nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 655
- 526
- Thread starter
-
- #221
Nakuelewa mkuu hata hivyo nashukuru hata hicho ulichosemaTatizo una google, we need to hear what you know.... Umejitishwa mzigo usio na uwezo kuubeba...... The good thing umethubutu but lete mawazo yako kwenye kila swali
Sawa kabisa, na ndiyo nataka atupe ya kwake, hakuna kitu kizuri na kilicho bora kama kinachotoka ndani ya wazo lako.... Ya wengine yanakupa mwanagaza tu,Ushauri mzuri. Asifikiri tunadhani anajua kila kitu. Tunapenda tu tubadilishana mawazo yetu original.
Unajua mwingine hana hata hiyo idea,kingine kwakuwa umeniuliza ukuwa na jibu ndio maana umenicritisize mkuu,ila hakuna mteremko kwa kila kitu challenge zipo ndio kama hizi pia,nashukuru na umeniambia vizuriSawa kabisa, na ndiyo nataka atupe ya kwake, hakuna kitu kizuri na kilicho bora kama kinachotoka ndani ya wazo lako.... Ya wengine yanakupa mwanagaza tu,
Ndio maana hata topic ina maelekezo nyanja za kuuliza maswali,mimi nakupa idea...na tunaweza kudiscussUshauri mzuri. Asifikiri tunadhani anajua kila kitu. Tunapenda tu tubadilishana mawazo yetu original.
Nashukuru kwa kushukuru tujenge mwazo yetu kuliko yale yaliyo kwenye Wikipedia au GoogleNakuelewa mkuu hata hivyo nashukuru hata hicho ulichosema
by emma mjasiriamali
Mkuu kuhusu wachungaji kuwatibu watu magonjwa hayo kusema ukweli hakuna kitu kama hicho kwa hali ya kawaida ni mazingaombwe tu na viini macho vinafanyika,wachungaji wote wanaotangaza kuombea kwa namna hiyo na utajiri huwa sio wakweli...pia kwa mtazamo wangu jambo hilo sio la kweli maana wale waliotangaza kupona huwa hawakai muda mrefu wanaanza kuumwa tena...wanakuwa tu na imani kuwa wamepona lakini sababu inakuwa ni wamejiponya wenyewe kwa kuamini na wanapoacha kuamini wanaanza kuumwa tena.Nashukuru kwa kushukuru tujenge mwazo yetu kuliko yale yaliyo kwenye Wikipedia au Google
Ngoja niulize swali la kiimani, kumekuwa na utaratibu wa manabii hata hapa Tanzania wapo wakitibu watu wenye kisukari/HIV/cancer nk kwa kutumia maombi na watu wanatoa ushuhuda wanapona bila hata kutumia medication au doctors consultations hii imeakaaje na je watu wanaponaje? Ni nini kipo behind our knowledge.....
Ila pia maandiko na historia inaeleza kuwa YESU MWANA WA MUNGU aliwaponya watu kwa kuwagusa na kuwaombea na watu walipona, vipofu walipata kuona tena, viziwi walipata kusikia tena nk, wewe hili huliamini au hulijui?Mkuu kuhusu wachungaji kuwatibu watu magonjwa hayo kusema ukweli hakuna kitu kama hicho kwa hali ya kawaida ni mazingaombwe tu na viini macho vinafanyika,wachungaji wote wanaotangaza kuombea kwa namna hiyo na utajiri huwa sio wakweli...pia kwa mtazamo wangu jambo hilo sio la kweli maana wale waliotangaza kupona huwa hawakai muda mrefu wanaanza kuumwa tena...wanakuwa tu na imani kuwa wamepona lakini sababu inakuwa ni wamejiponya wenyewe kwa kuamini na wanapoacha kuamini wanaanza kuumwa tena.
by emma mjasiriamali
Huyo unayemzungumzia hakuwa binadamu,ila alikuja kama mfano wa binadamu....tunaamini ni utatu mtakatifu wa Mungu,u'r talking about God himselfIla pia maandiko na historia inaeleza kuwa YESU MWANA WA MUNGU aliwaponya watu kwa kuwagusa na kuwaombea na watu walipona, vipofu walipata kuona tena, viziwi walipata kusikia tena nk, wewe hili huliamini au hulijui?
Nitakutajia idadi ya makundi yao...ila sio total number kwa ujumla wa idadi ya mmoja mmoja....maana hata hapa tunapoongea wanaongezeka...ila kwa maana ya makundi yao wapo 59,811.....
hahaha ni sahihi ila haina uhakikaNi sahihi ila haina uhakika luqnation tz
by emma mjasiriamali
Kila kitu kina sehemu zake...biashara hiyo haiendani na nyama kiongozi!Kwanini kondom haiuzwi buchani
acha uongo
Itakuwepo...soon itatangazwa...kati ya mwezi wa huu mpaka wa tisa
Alikuwa na miaka 22