nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 655
- 526
- Thread starter
-
- #21
Ukiniambia umri wako nitajua...
Diamond anafanya juhudi tuzaziona...njia yake inaonekana toka alikoanzia....lakini pia kuna kitu kinaitwa being at the right place at the right time...na hilo yeye halijui anaona kama juhudi zake.Mafanikio yake yako katika nini kama huamini ni kwenye ndumba
That is personal hatupaswi kusema mbele za watu
Self employment means you are working on your own,build everthing depending on your vision and missionNipe tofauti kati ya self employed & entrepreneur kwa kiingereza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisema hivo unaamnisha ndio time yake kuwa the bestDiamond anafanya juhudi tuzaziona...njia yake inaonekana toka alikoanzia....lakini pia kuna kitu kinaitwa being at the right place at the right time...na hilo yeye halijui anaona kama juhudi zake.
by emma mjasiriamali
Unafikili ni sababu zipi zinapelekea ww kujua kila kitu kuliko watu wengine, unahisi una nini ambacho mimi sina?That is personal hatupaswi kusema mbele za watu
by emma mjasiriamali
Because the earth has plants,and Plants are green because they have chlorophyll in their leaves, which they use to absorb sunlight and create their own energy.Kwa mini uoto wa USO wa dunia ni kijani Nina maana kwa mini nyasi majani ni vya kijana kwa mini visiwe njano ,vyekundu au vyeusi
Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly...nothing last foreverUkisema hivo unaamnisha ndio time yake kuwa the best
Hata wewe ukiwa so anxious unaweza,ila hujaamua...umeamua kuzingatia yanayokuhusu tu...ndio sababu kubwa,hukutaka kujua ya wengineUnafikili ni sababu zipi zinapelekea ww kujua kila kitu kuliko watu wengine, unahisi una nini ambacho mimi sina?
Au pia ni personal?
Mmmh! Perhaps,, but for my own mind I think these two words are resemble but thanks for your vision.Self employment means you are working on your own,build everthing depending on your vision and mission
But beind enterprenuer means you are doing everthing for you,u may also employ people to work for u to fullfill your mission
by emma mjasiriamali
That is it sir
Nimekujibu
Self employed can be enterprenuer but a real enteprenuer can never be self employedMmmh! Perhaps,, but for my own mind I think these two words are resemble but thanks for your vision.
Sent using Jamii Forums mobile app
MmmmmhHata wewe ukiwa so anxious unaweza,ila hujaamua...umeamua kuzingatia yanayokuhusu tu...ndio sababu kubwa,hukutaka kujua ya wengine
by emma mjasiriamali