NIULIZE LOLOTE KUHUSU "UJINGA"

NIULIZE LOLOTE KUHUSU "UJINGA"

jiwekuu770

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2015
Posts
2,246
Reaction score
1,645
kama kichwa Kilivo
Niulize swali lolote la kijinga au ujinga
77a7d0171b52c3803b4a53dc4fe34532.jpg
 
Hivi hizi hadithi za kale zilizokuwa zikiwahusu wanyama has a sungura na fisi.

Ni kweli hapo zamani za kale wanyama hawa walikuwa wanaongea na kushirikiana kama wanadamu wafanyavyo?
 
Eti mkuu ni kweli kila mtz atakuwa na noah yake

Embu niambie vp kuhusu ajiri zinatoka lini zile ajira elfu hamsin na mbili

Swali la mwisho nasikia baba mwenye nyumba ni mtu wa dini hama vinyongo na wala hatak shari na mtu ni kweli
 
Hivi hizi hadithi za kale zilizokuwa zikiwahusu wanyama has a sungura na fisi.

Ni kweli hapo zamani za kale wanyama hawa walikuwa wanaongea na kushirikiana kama wanadamu wafanyavyo?
La hasha hadithi zilitumika kuwakilisha tabia za watu fulan katika jamii badala ya kuwataja majina yao!! Ktk kutoa mafunzo husika
 
Eti mkuu ni kweli kila mtz atakuwa na noah yake

Embu niambie vp kuhusu ajiri zinatoka lini zile ajira elfu hamsin na mbili

Swali la mwisho nasikia baba mwenye nyumba ni mtu wa dini hama vinyongo na wala hatak shari na mtu ni kweli
Kila mtz kua Na Noah Yake subir had Wazungu watapofkia teknologia ya kuhamia sayar ya mars ndipo tutafka huko!!... Ila vuta subira
 
La hasha hadithi zilitumika kuwakilisha tabia za watu fulan katika jamii badala ya kuwataja majina yao!! Ktk kutoa mafunzo husika
Sasa kwann sungura hadithi zile zilikuwa zinamfanya mjanja kuliko fisi?

Kwann zama zile hadithi zilikuwa 'uwongo njoo utamu kolea' na zilikuwa zinafurahisha na uongo unauona ukweli na zinasafiri bila kuandikwa na kuhadithiwa maeneo mengine kwa ladha ile ile?

Tofauti na sasa hadithi nyingi ni "porojo njoo Hamna kitu' na wala hadithi hizi hazisafiri na watoto kama wamekuwa bogus hivi kwann?
 
Back
Top Bottom