Niulize swali lolote kuhusiana na wapemba na Pemba yenyewe..

Niulize swali lolote kuhusiana na wapemba na Pemba yenyewe..

Pole sana.

Kwa hiyo hata kupata kazi tu ilikuwa kwa mbinde ili na watu walikuwekea vizingiti ukipata kazi pesa utakayoipata iishe bila wewe kujua umefanyia kazi gani.

Walimwengu wana mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua shida ni kwamba kila mtu hapendi mtoto wa mwenzie akifanikiwa hapo ndo penye utata. Ukiona mtu kafanikiwa basi nyuma yake kuna mengi aliyopitia na kuyakwepa kuhusiana na husda za watu. Na ndio maana mimi sitaki hata kwenda nyumbani ni mwendo kwenda kuchungulia siku tatu ya nne narudi.
Kuna siku nilimwambia mfanyakazi mwenzangu mara nikienda Pemba naenda na usafiri wangu kusudi nisipate shida kipindi cha likizo... Akaniuliza " unaenda kukaa siku ngapi? " nilimjibu siku 4 ya 5 narudi.. Alisikitika sana na kunambia niache kabisa huo mchezo maana watu wataenda kuhisi nawaringishia wakati sio lengo langu. Na kweli yaliniingia akilini maana kukaa siku 4 halafu ukarudi na usafiri wako mara hukutupia jini ukaishia kulala kitandani, kwa ufupi watu hawana wema..

Kuna mwalim mmoja alijitolea kuweka bomba watu wafaidike maana palikua na shida ya maji.. Yule mwalim baada ya kuona watu wanafanya vurugu akaamua kuutoa, basi watu baada ya kuona vile wakaoana kana kwamba kawafanyia makusudi.. Juzi nikapewa taarifa na mdogo wangu kwamba mwalim huyo wamemlaza kitandani na kaparalaiz na pia hawezi kusema..

Sio huyo tu... Wapo wawili wanekuwa mabubu na wote nawafaham yaani kuna siku nilikwenda likizo nilitaka kutokwa na machozi kwa jinsi yule mtu walivomfanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini Wapemba mnaowa mkiwa katika umri mdogo, kuna rafiki yangu tulisoma nae advanced level lakini tayari alikuwa anamke Pemba kuna siri gani katika hili?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni kwamba kuwapata watoto wa kike kumaliza shughuli zako ni ngumu sana tofauti na Bara. Kuna rafiki yangu ni mwanajeshi yuko Pemba ananiambia hapendi kukaa Pemba ni basi tu imeshabidi maana anatafuta dem amalize nyege zake anaishia kupiga punyeto. Kwa ufupi ukifikia umri wa kuowa unapewa mke kwa kuhofia mtoto wa kike kuharibika hapo baadae kwa kisingizio bado kwanza. Hata mimi niko na mdogo wangu aliolewa nilishangaa kuambiwa harusi kumbe ameshakua maana ni miaka sijui mingapi nilikuwa sijaenda Pemba mpaka watu wameanza kuniona fb tu ndo wanavuta kumbu kumbu kwamba nipo hai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamani zao lililoshamiri sana ilikua...
Uwele, mpunga, mbaazi, kunde na mtama kwa wingi sasa hivi ni hafifu sana.. Wanalima mihogo lakini sio zao kuu..

Kwa ufupi Pemba tunaumizana wenyewe kwa wenyewe (husda).. Ukianza kuneemeka kidogo inakubidi uwe mshirikina tofauti na hapo utaishia kufa huku unajiona.
Mi binafsi naenda likizo nakaa siku tatu mpaka nne nageuza maana hawachelewi kunilaza kitandani kweupeee.
Mpemba ambae hajafanya shiriki ni yule anaeishi nje ya Pemba. Mi binafsi nina mganga wangu maalum maana misuko suko ninayoipata naijua mwenyewe.. Na kila nikienda likizo lazima nikamsalimie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu Uzi utakuwa informative sana tuulize maswali muhimu ya kijamii uwe kama guide kisha upigwe stick lakini source isiwe huyuhuyu mmoja tu wanzanzibar wakiweza wachangie panapofaa
 
Mimi ni mkiristu ila naamini masuala yetu Waafrika hayatatuliwi kidini, Bali yanatatuliwa kwa mila zetu, kuna watu humu waongo wanajifanya eti dini ndo kila kitu mila za makabila yao wanaziona za kishenzi lakini ukiwachunguza unawakuta wanamatizo kibao hadi wanakaribia kuwa vichaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi jf naijua vyema kila mtu humu shekh au padre.. Ukianzisha Uzi wa kugegeda utasikia "laana ikushukie" wakati yeye anafi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachochangia pia mtu anachagua kifaa kakipenda hata akikamatiwa mwenyewe anaridhika kabisa kwa sababu pemba unaweza kamatiwa hata hujazini labda mtoto ana tabia safi katulia ila kaja kwako sio kwa lengo la zinaa unakamatiwa,sasa utamuacha huyu mkuu??

Unamuoa na maisha yanaenda

الجنون فنون
Mimi nilikua na rafiki wa kike saafi nikasema hapa hata nikikamatiwa sawa tu na watu hawataniona zombie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji121]
MKUU,

NIMEKU_PM KUHUSU HIKI KIPENGELE CHA NDUGU YAKO.

[emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121]

"Katibu Mwenezi wa Wasoma Comments."
Mh. Katibu natambua uwepo wako.

Imetolewa na kaimu mwenyekiti Comments Readers Association
( C.R.A- JF Branch, DSM Wing).

J.Comey
 
Back
Top Bottom