Niulize chochote kuusu lolote linalokutatiza katika mahusiana

Hahahaaa. Ni kweli. Mwanamke jinsi ambavyo umemzoesha ndivyo anavyodhani itakuwa siku zote. Ukiacha au ukapunguza atahisi kutoridhika /ridhishwa.
 
Kwa kiasi kikubwa nimefanikiwa kuimarisha uhusiano wangu na wengine. Hii ndiyo sababu nimejitoa kusaidia wengine.
Kumbe unazungumzia mahusiano na wengine, nikajua unataka kujifanya unayajua mapenzi. Nisamehe kwa kuwaza kinyume, mahusiano na jamii wengi wanayamudu mkuu sio wewe tu.
 
Mkuu kama dem nikikua namoendaa na yy nado akanipenda plus..Nikamwacha kwa dharau akawa anatoka na rFk yang kwa leng la kunikomoa na kwel akanikomoa nikaanza kumwon mzur na kumwonea wivu.. Nikajion bado namhitaji na nampend na nataman kurudian nae ila nipi njia panda moyo unamtak ila ye hatak mazoea nifanyaje mkuu...
 
Utangulizi unajieleza. Ikiwa una jambo lolote linakutatiza kuhusu mahusiano ya aina yoyote na unahitaji ushauri au utatuzi niulize nitakusaidia..
Boss unawahi wapi? Mahusiana ndo mdudu gani.
 
Mkuu kama dem nikikua namoendaa na yy nado akanipenda plus..Nikamwacha kwa dharau akawa anatoka na rFk yang kwa leng la kunikomoa na kwel akanikomoa nikaanza kumwon mzur na kumwonea wivu.. Nikajion bado namhitaji na nampend na nataman kurudian nae ila nipi njia panda moyo unamtak ila ye hatak mazoea nifanyaje mkuu...
Mkuu Fazz hakuna jambo gumu kama kuulazimisha moyo. Ni hatari pia. Huyo mwanamke kifupi hana tena mpango na wewe. Kutoka na rafiki yako ilikuwa ni ishara tosha kuonesha jinsi alivyo mkatili na mwenye maamuzi ya kisasi. Mbinu yoyote utakayaoitumia hata kama utafanikiwa kumrejesha uwe makini mno kwa kesho ya mahusiano yenu. Ni vema ukaangazia pengine/kwa mwingine.
 
Nashukuru mkuu...Ntajitahid nimdelete
 
Back
Top Bottom