Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Katika kupambana kuna bahati mbaya. Hili unalionaje?Kuwepo milele coz maisha ni kupambana,na kama utapambana vizuri utafurahi kuwepo duniani,na kama hupambani ndo wazo la kutokuwepo duniani,linakuja,ndo wazo la kusema maisha hayana maana likuja kichwani