Nasema nachojua...siwezi kusema uwongo,by the way sina itikadi ya chama chochoteWatakushambulia wewe😀
Shauri yako
Bahati yako imeishia hapo....jaribu kucheza kwa namna nyingine pengine unaeza fanikiwa zaidiKwanini.kila siku perfect 12 napata game 8 tu?
Da killer's
Nimeshindwa kushusha vitu vyote hapa hatutamaliza leo...niambie ambacho unataka kuelewa zaidi nitarudi kwa ajili yako.Sijaridhika na majibu yako
Pamoja KiongoziNasema nachojua...siwezi kusema uwongo,by the way sina itikadi ya chama chochote
by emma mjasiriamali
Tatizo ni imani ambazo tunazo...tunaamini UDOM bado ni chuo kichanga,hakina ukomavu kama UDSM...na kimsingi ni kweli wale wanaoweza hawachezi mbali na jiji,na kwa mtaji huo ndio maana hakiaminiki,kwa maana hata malecture pia wengi wanasafiri wakati udsm wanakaa hapa dar,ratiba wanazifanya vizuri UDSM ambacho kipo machoni mwa wakuu wa nchi ila UDOM imekuwa kama extra tuition...pengine saiv patabadirika maana nchi imegamia dodomaKwanini chuo cha dodoma UDOM watu wengine hawakiamini kama kilivyo udsm
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu si angalau idea ipo...au nimekosea
Uko vizuri kijana ntarudi kwa ajili ya kujibiwa maswali kadhaaMkuu si angalau idea ipo...au nimekosea
by emma mjasiriamali
Unazingua...Nimeshindwa kushusha vitu vyote hapa hatutamaliza leo...niambie ambacho unataka kuelewa zaidi nitarudi kwa ajili yako.
by emma mjasiriamali
Nadhani kwa sababu ya ukubwa wake though can sometime cycle in two...na life span yake ni muda mchache
Karibu sana
Nashindwa kuwa na uhakika maana mipango yetu watanzania huwa haina uhakika sana ndio maana nadhani haziishi kwa maana hata huko kwenyewe majibu yanaanza na hizo nadhani au nahisiMkuu Jib nlichokuulza na usitumie maneno kama " huenda, nadhani au nahisi" sema kitu kilicho na uhakika na utumie undebauched facts.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amekuwa fundi uashi?
Sure can relate to that sir....our goverment is doing that.