Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

kelphin

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
9,872
Reaction score
16,319
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.

Karibu
images.jpg

Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.

Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model.

Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu.

Ila kinafanya multipurpose, ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid.
kifupi mambo yote ni in one button.

Faida yake ni kuwa, aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater(Ila haijawahi[emoji2][emoji2inakua na umeme mnyoofu kidogo.

Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi ni digital,yaani yakisasa,
lakini pia display yake ni LCD haitumii umeme mwingi.

Je utaijuaje?
Nob ya kuongezea sauti ni moja tu na zaidi utakuta button za menu na input inategemeana). Ukiigeuza nyuma ina kiplastic kidogo kilichozungushwa nati, yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko wote wa nyuma, hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer.

Hasara zake
  1. Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000.
  2. Ila ukifika unaipachika tu huangaiki.
  3. Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob.
  4. Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde sana kwahiyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu.

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo ni nzuri kwenye uzuri wake. Yenyewe ukiingalia utakuta Ina nob yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja. Yaani cha master volume, bass, tweeter na mic, na ukivizungusha vinafika mwisho.

Yenyewe ndani power supply yake ni ya kawaida, inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida. kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kusambazwa ndani. Yaweza kuwa Seapiano, Codjec Aborder au vyovyote. Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma.

Faida yake
  1. ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
  2. Zinavumilia sana
  3. Hata muziki upo pia
  4. Rahisi kuitumia
Hasara zake
  1. Display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoimba Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo(hii ni kwa baadhi ya subwoofer)
  2. Muonekano wake ni wakizamani ikilinganishwa na hizi mpya

Soma hi pia [emoji1427]
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo, huzaliana na kuleta hitilafu kwa kukata nyaya na kula speaker.
Waya wa speaker una chumvi chumvi hivyo akiingia hauachi.

Simple way jinsi ya kudhibiti
Pale kwenye tobo kuna ki corn cha duara huwa wanakipachika unaweza kukitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao:

  1. Chukua maji ya moto kidogo na kitambaa, kichovye kitambaa kwenye maji kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano.
  2. Kisha chukua kisu, tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua. Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani(sio Huku uliko Kanda kwa maji).
  3. Ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa, kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu.
  4. Paka gundi upande wa ndani, huku ulikokua unakanda na maji kisha kibandike tena kama kilivyokuwa.

NB: Hii ni kwazile subwoofer kama pichani hapo juu, ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara. Wale zinazotolea mbele chini ni habari nyingine.

***
Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195

Some updates,
Je, music system yako haina bluetooth na unataka kuongezea? Easy sana na inawezekana pia, kwa mafundi ninaweza kuwaelekeza.

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5, yaani picture, video inawezekana pia[emoji3][emoji3].
Hususani wale wenye TV za kizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer, unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer hadi kwenye TV yako.

Stay here.
More good things are here.
Welcome.

View attachment 1921368
View attachment 1921369
 
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.

KaribuView attachment 1559794

Difference between HI-Fi system, Home theatre, Subwoofer and Sound bar system

Vipi Quality ya true muziki?naipata kwenye system ipi maana najipanga kununua kati ya Home theater na Sound bar

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
 
2.1,5.1, hi inasimama ki technical kuelezea Aina ya music system yako
Ikiwa music system itaandikwa 2.0 maana yake hiyo Ni music system ya stereo yaani itakua na speaker mbili sawa
Ambazo speaker hizo zitadunda zitaimba hizo hizo
Ni music system ambayo inakupa Radha kamili ya muziki Ila ukiona 2.1 maana yake hiyo namba ya mbele inasimama baada ya channel (R,L)number Kisha hiyo ya nyuma Ni subwoofer yake(inayotoa low frequency yaani mdundo)

Kwahyo 5.1 maana yake inakupa tweeter 5 na bass moja. Ndio mkuu zipo 3.1 4.1 kitu Ni kile kile
Nkukumbushe tu kua channel za music ziko mbili tu R,L Channel zingine zinanyumbulishwa kutoka hapo hapo mfano
FL
FR
C
Na bass
Utofauti Kati ya subwoofer na woofer Ni ndogo Sana
Subwoofer Ni speaker ya woofer iliyopo kwenye box kabisa
Mfano wenye home theater Ile inayotoa mdundo ndio subwoofer
Ila woofer Ni speaker iliyotengenezwa kucheza low frequency kifupi Ni speaker ya bass
Nakupata mkuu

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
 
Asante mkuu. Ume maanisha twita? Je sound bar yoyote inaweza kuingiliana na speaker ya aina hii na ikawa na uwezo wa kusukuma bila kuhitaji amplifier?

Sound bar ni amplifier pia mkuu
Lakini pia kila sound bar hua ba specification zake
Unaweza itumia pengine ikagoma hata kuwaka

Je huna kile ki sound bar?
 
Asante mkuu.

Sound bar ipo mkuu ila niliagiza online wakawa wamenichanganyia. Sound bar ni model ya BUSH ila speaker ni SONY.

Sasa hata kuunganisha nimeshindwa.

IMG_20230910_213131~2.jpg

IMG_20230910_213113~2.jpg

IMG_20230910_213154~2.jpg
 
Asante mkuu.

Sound bar ipo mkuu ila niliagiza online wakawa wamenichanganyia. Sound bar ni model ya BUSH ila speaker ni SONY.

Sasa hata kuunganisha nimeshindwa.

View attachment 2745298

View attachment 2745300

View attachment 2745301

IMG_0052.jpg

Pole sana mkuu
Kwa maelezo hapa ni kua hiyo sound bar yako ni 2.0 yaan haina option ya bass output na ndio maana hata watts yake ni ndogo
Kwahyo haiwezi kuunganisha hiyo bass mkuu
Kwakua haijaundwa kuunganisha bass
Ingekua ni 2.1 maana yake ingeweza
Pole..
 
Back
Top Bottom