Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Mkuu pub kali na Guest nipe majina nataka kutinga hapo few days kuelekea Katavi...vipi barabara mpyaa imeshakamilika,,,,ntakuja na Boing Coastlimne ...Chuga MpandaKaribu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu pub kali na Guest nipe majina nataka kutinga hapo few days kuelekea Katavi...vipi barabara mpyaa imeshakamilika,,,,ntakuja na Boing Coastlimne ...Chuga MpandaKaribu mkuu
siku hizi naona kuna mabomba na kuna watu wanasambaza nmetoka pale 2019 ila kumepoa saaana..
Kumechangamka sana pisi za kutosha za Kikonongo...Inyonga huko wanalima sana zao la Karanga sasa hivi ndiyo wilaya ya Melele
Hahaha Mkuu FUSO
Vipi barabara imeshakamilika nataka nipite huko kuelekea Mpanda...Mkuu pub gani hapo Sikonge nzuri na Guest nataka kupiga kambi hapo few days ...ntakuja na Boing Coast LINE
Samahani, naomba utuwekee japo hata ka picha ka mji huo ulivyo maana Tabora bwana kuna visa.Wilaya ya Sikonge ipo Kusini ya Mkoa wa Tabora, Wilaya hii inapakana na Wilaya ya Uyui Kaskazini na upande wa Mashariki inapatikana na Mkoa wa Singida.
Kusini inapakana na Mkoa wa Mbeya Kusini Magharibi inapatikana na Mkoa wa Katavi na upande wa Magharibi inapatikana na Wilaya ya Urambo.
Wenyeji wa Wilaya hii ni wanyamwezi huku shughuli zao zikiwa ni kilimo ufugaji na uwindaji.
Mazao yao makuu yakiwa ni Mahindi, Maharagwe, Karanga, Mhogo na Mpunga. Huku zao kubwa la biashara likiwa ni Tumbaku.
Wilaya hii inajishughulisha pia katika ufugaji wa nyuki na inasemekana kuwa asali ya Tabora ndiyo asali iliyobora kuliko maeneo mengine yote katika nchi yetu.
misitu mingi kuliko watu mkuu..Ndiyo kuna chanzo cha bwawa la maji lililopo kijiji cha Utyatya lakini bado hakikidhi mahitaji mkulugenzi inabidi alifanyie kazi jambo hilo
Mkuu Pub na Lodge kali kama unamajina will be GreatRami imefika hadi Ipole lakini sehemu nyingine bado lakini Barabara ya Mpanda inapitika misimu yote
AsanteKm 27,783
Kwa Sikonge Guest Hse zipo nzuri mno wala usitie hofu, kuhusu barabara ya Mpanda bado haijakamilika - Tabora Mjini hadi Sikonge ni mkeka, ila toka Sikonge utatembea kama km 12 kufika pale Ipole ndipo itakuwa mwisho wa lami.Hahaha Mkuu FUSO
Vipi barabara imeshakamilika nataka nipite huko kuelekea Mpanda...Mkuu pub gani hapo Sikonge nzuri na Guest nataka kupiga kambi hapo few days ...ntakuja na Boing Coast LINE
Chabutwa | Igigwa | Ipole | Kiloleli (Sikonge) | Kiloli | Kilumbi | Kipanga | Kipili | Kisanga | Kitunda | Mkolye | Mole | Mpombwe | Ngoywa | Nyahua | Pangale | Tutuo | Usunga.Kuna kata ngapi Sikonge?
yes mkuu, umeona eee - eneo ni kubwa mno mno.Km za mraba au kiingereza square km
NI WACHAWI SANA WADADA WA SIKONGE. HATA UKIKUTANA NAYE MKOA WA MBALI KAA NAYE MBALI. WANAJIFANYAGA WAPOLE ILA NI WANGA BALAA.Vip kuhusu kuloga/urozi na limbwata
Nimeona kwa macho yangu. Dada zako ni wanga balaa!Wanyamwezi hawaendekezi sana mambo ila yapo
yes mkuu, umeona eee - eneo ni kubwa mno mno.
Unamtofautishaje sangara na sato,wote hawa ni samaki.Je, ni kweli kwamba idadi ya wasukuma huko sikonge ni wengi kuliko wanyamwezi?
Hesabu ulikuwa unapata maksi ngapi? Ha ha haKwa inakadiriwa kuwa na watu laki 149.8 kwa majibu wa sensa ya 2012
Basi siendi tena huko, kama kuna waarab wengi kihivyo basi tunategemea misukule iko mingi sana kwenye majumba ya watu. Sielewi kuna sayansi gani kati ya waarab na misukule. Sikonge, samahani siji kwenu kuwatembelea hata iweje.
Mlevi classmates wangu LY 1998, niliondoka Usunga one 2002Mlevi no mdogo wangu kabisa,
Mimi nimehama mwaka 1993,lakini hua naensa kila mala,hata wiki iliyopita nilikuwa USUNGA One.