Niulize swali ili nijipime kiakili (IQ Test)

Wow
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Papuchi ni kweli nazichakata, mimi sina starehe nyingine zaidi ya hiyo,

Biashara ni kweli nina banda la kiepe, pia nimefungua na Studio ya Movie, hapo naban CD, kuingiza nyimbo, kuflash Simu, kuuza Flash na memory Card,nimemuweka na fundi wa kurekebisha matatizo ya computer, kama kuweka Windows, Kufanya installation ya program, kuweka games, kuzitengeneza pia,
Hizo ndio kazi zinazoniendeshea maisha,

Lakini hapa juzi kati nimeamua kujiongeza kidogo nipo kijiweni najifunza ufundi wa Aluminium tayari nimeshakuwa na idea nafikiri baada ya miezi kadhaa nitakuwa vyema,
Nikimaliza naingia kwenye PVC.

Nikijua vyema nitakuja hapa JF kuomba Tenda kwa wajengaji wa nyumba nije niwawekee madilisha na milango ya Aluminium.

Na nitaweka Sample pia.

Sijakata tamaa bado napambana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tungekuwa wapi kama chama cha mapinduzi kisingeitawala Tanzania??
Uwenda tungekuwa Chini zaidi ya hapo, Uwenda tungekuwa nchi isiyokalika iliyojaa machafuko and Virse versa pia,
Uwenda tungekuwa nchi Ya Uchumi wa Kati mpaka sasa, uwenda tusingekuwa tunahubiri tena kuhusu ukosefu wa maji, ubovu wa mabarabara,

Wote hatujui kikubwa tutazame kule tunakoelekea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Big up..[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Unadhani papuchi zinatofautiana ladha ??..If yes why and if no why

Na kitu gani kipo nyuma ya wanaume wengi kutokuridhika na mpenzi mmoja??
 
Ok, upo vizuri sana and thank you for the good answers, kumbe IQ unayo ya kutosha tu ila ni basi tu.[emoji3]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tahadhari kwangu ni option ya kwanza kabisa kabla ya kuchakata,

-kweli nikipata mpenz tukaendana nitadumu nae,
Kwanza kabisa sitaki Complain, sitaki mwanamke maneno mengi, kikubwa sitaki stress,
Nataka mwanamke simple tu ambae nitakuwa nae kama rafiki, tucheke, tufurahi tutaniane hivyo yaani,

Kuhusu biashara yangu ni kweli inanikutanisha sana na warembo lakini mimi sio muongoji.
Natoa inapobidi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hapa nadhani IQ ipo, umejibu vema kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu ndo aloumba kila kitu duniani. Je mungu ni mkubwa kuliko vitu vyote vya dunia?
Ukubwa upi unaotaka kusemea wa Umbo au uwezo?

Kama umbo sina hakika ila ni kama ukubwa wa uwezo hakika Mungu ni mweza wa Yote hawezi pitwa na kile alichokitengeneza(Create )
Creator yeyote lazima aweze kudestroy, sasa hawezi shindwa na kitu ambacho anaweza kukidestroy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok, kwahiyo hujapata huyo mmoja ambaye mnaendana,ili uache kuchakata hovyo mapapuchi?, jitahidi umpate bana zeroo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…