Niulize chochote nitakujibu

Niulize chochote nitakujibu

1. Kwa nini wadada wengi wanaitaji kuolewa kuliko wanaume wanavyohitaji kuoa?

2. Effects zipi zinaweza kumpata mwanamke kama hata olewa anapofikisha umri wa kuolewa

3. Ukiondoa sex (**** ) mwanamke anamchango gani mwingine kwa mwanaume ili amuoe?
1,Wanawake umri huwa unawatupa mapema,coz kuna umri mwanamke anaweza asioele ila wanaume hana umri wa kuoa

2,Anaathirika kiasaikolojia kwa sababu anakuwa fikra za kuwa na familia yake,(mama ni mlezi wa familia) anakuwa anawaza angekuwa na kwake awe na watoto na mume

3,Ushauri mzuri wa kimaendeleo na kumkanya dhidi ya mienendo mibaya(mwanamke anapenda wa kwake peke ake atulie ndo maana kama mwanamke mjasiriamali akipata mwanaume aliyetulia anatoa mchango wa kifedha kwa familia yake kwa asilimia 100 ndo maana watu wanaofarijika pale mwanaume anapokuwa na mali ni mwanamke kuliko watoto wala baba
 
Hayo majibu ya shuleni, hujui kuwa Mabepari ndio walioinjinia muungano kwa hofu kuwa Zanzibar itamezwa na Ukomunist?
Kwa kipindi hicho Nyerere na Karume waliona mabepari na warabu akina Mohammed Shamte walkuwa tishio baada ya mapinduzi ndo maana wakaungana shuta ili kulinda mapinduzi
 
Mbona magonjwa mengine hujayataja kama Circle cell, Rh, Homa ya Ini nk umekimbilia HIV pekee kwann?
Handsome

Mcheshi

Mkarim

Mwenyehuruma

Anayejua maisha

Asiyependa starehe ya ngono na pombe

Awe tayari kupima HIV

Pesa kila mtu anatafuta
 
1,Wanawake umri huwa unawatupa mapema,coz kuna umri mwanamke anaweza asioele ila wanaume hana umri wa kuoa

2,Anaathirika kiasaikolojia kwa sababu anakuwa fikra za kuwa na familia yake,(mama ni mlezi wa familia) anakuwa anawaza angekuwa na kwake awe na watoto na mume

3,
Waiting for your response in qn.3
 
Hayo majibu ya shuleni, hujui kuwa Mabepari ndio walioinjinia muungano kwa hofu kuwa Zanzibar itamezwa na Ukomunist?
Mwaka 1961 Tanganyika ilikuwa haijatangaza kuwa yupo upande gani kati ya Ubepari na Ukominist
 
Mbona magonjwa mengine hujayataja kama Circle cell, Rh, Homa ya Ini nk umekimbilia HIV pekee kwann?
Wazungu wametaka tudhanie kuwa HIV/AIDS ndio ugonjwa hatari sana, ili hali kuna magonjwa mengi hatari zaidi kuliko HIV/AIDS.
 
Mbona magonjwa mengine hujayataja kama Circle cell, Rh, Homa ya Ini nk umekimbilia HIV pekee kwann?
Unapoingia kwenye mahusino mambo ya magonjwa ya kurith huwa yanachukua nafasi ndogo sana
 
Back
Top Bottom