Niulize jambo lolote, kuhusu chochote nitakujibu na utanielewa..

Niulize jambo lolote, kuhusu chochote nitakujibu na utanielewa..

Mafanikio yake yako katika nini kama huamini ni kwenye ndumba
Diamond anafanya juhudi tuzaziona...njia yake inaonekana toka alikoanzia....lakini pia kuna kitu kinaitwa being at the right place at the right time...na hilo yeye halijui anaona kama juhudi zake.

by emma mjasiriamali
 
Nipe tofauti kati ya self employed & entrepreneur kwa kiingereza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Self employment means you are working on your own,build everthing depending on your vision and mission
But beind enterprenuer means you are doing everthing for you,u may also employ people to work for u to fullfill your mission

by emma mjasiriamali
 
Kwa mini uoto wa USO wa dunia ni kijani Nina maana kwa mini nyasi majani ni vya kijana kwa mini visiwe njano ,vyekundu au vyeusi

Sent using Jamii Forums mobile app
Because the earth has plants,and Plants are green because they have chlorophyll in their leaves, which they use to absorb sunlight and create their own energy.

by emma mjasiriamali
 
Mapenzi ya Dhati ni Yapi na Unaweza kuyapimaje? emma mjasiriamali
 
Self employment means you are working on your own,build everthing depending on your vision and mission
But beind enterprenuer means you are doing everthing for you,u may also employ people to work for u to fullfill your mission

by emma mjasiriamali
Mmmh! Perhaps,, but for my own mind I think these two words are resemble but thanks for your vision.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa na kwa nini hiyo miti inakuwa na majani tofauti (needle like leaves na wide leaves) kwa mini isiwe mfumo moja na kwa nini hii miti kuna migumu sana kama mbanga na mingine laini sana kama vile coniferous trees

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom