nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 655
- 526
- Thread starter
-
- #181
Nasikia wanasema hivyo mitaani,ila dawa sahihi ni kula aina ya vyakula vinavyoweza kurudisha uimara wa misuli kama ifuatavyo...kuna dawa yeyote ya kurudisha uimara wa uume legelege uliosababishwa na punyeto?
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua kitunguu swaumu,tangawizi,asali,aloevera na karanga
Jinsi ya kufanya
1.chukua kitunguu swaumu punje 2-4
2tangawizi mfano wa kidole gumba
3.aloevera mfano wa urefu wa kidole cha mwisho
4.karanga zikaange zifikie kiwango cha kitoa maganda tu zisiive kabisa
5.saga vyote kwenye blender au twanga kwenye kinu weka na maji kikombe kimoja,kisha weka asali vijiko viwili kunywa huo mchanganyiko mara mbili kwa siku tano,asubuhi na jioni,karanga zisijae mkono ziwe kama unachota maji na mkono hivi
by emma mjasiriamali