Leo nimefika Hospitali ya Mount Meru kumuona shangazi yangu haki nimechoka sana.
Kwa sasa Pale Hospitali ya Mount Meru Arusha, ukilazwa Daktari anakuandikia dawa ukanunue umletee ndio amtibu mgonjwa, utaratibu wa zamani ulikuwa hivi hospitali ina dawa, daktari anakuja na dawa anamtibu mgonjwa mnasubiri kuandikiwa bili mkalipie.
Kwa sasa hivi Dactari akikuandikia dawa usipoenda kununua mgonjwa wako anabaki kama alivyo hadi hapo utakapoenda kuleta dawa pharmacy huku ukiwa umelipia kesh,
Wasio na uwezo wanapata tabu sana, pesa za kutegemea kuwa utapata badae basi na mgonjwa hali inakuwa mbaya zaidi. wagonjwa wanafia ndani, dactaria kiulizwa anasema niliwaandikia dawa wakanunue hawajaleta sasa nafanyaje, vifo vinaongezeka utasikia pesa zimeenda kutafutwa hazijapatikana mgonjwa kazidiwa na amefariki dunia. MSD imekuwa wakala wa kuuza dawa kwa wagonjwa kwa cash si mkopo au pesa italetwa badae NO
Watanzania tumefika mbali hatuna tena msaada.
Huna kesh muda huo ili ununue dawa na utibiwe unafia hapo. Kwishne.