nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 655
- 526
- Thread starter
-
- #241
Ni kweli mimi ni mwana adamu,na asili ya neno hilo ni Qur'aniNikweri ww ni mwanadam ?asiri ya neno hilo ni biblia au Qur'ani(binadam)
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu!!hapa majibu nisawa umebeba gunia LA misumali alafu kichwani unapala.Mwanangu biashara bila mtaji angalau kidogo,ila kama hakuna nipm nikushauri kwa kuzingatia ramani zako
by emma mjasiriamali
Hapana mimi sio mr google ila najua baadhi ya vitu,lakini pia nikiulizwa natafuta kujua hicho kitu unakuta naongeza kitu ambacho sikuwa najuaNilipoona kuchwa cha habari hapo juu nikajiuliza kwani wewe ndio mr Google [emoji368]?
Je nikweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba ujibu swali langu mkuuHapana mimi sio mr google ila najua baadhi ya vitu,lakini pia nikiulizwa natafuta kujua hicho kitu unakuta naongeza kitu ambacho sikuwa najua
by emma mjasiriamali
Wasukuma sio wote wabishi....na naturally wapo hivyo huwezi kuwatenganisha na huo ubishi...ndio haiba yaoKwanini wasukuma ni wabishi sana
Kwanini kinaturally wamekuwa hivo na kwanini iwe haiba yaoWasukuma sio wote wabishi....na naturally wapo hivyo huwezi kuwatenganisha na huo ubishi...ndio haiba yao
by emma mjasiriamali
Mtu mbishi saaana wengi wanaitwa unsocialized....ila maana yake lakini mtu mbishi anakuwa hajiamini,pia anapenda kuonekana kwa nguvu kwahiyo kinachotokea hata jambo ambalo sio la kubishia atabishia aonekane anaongea na yeyeKwanini kinaturally wamekuwa hivo na kwanini iwe haiba yao
kwanini Euro ipo juu ya dollar kithamani.. na kipi kinafanya kushuka na kupanda kwa fedha yoyote hapa duniani..?Kama ambavyo nimeandika kwenye kichwa cha topic,nakaribisha maswali yeyote kuhusu chochote,nadhani naweza kuwa sehemu ya matatiZo au challenge zako,....furaha na amani yako.trust me i may be of big help to u
Nini faida ya maisha duniani..?Kama ambavyo nimeandika kwenye kichwa cha topic,nakaribisha maswali yeyote kuhusu chochote,nadhani naweza kuwa sehemu ya matatiZo au challenge zako,....furaha na amani yako.trust me i may be of big help to u
Mkuu kwa hili swali umeyumba sana.Mtu mbishi saaana wengi wanaitwa unsocialized....ila maana yake lakini mtu mbishi anakuwa hajiamini,pia anapenda kuonekana kwa nguvu kwahiyo kinachotokea hata jambo ambalo sio la kubishia atabishia aonekane anaongea na yeye
by emma mjasiriamali
Thamani ya fedha inachangiwa sana na uchumi wa nchi husika....lakini upande wa euro ina thamani kuliko dollar,ipo hivi KENZY uchumi wa nchi za ulaya upo stable sana....ndio maana wamemaintain hilo jambo...lakini ukiangalia kitokana na uingereza kujitoa euro imeshuka thamani uchumi wa nchi zao umeathirikakwanini Euro ipo juu ya dollar kithamani.. na kipi kinafanya kushuka na kupanda kwa fedha yoyote hapa duniani..?
Maisha yanafaida tu kama unayaishi responsibly...ila vinginevyo maisha hayana faida....jibu:maisha yana faida kwakuwa tunakutana na changamoto na kujua tusivyovijuaNini faida ya maisha duniani..?
Ndio maana nilielezea kwenye colum nyingine....akili ni uwezo wa kuchanganua mambo mbalimbali kwa usahihi au ustadi mkubwaMkuu kwa hili swali umeyumba sana.
Akili ni nini?
Ikiwa Afrika tumeweza kupata uhuru uliopiganiwa na mababu zetu mpk sasa lkn bado tumeendelea kuwa maskini wa kudharauliwa,wafitini wa mali zetu wenyewe na bado tumeruhusu mikono ya wafedhuri kuchukua mali zetu na hata kuibuka mabaa ya njaa,umaskini,vita na magonjwa! Je,kwa hali hiyo tuliyonayo unafikiri tunastahili kuwa na uhuru ama upokwe tena..? na kwa hali hiyo unafikiri tupo huru kwelikweli ama ni ufedhuri..?Kama ambavyo nimeandika kwenye kichwa cha topic,nakaribisha maswali yeyote kuhusu chochote,nadhani naweza kuwa sehemu ya matatiZo au challenge zako,....furaha na amani yako.trust me i may be of big help to u
Gud...Ndio maana nilielezea kwenye colum nyingine....akili ni uwezo wa kuchanganua mambo mbalimbali kwa usahihi au ustadi mkubwa
by emma mjasiriamali