Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

kelphin

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
9,872
Reaction score
16,319
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.

Karibu
images.jpg

Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.

Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model.

Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu.

Ila kinafanya multipurpose, ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid.
kifupi mambo yote ni in one button.

Faida yake ni kuwa, aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater(Ila haijawahi[emoji2][emoji2inakua na umeme mnyoofu kidogo.

Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi ni digital,yaani yakisasa,
lakini pia display yake ni LCD haitumii umeme mwingi.

Je utaijuaje?
Nob ya kuongezea sauti ni moja tu na zaidi utakuta button za menu na input inategemeana). Ukiigeuza nyuma ina kiplastic kidogo kilichozungushwa nati, yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko wote wa nyuma, hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer.

Hasara zake
  1. Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000.
  2. Ila ukifika unaipachika tu huangaiki.
  3. Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob.
  4. Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde sana kwahiyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu.

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo ni nzuri kwenye uzuri wake. Yenyewe ukiingalia utakuta Ina nob yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja. Yaani cha master volume, bass, tweeter na mic, na ukivizungusha vinafika mwisho.

Yenyewe ndani power supply yake ni ya kawaida, inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida. kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kusambazwa ndani. Yaweza kuwa Seapiano, Codjec Aborder au vyovyote. Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma.

Faida yake
  1. ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
  2. Zinavumilia sana
  3. Hata muziki upo pia
  4. Rahisi kuitumia
Hasara zake
  1. Display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoimba Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo(hii ni kwa baadhi ya subwoofer)
  2. Muonekano wake ni wakizamani ikilinganishwa na hizi mpya

Soma hi pia [emoji1427]
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo, huzaliana na kuleta hitilafu kwa kukata nyaya na kula speaker.
Waya wa speaker una chumvi chumvi hivyo akiingia hauachi.

Simple way jinsi ya kudhibiti
Pale kwenye tobo kuna ki corn cha duara huwa wanakipachika unaweza kukitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao:

  1. Chukua maji ya moto kidogo na kitambaa, kichovye kitambaa kwenye maji kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano.
  2. Kisha chukua kisu, tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua. Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani(sio Huku uliko Kanda kwa maji).
  3. Ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa, kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu.
  4. Paka gundi upande wa ndani, huku ulikokua unakanda na maji kisha kibandike tena kama kilivyokuwa.

NB: Hii ni kwazile subwoofer kama pichani hapo juu, ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara. Wale zinazotolea mbele chini ni habari nyingine.

***
Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195

Some updates,
Je, music system yako haina bluetooth na unataka kuongezea? Easy sana na inawezekana pia, kwa mafundi ninaweza kuwaelekeza.

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5, yaani picture, video inawezekana pia[emoji3][emoji3].
Hususani wale wenye TV za kizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer, unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer hadi kwenye TV yako.

Stay here.
More good things are here.
Welcome.

View attachment 1921368
View attachment 1921369
 
Hakiki Hdmi wire kama ni mzima
Wire uko vuzuri, nilibadilisha HDMI cable 2 tofauti bado tatizo lipo.

Soundbar nilikuwa napenda kuitumia kusikilizia sauti za Television kutoka kwenye Decoder ya DSTV pamoja na miziki ya video na movies kwenye EHD niliyoinga kwenye USB port ya TV.

Hii sound bar imebakia kutumia kwenye decider kupitia infra-red wire. Nimejaribu kuifanyia Hard Reset lakini tatizo bado lipo.

Yaani sijui imepatwa na tatizo gani. Labda wataalam wa HDMI wanaweza wakatoa ushauri.
 
Ni sony ya watts 100 mkuu
Kwa makisio yko redio gan kali mkuu na budget ipi
Me sio mzoefu sana wa music system ila kwa uelewa wangu mdogo najua 200k haiwezi kukupa mziki mzuri, labda utafute sabufa za kodteq na seapiano

Me natumia sound bar, hizi zina mziki wa kistaarabu tu kwa mtu asiependa mziki mkubwa sana maana sio kazi kazi kama music system zingine

Mziki wako ulikuwa mdogo sana, kama vipi fanya upgrade utoke hapo kwenye watts 100 usogee Hadi kwenye 500 watss, Kwa upande wa home theatre saiz zimeshuka sana bei, jivute hadi 400-450k
 
Apo nmekupqta mkuu je sound bar n bei gan
 
Sound bar kutokana na kuwa za matumizi ya kawaida na nyingi ni luxury hivo hupelekea bei zake kuwa kubwa tofauti na mziki wake

Kwahiyo ili upate sound bar yenye mziki mzuri zaidi itakulazimu uwe na budget nzuri kidogo tofauti na ukitaka home theatre

Walahu kuanzia 700k kuendelea ndio utapata sound bar yenye mziki mzuri, tofauti na hapo labda uotee za mtumba kama kina Vizio
 
mkuu nina sony hometheatre ile ina spika mbili ndefu,ndogo mbili,subwoofer na center speaker moja na deki yake shida button ya kuwasha haifanyi kazi,ukibonyeza ya function ndo inawaka lakini hairespond inabaki hivto hivyo msaada pls

Habari Mkuu. Home Theatre yako ilishapona?
 
SP-912 Ni kubwa zaidi
  • Fika dukani utaona tofauti
  • Yako matoleo matatu, kati ya hayo matatu 912 ndio kubwa na be yake iko juu ukilinganisha na hayo matoleo mengine mawili.

Mkuu nimeuliza hivyo maana Sp 910 na Sp 912 bei ni moja
IMG_2195.jpg

IMG_2197.jpg

isipokuwa Sp 981 ndiyo naona yenyewe ipo chini japo Sp 910 na 912 naona zote zinalingana ukubwa wa speaker kubwa sasa zinanichanganya hapo
IMG_2196.jpg
 
Mkuu nimeuliza hivyo maana Sp 910 na Sp 912 bei ni mojaView attachment 2717251
View attachment 2717252
isipokuwa Sp 981 ndiyo naona yenyewe ipo chini japo Sp 910 na 912 naona zote zinalingana ukubwa wa speaker kubwa sasa zinanichanganya hapo View attachment 2717253
Nimeuliza Claude AI:
=

Sea Piano SP910 na SP912 ni matoleo mawili ya πΉ ya uhakika yaliyotengenezwa na kampuni ya Sea Piano. Hapa ni tofauti kuu kati ya haya matoleo mawili:

SP910:
  • Ina plastic ivory keys
  • Ina USB MIDI tu
  • Bei rahisi zaidi

SP912:
  • Ina genuine ivory feel keys
  • Ina MIDI na Bluetooth MIDI
  • Ina speaker mbili za nje
  • Bei ghali zaidi

Kwa hiyo, SP912 ina ubora zaidi wa sauti, usikivu bora, vifaa vipya kama vile Bluetooth, na hisia bora zaidi ya ufunguo. SP910 ni chaguo nzuri zaidi ikiwa unataka bei nafuu.

Kwa maoni yangu, ikiwa bajeti yako inaruhusu, SP912 ingekuwa chaguo bora zaidi. Ina hisia bora ya kufanya iwe kama πΉ halisi na sauti nzuri zaidi. Bluetooth MIDI pia inafanya iunganike kirahisi na kompyuta au simu.

Lakini SP910 bado ni chaguo nzuri kwa bei nafuu, ikizingatiwa tu kwamba haina baadhi ya kipengele bora cha SP912.
 
Mkuu hapo ndyo nmechanganyikiwa kabisa maana kuna mtu ana hyo SP 910 ina bluetooth pia na speaker za nje pia ni mbili,ila N way ngoja na mimi nitatembelea Shop nizipambanishe ili nipate jibu.
f4201285-29b4-4df5-b83f-c2f362fb0a2c.jpg
 
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.

KaribuView attachment 1559794

Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.

Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model.

Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu.

Ila kinafanya multipurpose, ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid.
kifupi mambo yote ni in one button.

Faida yake ni kuwa, aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater(Ila haijawahi[emoji2][emoji2inakua na umeme mnyoofu kidogo.

Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi ni digital,yaani yakisasa,
lakini pia display yake ni LCD haitumii umeme mwingi.

Je utaijuaje?
Nob ya kuongezea sauti ni moja tu na zaidi utakuta button za menu na input inategemeana). Ukiigeuza nyuma ina kiplastic kidogo kilichozungushwa nati, yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko wote wa nyuma, hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer.

Hasara zake
  1. Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000.
  2. Ila ukifika unaipachika tu huangaiki.
  3. Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob.
  4. Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde sana kwahiyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu.

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo ni nzuri kwenye uzuri wake. Yenyewe ukiingalia utakuta Ina nob yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja. Yaani cha master volume, bass, tweeter na mic, na ukivizungusha vinafika mwisho.

Yenyewe ndani power supply yake ni ya kawaida, inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida. kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kusambazwa ndani. Yaweza kuwa Seapiano, Codjec Aborder au vyovyote. Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma.

Faida yake
  1. ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
  2. Zinavumilia sana
  3. Hata muziki upo pia
  4. Rahisi kuitumia
Hasara zake
  1. Display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoimba Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo(hii ni kwa baadhi ya subwoofer)
  2. Muonekano wake ni wakizamani ikilinganishwa na hizi mpya

Soma hi pia [emoji1427]
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo, huzaliana na kuleta hitilafu kwa kukata nyaya na kula speaker.
Waya wa speaker una chumvi chumvi hivyo akiingia hauachi.

Simple way jinsi ya kudhibiti
Pale kwenye tobo kuna ki corn cha duara huwa wanakipachika unaweza kukitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao:

  1. Chukua maji ya moto kidogo na kitambaa, kichovye kitambaa kwenye maji kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano.
  2. Kisha chukua kisu, tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua. Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani(sio Huku uliko Kanda kwa maji).
  3. Ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa, kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu.
  4. Paka gundi upande wa ndani, huku ulikokua unakanda na maji kisha kibandike tena kama kilivyokuwa.

NB: Hii ni kwazile subwoofer kama pichani hapo juu, ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara. Wale zinazotolea mbele chini ni habari nyingine.

***
Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195

Some updates,
Je, music system yako haina bluetooth na unataka kuongezea? Easy sana na inawezekana pia, kwa mafundi ninaweza kuwaelekeza.

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5, yaani picture, video inawezekana pia[emoji3][emoji3].
Hususani wale wenye TV za kizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer, unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer hadi kwenye TV yako.

Stay here.
More good things are here.
Welcome.

View attachment 1921368
View attachment 1921369
Ipi ni nzuri kati ya Panasonic SA-Max 9000 na Sony Shake X70D?
 
Back
Top Bottom