Niulize jambo lolote, kuhusu chochote nitakujibu na utanielewa..

Niulize jambo lolote, kuhusu chochote nitakujibu na utanielewa..

Kwanini chuo cha dodoma UDOM watu wengine hawakiamini kama kilivyo udsm

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni imani ambazo tunazo...tunaamini UDOM bado ni chuo kichanga,hakina ukomavu kama UDSM...na kimsingi ni kweli wale wanaoweza hawachezi mbali na jiji,na kwa mtaji huo ndio maana hakiaminiki,kwa maana hata malecture pia wengi wanasafiri wakati udsm wanakaa hapa dar,ratiba wanazifanya vizuri UDSM ambacho kipo machoni mwa wakuu wa nchi ila UDOM imekuwa kama extra tuition...pengine saiv patabadirika maana nchi imegamia dodoma

by emma mjasiriamali
 
Mkuu Jib nlichokuulza na usitumie maneno kama " huenda, nadhani au nahisi" sema kitu kilicho na uhakika na utumie undebauched facts.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashindwa kuwa na uhakika maana mipango yetu watanzania huwa haina uhakika sana ndio maana nadhani haziishi kwa maana hata huko kwenyewe majibu yanaanza na hizo nadhani au nahisi

by emma mjasiriamali
 
Back
Top Bottom