1,Wanawake umri huwa unawatupa mapema,coz kuna umri mwanamke anaweza asioele ila wanaume hana umri wa kuoa1. Kwa nini wadada wengi wanaitaji kuolewa kuliko wanaume wanavyohitaji kuoa?
2. Effects zipi zinaweza kumpata mwanamke kama hata olewa anapofikisha umri wa kuolewa
3. Ukiondoa sex (**** ) mwanamke anamchango gani mwingine kwa mwanaume ili amuoe?
"Mimi nina miliki pesa nyingi sana" kwa kigiriki unasemaje?Kiswahili na Kigiriki
Kwa kipindi hicho Nyerere na Karume waliona mabepari na warabu akina Mohammed Shamte walkuwa tishio baada ya mapinduzi ndo maana wakaungana shuta ili kulinda mapinduzi
Nipo tayar
Chai viazi
Je wewe ni bikra? Kwa kigiriki unaulizaje?Kiswahili na Kigiriki
Handsome
Mcheshi
Mkarim
Mwenyehuruma
Anayejua maisha
Asiyependa starehe ya ngono na pombe
Awe tayari kupima HIV
Pesa kila mtu anatafuta
Waiting for your response in qn.31,Wanawake umri huwa unawatupa mapema,coz kuna umri mwanamke anaweza asioele ila wanaume hana umri wa kuoa
2,Anaathirika kiasaikolojia kwa sababu anakuwa fikra za kuwa na familia yake,(mama ni mlezi wa familia) anakuwa anawaza angekuwa na kwake awe na watoto na mume
3,
Wazungu wametaka tudhanie kuwa HIV/AIDS ndio ugonjwa hatari sana, ili hali kuna magonjwa mengi hatari zaidi kuliko HIV/AIDS.Mbona magonjwa mengine hujayataja kama Circle cell, Rh, Homa ya Ini nk umekimbilia HIV pekee kwann?