Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

kelphin

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
9,872
Reaction score
16,319
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.

Karibu
images.jpg

Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.

Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model.

Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu.

Ila kinafanya multipurpose, ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid.
kifupi mambo yote ni in one button.

Faida yake ni kuwa, aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater(Ila haijawahi[emoji2][emoji2inakua na umeme mnyoofu kidogo.

Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi ni digital,yaani yakisasa,
lakini pia display yake ni LCD haitumii umeme mwingi.

Je utaijuaje?
Nob ya kuongezea sauti ni moja tu na zaidi utakuta button za menu na input inategemeana). Ukiigeuza nyuma ina kiplastic kidogo kilichozungushwa nati, yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko wote wa nyuma, hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer.

Hasara zake
  1. Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000.
  2. Ila ukifika unaipachika tu huangaiki.
  3. Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob.
  4. Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde sana kwahiyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu.

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo ni nzuri kwenye uzuri wake. Yenyewe ukiingalia utakuta Ina nob yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja. Yaani cha master volume, bass, tweeter na mic, na ukivizungusha vinafika mwisho.

Yenyewe ndani power supply yake ni ya kawaida, inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida. kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kusambazwa ndani. Yaweza kuwa Seapiano, Codjec Aborder au vyovyote. Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma.

Faida yake
  1. ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
  2. Zinavumilia sana
  3. Hata muziki upo pia
  4. Rahisi kuitumia
Hasara zake
  1. Display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoimba Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo(hii ni kwa baadhi ya subwoofer)
  2. Muonekano wake ni wakizamani ikilinganishwa na hizi mpya

Soma hi pia [emoji1427]
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo, huzaliana na kuleta hitilafu kwa kukata nyaya na kula speaker.
Waya wa speaker una chumvi chumvi hivyo akiingia hauachi.

Simple way jinsi ya kudhibiti
Pale kwenye tobo kuna ki corn cha duara huwa wanakipachika unaweza kukitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao:

  1. Chukua maji ya moto kidogo na kitambaa, kichovye kitambaa kwenye maji kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano.
  2. Kisha chukua kisu, tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua. Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani(sio Huku uliko Kanda kwa maji).
  3. Ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa, kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu.
  4. Paka gundi upande wa ndani, huku ulikokua unakanda na maji kisha kibandike tena kama kilivyokuwa.

NB: Hii ni kwazile subwoofer kama pichani hapo juu, ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara. Wale zinazotolea mbele chini ni habari nyingine.

***
Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195

Some updates,
Je, music system yako haina bluetooth na unataka kuongezea? Easy sana na inawezekana pia, kwa mafundi ninaweza kuwaelekeza.

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5, yaani picture, video inawezekana pia[emoji3][emoji3].
Hususani wale wenye TV za kizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer, unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer hadi kwenye TV yako.

Stay here.
More good things are here.
Welcome.

View attachment 1921368
View attachment 1921369
 
oukay

nasikia amplifier nzuri ni ile inayotumia toroidal transformer, ni kweli hii??

halafu kwanini kwenye subwoofer za gari wanarecomend sana utumie monoblock amplifiers zaidi hii imekaaje kiufundi???
Transfoma hizi zina current nyingi mkuu
Pia haina upotevu wa umeme
Ni nzuri sana
 
korokwincho
monoblock amps zinakua na power kwakua zinacheza one channel mkuu
Ukisha tengeneza stereo maan yake mashine itakua multiple kwenye box moja
Ila monobloblock inakua na mono signal na sio stereo
 
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.

KaribuView attachment 1559794

Subufer yangu inapiga mdondo kama spika inajamba shida ni nini
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uliipa maharage?

Mkuu huenda spider imeachana na coil
Au keratasi imechanika

Spiker ni nzima nishapeleka kwa mafundi zaidi ya 5 wameshindwa na nishabadilisha spiker lakin wapi!!ila juzi nimeigawa nishanunua sound proof
 
korokwincho
monoblock amps zinakua na power kwakua zinacheza one channel mkuu
Ukisha tengeneza stereo maan yake mashine itakua multiple kwenye box moja
Ila monobloblock inakua na mono signal na sio stereo
oooh so hpa hta ukitaka kuunda system ya sound for home use hasa kutumia speakers za gari basi ni vyema uwe na 2 amps sio moja for mids(stereo amp) and other one monoblock for subwoofer right?

so kma mono ni njia 1 , unakuta mono 1 imbeba sub hta zaidi ya 2

pale inakuwaje in terms of performance??
 
Uwezo wako tu wa kifedha mkuu
Ndio ni better ukawa na separately amplifier
Ingawa sio lazima

Unapounga speaker moja au zaidi ya moja

Ndio mkuu ni pow zikiwa zimetengana ingawa sio lazima kwa maturities ya ndani
Inategemeana na aina ya power supply na aina ya amplifier yako

So kma mono ni----------👉👉
Mkuu speaker ukiziunga tu kwenye amplifier yako hata ziwe 10
Either in series au parallel
Amplifier ina count kama ni speakers moja tu!
Unapoziunga hizo spika zako in series maana yake unaongeza ohms ila Watts inabakia vilevile
Unapoziunga in parallel ..ohms zinapungua ila Watts inakua kubwa

Hivyo ukiunga speakers zenye 4ohm Watts 40! mbili in parallel
Amplifier ita count kama ni speaker moja ya ohms 2 yenye Watts 79+

Hivyo mziki unabadilika kutokana na setting zako
By the way 4 ohms bass speakers are best
 
Mzigo huo
Ni 5.1 dekker yake imezingua
Nnaisukia mashine inarudi kua bomba kabisa
Anaeamini mkono wa kelphin tunaweza kuwasiliana
 
Attachments

  • 20230615_141205.jpg
    20230615_141205.jpg
    1.1 MB · Views: 26
Uwezo wako tu wa kifedha mkuu
Ndio ni better ukawa na separately amplifier
Ingawa sio lazima

Unapounga speaker moja au zaidi ya moja

Ndio mkuu ni pow zikiwa zimetengana ingawa sio lazima kwa maturities ya ndani
Inategemeana na aina ya power supply na aina ya amplifier yako

So kma mono ni----------[emoji117][emoji117]
Mkuu speaker ukiziunga tu kwenye amplifier yako hata ziwe 10
Either in series au parallel
Amplifier ina count kama ni speakers moja tu!
Unapoziunga hizo spika zako in series maana yake unaongeza ohms ila Watts inabakia vilevile
Unapoziunga in parallel ..ohms zinapungua ila Watts inakua kubwa

Hivyo ukiunga speakers zenye 4ohm Watts 40! mbili in parallel
Amplifier ita count kama ni speaker moja ya ohms 2 yenye Watts 79+

Hivyo mziki unabadilika kutokana na setting zako
By the way 4 ohms bass speakers are best
nimeelewa so kwa mfano unakuta speaker ina dual voice coil ambayo ni 2ohm +2ohm so ukiungau hii utapata 4ohm speaker sio€?€€
 
Yes uki series unapata 4
!
Amplifier nyingi zinacheza 4ohm per channel without bridge

Tafsiri yake nyingine ni kua unaweza kutumia amp amp 2 kwenye speakers hiyohiyo
 
Back
Top Bottom