
Au kama iliwah enda kwa fundi bas ic haziko tyt kwenye heat sink
Ila sababu kubwa huenda tu componets hazijashikana vyema zimelegea
 
Sample nkupe ya hi mashine yangu
View attachment 2261917
Hi ni mbao mfano wa MDF zile
Na singboard kisha inavishwa carpet ya rangi utakayoitaka



Kama sivyo basi nitafute receiver za redio zile zakupanga nitumie kichwa kusukia mashine[emoji1427]View attachment 2261921
[emoji1369]itafutwe kama hi mbov iliyokufa
Hapo mbele itakaa Bluetooth na sehemu ya flash kama unavyoona iyo yangu
Tutoe vitu vyote nisuke mashine kama hivi[emoji1427]View attachment 2261929
Na quotation inakaaje hapo kitaalam?
 
Kuna rafiki yangu anayo iyo ailing sub woofer naitamani mpaka kesho kanunua 2012 mpaka leo inapiga mziki mzito na wenye viwango vya juu ukiweka na home theatre ya kijinga kijinga haioni ndani, huwa namwambia aniuzie hataki
Ipo kama hii ? Manake hii ya toka 2011 mpaka tunavyoongea mimi na wewe inagonga hatari halafu base yake nimegundua ndio kama hizi wanaita dynamic yaani au deep base
IMG_20211208_100803_0.jpg
 
Ipo kama hii ? Manake hii ya toka 2011 mpaka tunavyoongea mimi na wewe inagonga hatari halafu base yake nimegundua ndio kama hizi wanaita dynamic yaani au deep baseView attachment 2264111

Hi inakupa deep mzee
Haiwez kua dynamic
Ingawq hizi deep sasa zinatofautiana freq sas
Zipo zinapika ile low kavu
Na hiz subwoofer kawaida
Hizi freq zinaenda sawa na uwezo wa amplifier
Uwezo wa amp unaenda sawa na power supply

Power supply ni umeme unaotumika kwenye amplification
Subwoofer nyingi zinacheza kati ya 9v hadi
27v 0 27v
Zile za kwenye magari zinazogonga saba bass unakuta zina 35+_
Current ndio balaa! Unaweza kuta had 40[emoji16]
Wakat hiz za nyumban current yake unakuta ikizid sana ni2,6




Mziki mzuri ghalama [emoji1316]
 
Back
Top Bottom