Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huko ndipo chimbuko la mababu.....Huijui Sikonge nadhani umeaimuliwa au alienda kwa ya mambo hayo
Ngoja anaesumbua anajulikana kwa jina la Koboko (Cobra) ambao kwa maeneo ya wilaya ya Sikonge hupendela kuishi katika mashimo ya visuguu au katika mapango ya miti
Kwanini haunishauri nilime tumbaku Mkuu?, au ni kilimo kigumu sana nini Mkuu?, Tujuzane.Mashamba ni mengi sana na uzuri siku hizi tumbaku inalimwa katika kijiji chochote tofauti na zamani ambayo ilikuwa inalimwa katika vijiji maalumu.
Ila sikushauri ulime Tumbaku
Inavituo shikizi vingapi au satellite skul ngapi?Wilaya ya Sikonge ipo Kusini ya Mkoa wa Tabora, Wilaya hii inapakana na Wilaya ya Uyui Kaskazini na upande wa Mashariki inapatikana na Mkoa wa Singida.
Kusini inapakana na Mkoa wa Mbeya Kusini Magharibi inapatikana na Mkoa wa Katavi na upande wa Magharibi inapatikana na Wilaya ya Urambo.
Wenyeji wa Wilaya hii ni wanyamwezi huku shughuli zao zikiwa ni kilimo ufugaji na uwindaji.
Mazao yao makuu yakiwa ni Mahindi, Maharagwe, Karanga, Mhogo na Mpunga. Huku zao kubwa la biashara likiwa ni Tumbaku.
Wilaya hii inajishughulisha pia katika ufugaji wa nyuki na inasemekana kuwa asali ya Tabora ndiyo asali iliyobora kuliko maeneo mengine yote katika nchi yetu.
Mkuu laki 149.8 ndiyo kiasi gani?
Mkuu hujaelewa 149,883
Mkuu Pub na Lodge kali kama unamajina will be Great
Hesabu ulikuwa unapata maksi ngapi? Ha ha ha
Kumbe Sikonge ni wilaya, mimi nilijua kijiji.Wilaya ya Sikonge ipo Kusini ya Mkoa wa Tabora, Wilaya hii inapakana na Wilaya ya Uyui Kaskazini na upande wa Mashariki inapatikana na Mkoa wa Singida.
Kusini inapakana na Mkoa wa Mbeya Kusini Magharibi inapatikana na Mkoa wa Katavi na upande wa Magharibi inapatikana na Wilaya ya Urambo.
Wenyeji wa Wilaya hii ni wanyamwezi huku shughuli zao zikiwa ni kilimo ufugaji na uwindaji.
Mazao yao makuu yakiwa ni Mahindi, Maharagwe, Karanga, Mhogo na Mpunga. Huku zao kubwa la biashara likiwa ni Tumbaku.
Wilaya hii inajishughulisha pia katika ufugaji wa nyuki na inasemekana kuwa asali ya Tabora ndiyo asali iliyobora kuliko maeneo mengine yote katika nchi yetu.
Waarabu wapo maeneo hayo ya Sikonge na Tutuo ila waarabu wanatabia ya kuoana wenyewe mtoto baba mkubwa na mtoto wa baba mdogo mtoto wa mama mdogo na mtoto mama mkubwa
Lina maana gani??.Ni jina la asili