Niulize chochote kuhusu Wilaya ya Sikonge Tabora

Karibu tutuo ,mji wa Waha
 
Malazi zipo hotel 2 na guests za kutosha kwa upande wa chakula wanyamwezi chakula chao kikuu ni ugali mzunguko wa umeanza kuwa mzuri baada ya barabara ya kuelekea mkoa wa Katavi kupitika kwa misimu yot
Vipi Maisha kwa ujumla?

Ikiwemo Malazi, Chakula, mzunguko wa Pesa, Biashara, Ardhi nk
 
Nasikia warabu koko ni wengi sana huko.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Basi siendi tena huko, kama kuna waarab wengi kihivyo basi tunategemea misukule iko mingi sana kwenye majumba ya watu. Sielewi kuna sayansi gani kati ya waarab na misukule. Sikonge, samahani siji kwenu kuwatembelea hata iweje.
 
Asali nyingi lkn ubora wake unaharibiwa na tumbaku
 
Wakaazi wake ni masikini wa kutupwa
Mikoa wanayokaa wasukuma na wanyamwezi karibia maeneo yote bado ni maskini sana. Inatakiwa Rais mwingine ajaye kuanzia 2025-2035 awe type ya JPM ndiyo waweze kutoka. Ndiyo maana mimi kwa sasa hivi "ninayempigia debe" kwa Mungu ni Majaliwa. 2025 tukienda na Majaliwa anaweza kuwatoa hapo walipo wakatoka milele, na pia watanzania wengine walioko kwenye maeneo mengine popote pale ambayo bado yako kwenye hali ya umaskini unaofanana na huo!
 
Kule Migumbu kona nne, nikiweka biashara inalipa?
 
Wachawi siku hizi bado wapo wengi kama miaka ya 2015?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…