Niulize jambo lolote, kuhusu chochote nitakujibu na utanielewa..

Naomba kiswahili cha neno logistics...

What is the difference between inter-modal and multimodal transport?
Logistics....ni uwezo wa kuvisimamia au kuviendesha vitu vingi au vikubwa kwa wakati mmoja
Inter-modal means involving two or more different mode of transport as multimodal means the same article.

by emma mjasiriamali
 
Nifanyaje kupata hela

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi kupata hela ni jambo dogo sana ila linahitaji uvumilivu na mipango thabiti....ningejua unachofanya kwasasa ingekuwa rahisi kukutoa hapo ulipo,ila kwakuwa sijui tunaanza upya...
"Naamini kuna kitu unakipenda sana,basi hicho kitu kigeuze kwa namna yeyote kiwe fursa utapata hela huku ukifurahia,changamoto huwa ni mtaji...ila kwa kitu unachokipenda sio lazima uanze na hela nyingi au mali nyingi....sacrifise ur self for a minute to to relax for a day"

by emma mjasiriamali
 
Kuna madhara ya punyeto

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mkuu,maana wakati unapiga punyeto unatumia nguvu kuukaza uume wako ili kufikia mshindo,jambo hilo linasababisha misuli kupunguza uwezo wake wa kusimama kwa muda mrefu kama zamani,pia inakuathiri kisaikolojia ukiendekza...piga punyeto kwa wastani sio ikawa kawaida.

by emma mjasiriamali
 
Naomba kiswahili cha maneno haya;
1. Soft starter
2. Programmable Logic Controller
3. Variable Frequency Driver

Baada ya kuyatafasiri kwa lugha yetu, naomba maelezo machache kwa kila kimoja!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kiswahili cha maneno haya;
1. Soft starter
2. Programmable Logic Controller
3. Variable Frequency Driver

Baada ya kuyatafasiri kwa lugha yetu, naomba maelezo machache kwa kila kimoja!

Sent using Jamii Forums mobile app
1.soft starter-kifaa kinachotumia umeme kazi kubwa ni kuipunguzia mzigo mashine na kucontrol current...hasa hutumika kwenye motor za train za umeme
2.programmable logic controller-ni computer za kidijitali ambazo zimeadaptishwa kufanya utengenezaji wa mbali mbali viwandani,hasa hutumika mahali ambapo vitu heavy vinafanyika...mfano kitengeneza robot nk
3.variable frequency driver-ni aina fulani ya kifaa kinachocontrol mota kwa kuzingatia frequency na voltage....pia hichi kifaa moja ya tabia zake ni kuwa unaweza kuadjust vile unataka speed ya mota iwe

by emma mjasiriamali
 
mkuu naomba uniaidie namna rahisi ya kufungua chakra ya tumboni
Kuifungua chakra ya tumboni lazima kwanza uelewe kuwa kila chakra ipo tied na certain stone,ukivaa hilo jiwe,au ukiliweka kwenye mkoba au kuliweka chini ya mto inasaidia kufungua chakra....hiyo ya tumbo ni ya njano kwa jina la ughaibuni linaitwa solar plexus chakra...hii inaambatana na rangi ya njano,ukifanikiwa kupata germstones za njano kati ya hizi zifuatazo itakusaidia
citrine
amber
sunstone
yellow jasper
golden tiger eye
yellow jade
golden calcite
yellow topaz

by emma mjasiriamali
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watakushambulia wewe😀

Shauri yako
 
Logistics....ni uwezo wa kuvisimamia au kuviendesha vitu vingi au vikubwa kwa wakati mmoja
Inter-modal means involving two or more different mode of transport as multimodal means the same article.

by emma mjasiriamali
Sijaridhika na majibu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…