Niulize chochote kuhusu Wilaya ya Sikonge Tabora

Rami imefika hadi Ipole lakini sehemu nyingine bado lakini Barabara ya Mpanda inapitika misimu yote
Hahaha Mkuu FUSO

Vipi barabara imeshakamilika nataka nipite huko kuelekea Mpanda...Mkuu pub gani hapo Sikonge nzuri na Guest nataka kupiga kambi hapo few days ...ntakuja na Boing Coast LINE
 
Samahani, naomba utuwekee japo hata ka picha ka mji huo ulivyo maana Tabora bwana kuna visa.
 
Hahaha Mkuu FUSO

Vipi barabara imeshakamilika nataka nipite huko kuelekea Mpanda...Mkuu pub gani hapo Sikonge nzuri na Guest nataka kupiga kambi hapo few days ...ntakuja na Boing Coast LINE
Kwa Sikonge Guest Hse zipo nzuri mno wala usitie hofu, kuhusu barabara ya Mpanda bado haijakamilika - Tabora Mjini hadi Sikonge ni mkeka, ila toka Sikonge utatembea kama km 12 kufika pale Ipole ndipo itakuwa mwisho wa lami.
 
Vip kuhusu kuloga/urozi na limbwata
NI WACHAWI SANA WADADA WA SIKONGE. HATA UKIKUTANA NAYE MKOA WA MBALI KAA NAYE MBALI. WANAJIFANYAGA WAPOLE ILA NI WANGA BALAA.

WANAKUPA LIMBWATA HALAFU FAMILIA YOTE INAHAMIA KWAKO KUANZIA MAMA MKWE HADI NDUGU WENGINE. NA HAWAONDOKI NG'O!
 
Waarabu wasikonge ni wanyamwezi kuliko wanyamwezi wenyewe na sio wabaguz kama ndugu zao wa visiwani mimi nilitolewa uvulana wangu na binti wa kiarabu tabora mjini sintoisahau hio siku yangu ya kwanza kutoa janaba
Basi siendi tena huko, kama kuna waarab wengi kihivyo basi tunategemea misukule iko mingi sana kwenye majumba ya watu. Sielewi kuna sayansi gani kati ya waarab na misukule. Sikonge, samahani siji kwenu kuwatembelea hata iweje.
 
Nikitaka kufika kijiji cha IPEMBE iliyopo kata ya Kiloli nikitokea Dar, safari yangu itakuwaje? Nishuke wapi nipande wapi nilale wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…