Niulize chochote kuhusu Wilaya ya Sikonge Tabora

Hayo mambo inanategemea kama na wewe ni mshirikina lazima utayaona kama huna tabia huwa hayana nafasi.

Kusailimia ni utamaduni uliyojengeka katika maeneo kwa kweli mnyamwezi ukipita bila kusamilia anaona ni kitu cha ajabu siyo kwamba usiposalia unarogwa hapana.
Hili Ni moja ya eneo hatari Sana kuishi.
Kuna uchawi na imani za kushirikiana kupita kiasi ....

Wazawa wengi wameikimbia sikonge....

Ni kawaida Sana watu kuuwawa kushirikiana
Hakuna MAENDELEO
Hata ukivaa nguo mpya au kupita wazee bila kuwasalimia unapata matatizo
Tuanze na hayo

Cc. Mahandow
 
Hasa chabutwa ndio lilikuwa chimbo la uchawi, mpaka sasa kunavielement hivyo, kata haiendelei kabisa
 
We umetoka lini huko
Niko wilaya ya Sikonge tangu mwaka 2014, kwa kazi yangu nimezunguka kata nyingi lakin chabutwa ndio lilikuwa chimbo la wachawi mamafia, mwaka jana kuna mama wamemchinja kwa uchawi, kuna familia kila mwaka wazika ndugu kwa uchawi, hadi watoto wadogo wa shule unaambiwa huyo noma
 
Kule Kuna vizika wazima.....
Yaan
Sikonge Ni hatari mno duu wanao ijua watakuja kusimulia.....
Sio pa kwenda kule....
 
Hapo mimi ndiyo nilipozaliwa hata huyo aliyeuawawa namfahamu ila haya matukio yanatokea sehemu nyingi kwa imani za kiswahili.

Kumbe upo toka juzi tuu Chabutwa law sasa pana gorofa
Niko wilaya ya Sikonge tangu mwaka 2014, kwa kazi yangu nimezunguka kata nyingi lakin chabutwa ndio lilikuwa chimbo la wachawi mamafia, mwaka jana kuna mama wamemchinja kwa uchawi, kuna familia kila mwaka wazika ndugu kwa uchawi, hadi watoto wadogo wa shule unaambiwa huyo noma
 
Acha kutisha watu wewe ina maana wafanyakazi wote wa hal nashauri ni wenyeji wageni hakuna
Kule Kuna vizika wazima.....
Yaan
Sikonge Ni hatari mno duu wanao ijua watakuja kusimulia.....
Sio pa kwenda kule....
 
Acha kutisha watu wewe ina maana wafanyakazi wote wa hal nashauri ni wenyeji wageni hakuna
Kwani mm nazuia watu wasiende wenyew waende tu....
wakajionee WENYEWE....

Kule Kuna mikasa mingi Sana na mabalaa.....

MAENDELEO hafifu na uduni wa maisha umetamalaki.......

Ushirikina Ni mwingi mno kule Kuna maeneo ukianzisha kujenga nyumba nzuri au ka ghorofa unapotezwa yaan unauwawa kichawi....

Sikonge Ni balaa Achanaa nao kabisa....
Watu wengi tu wameikimbia sikonge na hawataki kupasikia KWA sababu ya ushirikina....
 
Wasukuma hawana umaskini wa kipato,
Sema ni watu wasiojali sana juu ya makazi bora.
Naamini JPM atawarekebisha wa-Tanzania wote wenye tabia hii, ukiachilia mbalii wasukuma. Halafu yule atakayemfuatia ndiyo atawabadilisha kabisa na kuwagueza kabisa mienendo yao, waelekee kwenye maendeleo perce
 
Kwani mm nazuia watu wasiende wenyew waende tu....
wakajionee WENYEWE....

Kule Kuna mikasa mingi Sana na mabalaa.....

MAENDELEO hafifu na uduni wa maisha umetamalaki.......

Ushirikina Ni mwingi mno kule Kuna maeneo ukianzisha kujenga nyumba nzuri au ka ghorofa unapotezwa yaan unauwawa kichawi....

Sikonge Ni balaa Achanaa nao kabisa....
Watu wengi tu wameikimbia sikonge na hawataki kupasikia KWA sababu ya ushirikina....
Mkuu hayo maneno yako sio ya kweli kabisa ss kwa taarifa yako sikonge inajengwa na wageni na maendeleo ni makubwa sana watu wanaokimbia ni wa kutoka wapi?
 
Unajuwa maana ya jina lako?
Kuyage kwiwe nsato.
 
Naamini JPM atawarekebisha wa-Tanzania wote wenye tabia hii, ukiachilia mbalii wasukuma. Halafu yule atakayemfuatia ndiyo atawabadilisha kabisa na kuwagueza kabisa mienendo yao, waelekee kwenye maendeleo perce
Unaponiquote mimi jitahidi kutoweka hilo jina la huyo sadist.

Atabadilisha nini wakati kila uchao mafukara wanaongezeka nchini ?
 
Unajua unapokwenda eneo au mahala popote ikiwa ni mtu msikiti au kanisa utajua yalipo ukiwa mtu wa vinywaji utaelewa mahala bar mahala zilipo ukiwa mtu wa waganga au wachawi utaelewa mahala walipo
Kwani mm nazuia watu wasiende wenyew waende tu....
wakajionee WENYEWE....

Kule Kuna mikasa mingi Sana na mabalaa.....

MAENDELEO hafifu na uduni wa maisha umetamalaki.......

Ushirikina Ni mwingi mno kule Kuna maeneo ukianzisha kujenga nyumba nzuri au ka ghorofa unapotezwa yaan unauwawa kichawi....

Sikonge Ni balaa Achanaa nao kabisa....
Watu wengi tu wameikimbia sikonge na hawataki kupasikia KWA sababu ya ushirikina....
 
Huyu atakuwa na matatizo yako pengine ni mganga wa kienyeji.
Mkuu hayo maneno yako sio ya kweli kabisa ss kwa taarifa yako sikonge inajengwa na wageni na maendeleo ni makubwa sana watu wanaokimbia ni wa kutoka wapi?
 
nakuunga mkono bro nina shemeji yangu ali staafu alivyopata pesa zake tu akamuacha dada yangu na watoto akaenda kutanua mbali sana sipataji.Hela zilivoisha akafariki kwa msongo akiwa guest house ndo maana nina msongo sana na hawa watu jamaa shem kaniachia mzigo mkubwa mno wa kutunza wajomba
Yaani katelekeza familia kaenda kula bata baada ya pesa kwisha Mungu hakutaka hata arudi nyumbani kusumbua wale alowatelekeza, akaamua amalizane nae hukohuko alikokua anajivinjari! Mungu mkali jamani!
 
Back
Top Bottom