Niulize chochote kuusu lolote linalokutatiza katika mahusiana

Niulize chochote kuusu lolote linalokutatiza katika mahusiana

Mvidunda

Senior Member
Joined
May 30, 2020
Posts
121
Reaction score
171
Utangulizi unajieleza. Ikiwa una jambo lolote linakutatiza kuhusu mahusiano ya aina yoyote na unahitaji ushauri au utatuzi niulize nitakusaidia..
 
Mahusiano hayana mwalimu
Hivi kwann MKUU?
Screenshot_2020-05-30-21-06-01.jpeg
 
kwann wanawake hawawezi kutongoza wanaume? at the same time tukiwatongoza wanaringa ringa wakati wanahitaji ??
 
Wewe kuna uhusiano wowote unakutatiza?
Kama biniadamu ninayezungukwa na wengine (biniadamu), naam kuna wakati huwa ninaingia katika mtanziko wa mahusiano. Kwa kuwa ninazo njia mujarabu wa kutatua mitanziko hiyo huwa linakuwa jambo la muda mfupi na huisha/tatuliwa.
 
Mwanamke msumbufu dawa yake n nn
Anasumbua kwa kipi katika lipi? Umewahi pia kutafakari juu yako kuwa wewe sio chanzo cha usumbufu wake? Karibisha mazungumzo ya kina bila panic. Muulize na ukipata majibu mwelekeze kwa umakini na utulivu.
 
eti kula 0713 ni dhambi
Neno dhambi ni gumu kulitolea ufafanuzi. Dhambi kwa mujibu wa mafundisho ya dini gani?! Kama imani yako inakufundisha ni dhambi na itabaki kuwa hivyo. Vinginevyo itakuwa kinyume chake.
 
kwann wanawake hawawezi kutongoza wanaume? at the same time tukiwatongoza wanaringa ringa wakati wanahitaji ??
Mila na desturi za kiafrika ndio kikwazo. Wengi wao wamekaririshwa kuwa kuanza ni uhuni/umalaya. Kinyume chake wanaingia kwenye mahusiano na watu wasio vutiwa nao kwa kuwa wale ambao nafsi zao ziliwavutia na kuwapenda walisubiri waanze na hawakuanza. Wazungu wapo huru katika hili.
 
Back
Top Bottom