Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili Ni moja ya eneo hatari Sana kuishi.
Kuna uchawi na imani za kushirikiana kupita kiasi ....
Wazawa wengi wameikimbia sikonge....
Ni kawaida Sana watu kuuwawa kushirikiana
Hakuna MAENDELEO
Hata ukivaa nguo mpya au kupita wazee bila kuwasalimia unapata matatizo
Tuanze na hayo
Cc. Mahandow
Vyumba vitatu au vinne hasa kwa masterVyumba vingapi?
Hasa chabutwa ndio lilikuwa chimbo la uchawi, mpaka sasa kunavielement hivyo, kata haiendelei kabisaHili Ni moja ya eneo hatari Sana kuishi.
Kuna uchawi na imani za kushirikiana kupita kiasi ....
Wazawa wengi wameikimbia sikonge....
Ni kawaida Sana watu kuuwawa kushirikiana
Hakuna MAENDELEO
Hata ukivaa nguo mpya au kupita wazee bila kuwasalimia unapata matatizo
Tuanze na hayo
Cc. Mahandow
Niko wilaya ya Sikonge tangu mwaka 2014, kwa kazi yangu nimezunguka kata nyingi lakin chabutwa ndio lilikuwa chimbo la wachawi mamafia, mwaka jana kuna mama wamemchinja kwa uchawi, kuna familia kila mwaka wazika ndugu kwa uchawi, hadi watoto wadogo wa shule unaambiwa huyo nomaWe umetoka lini huko
Kule Kuna vizika wazima.....Niko wilaya ya Sikonge tangu mwaka 2014, kwa kazi yangu nimezunguka kata nyingi lakin chabutwa ndio lilikuwa chimbo la wachawi mamafia, mwaka jana kuna mama wamemchinja kwa uchawi, kuna familia kila mwaka wazika ndugu kwa uchawi, hadi watoto wadogo wa shule unaambiwa huyo noma
Niko wilaya ya Sikonge tangu mwaka 2014, kwa kazi yangu nimezunguka kata nyingi lakin chabutwa ndio lilikuwa chimbo la wachawi mamafia, mwaka jana kuna mama wamemchinja kwa uchawi, kuna familia kila mwaka wazika ndugu kwa uchawi, hadi watoto wadogo wa shule unaambiwa huyo noma
Kwani mm nazuia watu wasiende wenyew waende tu....Acha kutisha watu wewe ina maana wafanyakazi wote wa hal nashauri ni wenyeji wageni hakuna
Naamini JPM atawarekebisha wa-Tanzania wote wenye tabia hii, ukiachilia mbalii wasukuma. Halafu yule atakayemfuatia ndiyo atawabadilisha kabisa na kuwagueza kabisa mienendo yao, waelekee kwenye maendeleo perceWasukuma hawana umaskini wa kipato,
Sema ni watu wasiojali sana juu ya makazi bora.
Mkuu hayo maneno yako sio ya kweli kabisa ss kwa taarifa yako sikonge inajengwa na wageni na maendeleo ni makubwa sana watu wanaokimbia ni wa kutoka wapi?Kwani mm nazuia watu wasiende wenyew waende tu....
wakajionee WENYEWE....
Kule Kuna mikasa mingi Sana na mabalaa.....
MAENDELEO hafifu na uduni wa maisha umetamalaki.......
Ushirikina Ni mwingi mno kule Kuna maeneo ukianzisha kujenga nyumba nzuri au ka ghorofa unapotezwa yaan unauwawa kichawi....
Sikonge Ni balaa Achanaa nao kabisa....
Watu wengi tu wameikimbia sikonge na hawataki kupasikia KWA sababu ya ushirikina....
Unaponiquote mimi jitahidi kutoweka hilo jina la huyo sadist.Naamini JPM atawarekebisha wa-Tanzania wote wenye tabia hii, ukiachilia mbalii wasukuma. Halafu yule atakayemfuatia ndiyo atawabadilisha kabisa na kuwagueza kabisa mienendo yao, waelekee kwenye maendeleo perce
Ni kweli, una akili sana!Unaponiquote mimi jitahidi kutoweka hilo jina la huyo sadist.
Atabadilisha nini wakati kila uchao mafukara wanaongezeka nchini ?
Kwani mm nazuia watu wasiende wenyew waende tu....
wakajionee WENYEWE....
Kule Kuna mikasa mingi Sana na mabalaa.....
MAENDELEO hafifu na uduni wa maisha umetamalaki.......
Ushirikina Ni mwingi mno kule Kuna maeneo ukianzisha kujenga nyumba nzuri au ka ghorofa unapotezwa yaan unauwawa kichawi....
Sikonge Ni balaa Achanaa nao kabisa....
Watu wengi tu wameikimbia sikonge na hawataki kupasikia KWA sababu ya ushirikina....
Yaani katelekeza familia kaenda kula bata baada ya pesa kwisha Mungu hakutaka hata arudi nyumbani kusumbua wale alowatelekeza, akaamua amalizane nae hukohuko alikokua anajivinjari! Mungu mkali jamani!nakuunga mkono bro nina shemeji yangu ali staafu alivyopata pesa zake tu akamuacha dada yangu na watoto akaenda kutanua mbali sana sipataji.Hela zilivoisha akafariki kwa msongo akiwa guest house ndo maana nina msongo sana na hawa watu jamaa shem kaniachia mzigo mkubwa mno wa kutunza wajomba