Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
- Thread starter
-
- #241
Popo hajakatazwa maana sio najisi.Lo.! mnahatari nyie viumbe
Tena nilisikia pia wengi wenu ni waislamu
Inakaa kaa vipi hii_ na vitoweo Mubashara kama ivyo.!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaharibu sasa...!
Ilitokea mbinguni..Kwani pemba ilitokea wapi
haa haaaAlafu kwanini Pemba utani wenu ni kufumuana marinda??
Yani unakuta hata mtoto anamtania babu mzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaaa
hahhaa ati Tia ..yaelekea huko wanawaza ngono mnoo aiseeKwanini bomba la maji mnaita "mfereji" na ukitaka kushuka kwenye daladala badala ya kumwambia konda "shusha" mnasema "tia"?
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaaa eti nitie duuhhTunaita mfereji kwasababu unapitisha maji ila sio kwamba ni kiswahili halisi hapana... Si unajua matamshi ya Zanzibar na bara nitofauti kidogo..
Kwa upande wa daladala hakuna neno hilo..
Eti badala ya kusema niache kituo fulani aseme nitie itakua lugha mpya hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaaaKwa ufupi kisiwa cha Pemba asili yake wengi wakamba kutoka Kenya na bara kwa ujumla.. Mimi bibi yangu mzaa baba asili yake ni Kenya lakini mimi sijijui asili yangu. Mimi nataka tonge iende kinywani hayo mengine nawaachia Askari wa uhamiaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asili ya zanzibar ni watu wa sehemu tofauti tofauti akikaa sana anakuwa mzanzibarhahaaa
hata tanganyika ni hivyo hivyo tu mkuuAsili ya zanzibar ni watu wa sehemu tofauti tofauti akikaa sana anakuwa mzanzibar
Picha yake tafadhari
Mkuu mimi kwa mara ya kwanza Nakula "jicho" demu mmoja wa Mtambwe, nikala jicho demu mwingine wa Bahanasa, nikala tena jicho demu mwingine wa Kizimbani, nikala tena mwingine wa Pandani, nikala jicho mwingine wa Micheweni karibu na kituo cha police pale, na wa mwisho nilokula jicho ni wa Kifumbikai.Labda hao wake zenu lakini sio wapemba.. Kwanza umeshakula jicho wapemba wangapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi mlinishindwa wapemba nyie.Mkuu inafika kipindi uzalendo unakushinda inakubidi ufanye hivi.. Em nenda kaishi mwaka mmoja halafu uje ulete mrejesho.
Sent using Jamii Forums mobile app