Kijana kijana
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 2,546
- 2,621
Sio kweli mkuu kila anaesilimu mara nyingi wanakuwa bado hawana imanii hata watu wa leo pia hivyo hivyo ndiyo mana pakasemwa katika aya.Enzi hizo walikua wakisilim walikua wanamaanisha,.. Sasa hivi wakifanikiwa watakalo siku wakichana kila mtu anarudi alikotoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
قالت الأعراب آمنا قل لم تؤمنوا ولكن قولوا أسلمنا ولما يدخل الإيمان في قلوبكم وإن تطيعوا الله ورسوله لا يلتكم من أعمالكم شيئا إن الله غفور رحيم
[ AL H'UJURAAT - 14 ]
Mabedui wamesema: Tumeamini. Sema: Hamjaamini, lakini semeni: Tumesilimu. Kwani Imani haijaingia katika nyoyo zenu. Na mkimt'ii Mwenyezi Mungu na Mtume wake, hatakupunguzieni chochote katika vitendo vyenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.
Waarabu walijidai wameamini wakati wamesilimu juzi juzi tu ndipo ikashuka aya waambiws wao bado wamesilimu tu sio waumini bado...
Hivyo hata wewe mkuu usitegemee kwamba anaesilimu ndo kaamini hapo hapo hapana,wengine wanaingia kwa ajili ya ndoa ila baadae wanatengenea,wengine waliingiia kwa ajili ya pesa ila baadae wakatengenea..
Huo ndo uislamu mkuu.
.
Tunayo mifano mingiii hata hapa unguja watu wamepewa wake wamesilimu wametulia kabisaa
الجنون فنون