Niulize chochote kuhusu Wilaya ya Sikonge Tabora

Vipi huko mashamba ya kulima tumbaku yanapatikanika vipi ndugu yangu?
 
Fafanua asali inavyoharibiwa na tumbaku mkuu
Wanatumia dawa katika kupulizia, pia tumbaku ina nicotine ambayo adhali zake zinajulikana, sasa nyuki wanavyotengeneza asali huwa wanatumia maua ya tumbaku na side effects unakuta Kuna chembechembe za nicotine, kwa sasa hivi walinaji wamepewa vibali ili waende kwenye maeneo tengefu ili kupunguza athali hizi
 
Aaah weee usitudanganye..nina mtoto huko tutuo na hao waarabu wenu, sikonge nina jamaa yangu huko kwao mambo aliyonieleza ya huko hapa wala usiwatetee mkuu.
Anadanganya.... Wanyamwezi washirikina sana wa mapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…